Hakika, Tai anafanya kazi vyema. Ubarikiwe sana mchungaji . Umekuwa MIBARAKA kwangu tangu niaanze kukufuatilia katka Huduma zako , sijawahi kujuta. "Hakika Mbinguni Kuna kiti chako "
@timothymuthomi1618
Жыл бұрын
NASHUKURU UNAOKOA ROHO KWA MBALI BE BLESSED PASTOR
@bensontemu9356
Жыл бұрын
Ahsante,, Barikiwa
@royalpriestsmusic5685
Жыл бұрын
Pastor jitahid Sana tukutane mbinguni Mungu atusaidie Kwa jina la Yesu Kristo
@zabrongermanus-co1jj
Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@dorcasrhobi8211
Жыл бұрын
Ubarikiwe pst yaani unaongea ukweli kabisaa, mungu atusamehe na kutusaidia tuwe wema mbele zake.
@elizabethmassawe1894
Жыл бұрын
Mungu akujalie maisha marefu mtumishi
@petermoshy7650
Жыл бұрын
Pastor unatisha kila wakati nasikiliza mafundisho na kweli yamenisaidia sana kuna mambo nilikuwa siyajui. Lakini sasa nimeelewa Mungu akubariki na sana na azidi kukupa upako zaidi.
@rahabnkya8276
Жыл бұрын
Mchungaji ninakushukuru SANA ninakufuatilia YTUBE na nimefundishika mambo fulani yaliyonikera SANA na nimejaribu kijinasua na kwenda MBELE za MUNGU kibinafsi SAAAANA kunena na YESU KABISA ANISAIDIE. AMEN
@christinefuraha8884
Жыл бұрын
Balikiwa saba Mchungaji be blessed nawafatiria sana kutoka Malekani, 🙏🏾🙏🏾 lakini naomba sana munisaidie kwa maombi niko na misukosuko Pray for me and my Familys
@mirengekahamwiti1260
Жыл бұрын
Hata kama tulipo mbali Congo, nina imani kuwa maombi hayo nasi tunabarikiwa pamoja. Mungu atubariki sote
@MahubiriPrMmbaga
Жыл бұрын
Amen
@StephaneMalakano
Жыл бұрын
Jambo mchungaji ninalazima ya namba yako niko ku Congo ao kongo
@richardsabatho646
Жыл бұрын
Barikiwa Mchungaji Mmbaga kwa kazi nzuri unayoifanya maana inaleta amani moyoni .
@jolemerci2155
Жыл бұрын
Mimi mutumishi manga an isaidie à nifasilie mbinu 2 za kuingia mbinguni kwani iyo tu njo n'a chunga aya mengine maelezo imenivuruga hâta moja sisikii n'a tamani sikia mbinu 2 za kuingia kwa MUNGU
@eustina0
Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu zaidi
@BirushaAdam.magoma-oi6hw
Жыл бұрын
Amina BWANA akubariki sana PASTOR
@MHIDAGINGILI
Жыл бұрын
Nabarikiwa sana pr mmbaga
@dottogatuntu
Жыл бұрын
Poster toka nianze kukufatilia nimejifunza mengi sana,,na sas haipiti siku bila kuangalia post zako Mungu akubaliki sana
@rachealgabriel2541
Жыл бұрын
This sermon was so amazing ❤
@wittinessmbwambo5759
Жыл бұрын
Mungu atukuzwe na akubariki na kutafuta sana mchungaji kwa ajili ya Mwanangu
@choralenyotayamashariki7600
Жыл бұрын
Muchungaji Bwana akuzidishiye ufunua muzuri kama huu Mara tena , ubarikiwe daima
@GabrielWarioba-co8qg
Жыл бұрын
Nashukuru my pastor naomba uniombee ninaumwa sanaa na cjui naumwa nn
@sauud2some471
Жыл бұрын
Batikiwa mutumishi was mung u kwa mafuso mazuri kutufusa.jisi ya kuwasaindia wengine na kuwabenda jiraniwetu 🙏🙏🙏🙏
@perisbosibori8524
Жыл бұрын
Thank you pastor for this great teaching. I'm ever blessed and be blessed too, AMEN 🙏!
@duncankithuka7319
Жыл бұрын
Amina
@alicenyakawa2449
Жыл бұрын
Thanks pastor for this message because it makes me to know my defects of having boundaries with other churches I’m sorry for my mistakes be blessed
@kanyata217
10 ай бұрын
Awesome
@maryrioba4507
Жыл бұрын
Mungu akubariki sana tunakuombea sana Mungu azidi kukuinua.
