Elimu ni nuru na ujinga nijiza. Huyu mtaalam nathael anaongea kitaalam kabisa nimependa sana. Watangazaj mjitahid sana kutizama nani mnaefanya nae mhadala. Mfano hayi ni huyu mtaalamu nathael Asanteni sana
@sakinaomary8874
7 жыл бұрын
Aloo nimejifunza kitu kwakweli ahsanteni sana
@allytimamiabubakar4208
5 жыл бұрын
Nimependa kipindi, mada(somo),mtangazaji,mfugaji,mtaalamu na maelezo yake ya kina yasiyo na choyo. Asante
@anithalobina4986
6 жыл бұрын
Oyooooo Dr. Madalla
@rikekikonyo2265
4 жыл бұрын
Shukrani kwa elimu
@olivemwamengonakilimombeya6951
3 жыл бұрын
Namba naomba jamaniii
@olivemwamengonakilimombeya6951
3 жыл бұрын
Kwa utaalamu zaid
@stevenmwanganga8888
4 жыл бұрын
mradi ni mzuri pia ufugaji unalipa nimepata kitu kutoka kwa huyo mzee anayefuga
Пікірлер: 9