Nmejikuta nauangalia huu wimbo tangu asubuhi...Mungu akubariki mtumishi brother joshua na mkeo
@masselemussalugamara6224
4 жыл бұрын
Huu wimbo unanifanya nasikia damu inakimbia kwa kasi kwenye mishipa yngu na nywele zinasisimka. Hakika mungu yupo ndani ya huyu mtu aimbi ili kupata pesa ila anaimba kumsifu bwana. Tunakupenda joshwa. Wengi tumeokoka kupitia nyimbo zako
@ruthkasumba7739
Жыл бұрын
Mim pia jmn🥺
@Ashua0777
5 ай бұрын
I had to come back and listen to this song today. 29 January 2024. I really try to understand God but I have failed, short story, Have you ever been in pain and tears in a moment and then within the same hour you're in overwhelming Joy. That's my story today.
@FreeGod368
5 ай бұрын
Acha tu i nyimbo skuwa naijua
@Ashua0777
5 ай бұрын
Ni Wimbo mzuri sana una uweza wa kiungu ndani yake
@clearsight2485
2 ай бұрын
May God see you through
@jerymadenge8624
2 жыл бұрын
Kazi nzuri san bro watu wasumbawanga tunaenjoy sana dante karesa mbeya moja
@edmundkapondo4042
2 жыл бұрын
Karibu Ngomeni Tena ilikuwa ni🔥🔥🔥🔥
@jenifercynthiakazimoto5392
2 жыл бұрын
Ameen! Wimbo mzuri Siku zote hakika Yesu Ni Bwana!
@aidaraphael1956
2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi was Bwana kazi yako ninjema.
@renithaluzabico8271
2 жыл бұрын
Hakika wewe ni Mungu.unanitendea maajabu
@marthaswai1185
2 жыл бұрын
Joshua ,Mungu akubariki
@glorymutalemwa296
Жыл бұрын
Tunakupenda mtumishi hakika nyimbo hii inanibariki
@godlovewarwa
3 жыл бұрын
Jina la Bwana lihimidiwe. . ubarkiwe sana kaka Joshua
@frankagray7618
2 жыл бұрын
Brother Joshua wewe ni mwamba wa miamba usiye tikisika jina la bwana libarikiwe
@leahchiute9930
5 жыл бұрын
natamani siku na mimi nisimame na kulisifu jina la bwana
@bettyalexander2035
Жыл бұрын
Yesu, hakika wewe ni baba yangu..👏👏
@raelnzasimuasya9871
3 жыл бұрын
Mungu ainue huduma yako Joshua! Asikufungukie Wala kukuacha nimebarikiwa na nyimbo zako Sana ! Rael kutoka Kenya
@nancymgoli3751
3 жыл бұрын
ubarikiwe baba mwimbo ni mzuri sana
@zilpamoses6829
2 жыл бұрын
Naipenda saana hii nyimbo jmn❤️🥰💕
@catherinricherd1709
3 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki kwa kazi nzuri uifanyayo
@gracemwinuka7503
2 жыл бұрын
Barikiwa sana !
@fadhilidisanula840
3 жыл бұрын
Imekaa vizuri sana barikiwa mno
@davidlamso3164
Жыл бұрын
Ukovizuli mutumishi wa mngu na kuombea kwa mungu adhidi kukupa kipawa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
@edinahmaganga3528
2 жыл бұрын
Ameeen Mtumishi kweli Yesu ni mtam Ubarikiwe mtumishi Joshua wimbo huu nimebarikiwa sana 🙏🙏
@bennysanga2873
2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@tumainijames
Жыл бұрын
Wimbo umenibariki, God bless you Man of God
@veronicajerome1184
Жыл бұрын
Nyimbo zake na sipenda sana kaka jeshua mungu akubariki
@noelamartha7536
2 жыл бұрын
Amen Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@aidaraphael1956
2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi, yani nabarikiwa mno, mungu akuinue sana tu.
Пікірлер: 228