@marysteven3543
Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji,, nabarikiwa sana masomo yako
@ednaJF1028
Жыл бұрын
it's very true 👍 Sio wote wamuitao bwana bwana ni watu wa Mungu
@lennahombiro3577
Жыл бұрын
Hii narcissist tumeombea sana .... But ilibidi tusongesonge cause of my inner peace.
@royalpriestsmusic5685
Жыл бұрын
Ameeen in the name of JESUS Christ 🙏
@jolemerci2155
Жыл бұрын
Nasikia iyo maisha njo n'a penda niya ishi ila amenitesa sababu wengi hawataki kutenda mema ninapo tenda mema popote wananigeuza mjinga ila mimi naya fanya kwa kuishi neno la mungu ila naonewa kwa hili naitwa naitwa mujinga
@fredericktresor4344
Жыл бұрын
Pole sana dada yangu ila endeleya kuishi tu iyo iyo maisha ambayo Bwana YESU anaipenda apana ya binadamu sababu ata kila mtu akuchukiye na Mungu angali NAKUPENDA tatizo iko wapi achana na wanadamu ishi tu iyo iyo maisha ambayo Bwana Mungu anaipenda
@fredericktresor4344
Жыл бұрын
Pole sana dada yangu ila endeleya kuishi tu iyo iyo maisha ambayo Bwana YESU anaipenda apana ya binadamu sababu ata kila mtu akuchukiye na Mungu angali NAKUPENDA tatizo iko wapi achana na wanadamu ishi tu iyo iyo maisha ambayo Bwana Mungu anaipenda
@GabrielWarioba-co8qg
Жыл бұрын
Ubarikiwe xana wewe pamoja na familia yako
@muneemaanzo1853
Жыл бұрын
Mungu akubariki saana
@esthersimuli9952
Жыл бұрын
Amen
@laickwilinerd5375
Жыл бұрын
Mungu akubaliki🙏🇹🇿🕊️
@hamzayusuf1894
Жыл бұрын
Kanuni ku2 ni kuka nanjaa mpaka ufee
@godwinkatemi5157
Жыл бұрын
Amina Pr
@ViwaniMedia
Жыл бұрын
yes
@ednaJF1028
Жыл бұрын
Amen 🙏🏻
@danielfesto489
Жыл бұрын
amina,ubarikiwe pastor
@Vel42
Жыл бұрын
Ukweli si wote wabebao BIBLE ni wa MUNGU kama wale walishikwa Kenya.
@TheMakala21
Жыл бұрын
Asante sana mchungaji!!!!
@alicesidi9601
Жыл бұрын
Amen Amen ❤️🔥❤️🔥
@user-ti4iy1kn6h
Жыл бұрын
Ameeni
@josephmbaule8819
Жыл бұрын
Amina pastor
@barakamaduhu9581
Жыл бұрын
Uje na kaham mchungaj
@Reginajohnson19884
Жыл бұрын
Beautiful teaching
@barmedastv
Жыл бұрын
hii imerudiwa ?
@mussacharles5311
3 ай бұрын
Mama angu anataka niaguliwe mimi sitaki,mchungaji mmbaga hapo nifanyeje?
@jacquelinebyaombe9729
Жыл бұрын
Amena ❤
@UserUser-gq1ir
Жыл бұрын
Allelluya
@mwitachacha9785
Жыл бұрын
Pastor sound kwa video hii imesumbua ila ujumbe umefika
@PaschalTonelo-ev4mx
Жыл бұрын
Be blessed
@karembo7082
Жыл бұрын
Amina 🙏amina
@gracekunambi7438
Жыл бұрын
🙏🙏
@ConsolataAchieng-cc2ck
Жыл бұрын
❤
@edwingunamla4200
Жыл бұрын
Lesson ina lazimishwa kununua na kwanini zote Zina story za nje ya Tanzania tutengenezewe za story zetu
@paulpeter2108
Жыл бұрын
Kununua lesson ni muhimu kiroho,,lakini mtu wa mungu story za Tanzania hazibadilishi moyo wa mkristo..
@King_Of_Everything
Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
@itsmeanna8286
Жыл бұрын
Pastor Nina hamu ya kusikia ila zinakuaga mbili afu ukielezeaa unakuta ni zoteee kumbee😅
@nathanmhuli56
Жыл бұрын
Ame
@judithnakoli
Жыл бұрын
Nimefatilia mahubiri na mimependa sana jinsi unaposema kwamba haijalishi jambo ambalo linafanyika kanisani mradi Biblia inapinga, wachana nayo.
Пікірлер: 75