Ninetokwa machozi kwa furaha, Allahumma swali Alaa Muhammad S.A.W
@raheemhamisi5370
2 жыл бұрын
Jaman kwani mbona wimbo mzuri wa kumsifia mtume wetu (S.A.W)hakika nimeupenda jaman kama kuna mtu anayo Audio antumie ntashukur sana jaman. Waislaam tupunguze lawama,,,ata km ni taarabu inamsifia mtume wetu kuna ubaya gani,,,???acheni izo jaman waungwana wa kiislam. Eti baadhi ya waislaam wamekerwa na suti walizovaa,,???kikubwa ni ujumbe uliopo kwenye qaswida jaman tupunguze kupondea waislaam.
@riiabbas3393
2 жыл бұрын
Yani inaskitisha waislamu kuandika inna lillah wakati watu wamekusanyika Kumsifia Mtume.. Jamani hii dunia ikiwa watu hawakusanyiki kwa mwaka Ivyo ni mtihani kwa vizazi vijavyo mana Hata jina la Muhammad wa natamani lipotee
@omaryntagala3740
Жыл бұрын
@@riiabbas3393 jina la mtume latajwa sana ila sio kwa hili huo sio utaratibu wa kumtaja mtume wetu S.A.W
@mariamharoon1840
Жыл бұрын
Hapo kwenye muziki 😢 tu kweri ya allah nijarie nijue dini yetu
Kawaida ya bidaa cku zote huwa inaongezewa utamu ili sheitwaan azidi kuwachezea ndani ya nafsi zao
@mwantummakoa4253
6 ай бұрын
Mbona mnawafatilia sana kwann upo humu
@karomammwalula9701
24 күн бұрын
Kwan Nn co bids sheikh
@abuuthauran9933
2 жыл бұрын
Apo ndipo waislamu walipo potea, yaan UYAHUDI nyuma ya pazia. INNA LILAH WAINA ILAYH RAJIUUN
@allyabubakarisaidy5894
2 жыл бұрын
ww bhn kam answar utajua mwenyw kwan hz s sifa za mtum au shida nn wamepotea ww ndo haujapotea wot ss hakn anay jua mung ach kusem waislam wamepotea ila inavyoonyesh ww nd wale mnao mping mtum ww wach kuwalaum ulev wa bwan mtum nimtam kulik mviny haram
@bahiyalumelezy3016
2 жыл бұрын
Wewe unajihisi mtakatifu saana unakwenda peonies ee?km wamepotea unawafatilia yanini?unayapenda haswaa ndy maana unasikiliza na kufatilia.ulilazimishwa kutazama?
@SulemanMuhidin
5 ай бұрын
Assalamualeykum, Mtume ,amekwisha lisema zamani katika hadithi zake kuwa zitakuja bidaa nyingi, na kuna hadithi ilisem bidaa ni upotevu tena motoni, hivyo tuelimishane muuongoaji ni Allah, kwani hata wakiristo wanaona dini yao ni sahihi na wanabishana , je kweli ni sahihi
@BakarOthman-fl7cq
4 ай бұрын
Nyote mnaounga mkono upumbavu huo,nyinyi ni majahil murakab,munaunga mkono uyahudi olewenu,na hilo sheikhe lenu ni jahili kubwa
@saadmbaraqa5272
2 жыл бұрын
Uzushi wa mzumari katika dini ni zulma mnawafurahisha viumbe mazaifu mnauza dini yenu
@mahmouddulajara7307
2 жыл бұрын
Anayo alamaa
@binabeidsalim6380
4 ай бұрын
Wataka kusifiwa wewe mjinga myahudi wewe
@shazyahya4121
10 ай бұрын
Hii ni taarabu watu wasije fikiria kuna dalili ya uislam hapo amekosekana hadija kopa tu
@ibrahimjumbe6434
2 жыл бұрын
MashaAllah Mungu amrahamu almarhoum sheikh Ismail Muhammad alikua na beti zake nzuri sana kuhusu kaswida hii 😭😭😭
@SulemanMuhidin
5 ай бұрын
Na kwanini wasipige takbir n wanapig makofi, n hawatoridhika mayahi mpaka muwafate mila zao, mie naishaia apo ,sipend mabishano napend kuelimisha 8:58
@HusnaHussein-oi9jr
Жыл бұрын
Mashallah mnanikumbuxha nilipokua nikixom buguruni neemalwaly qadiria chini ya ustadh Hassan Banda m mungu amlinde na hasadi nanyi nyote
@abdulhamidjafar3176
Жыл бұрын
Dah dktr abubkry azuubeiyry bin aliy muft mkuu wa Tanzania allh akuepush na bid-aa na uisimamie dini ya allh kwa haki .na allh awafhmishe nyinyi lkn pia awafhmishe na hawa wanokutukneni ,Kwan dini cio kuitana wapumbav Wala waking bl dini nikufhmishn kwa hekm na busara.
@Nuru_ya_sunnah.official
5 ай бұрын
BIDAA MBAYA 😢😢❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌
@modiyuu6287
Жыл бұрын
Mashallah kazi mzuri hakuna bidaa hapo ila nitamaduni to mungu awazidishie kwenye uendelezi ya swala y mtumd s.c.w❤❤❤
@fathiyaali6171
Жыл бұрын
ماشاء الله ماشاء الله، اللهم صلي وسلم على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين 😍😍😍😍
@Aisha-zz4xy
Жыл бұрын
Maashallah tabaaraka llah
@AllyAhmad-zg2yp
10 ай бұрын
Taarab ,uislam na tarabu wapi na wapi ? Tumcheni allah jaman dunia mapito
@imranijuma6955
2 жыл бұрын
HAWANA TOFAUTI NA MASHIA HAWA ALLAH AWAONGOZE YAANI HATUJA KAMILIKA LKN HAWA WAFUASI WABAKWATA MASHAKA MATUPU NENDA MAKKAH AU MADINA PALE UKAPIGE IVO🙄🤔🤣MASHEKH WA BAKWATA WAPOTISHAJI WAPO KIDUNIA NA STAREHE ZIMEWALEVYA MASKINI NA KUPENDA KUKAA KWENYE MA GARI YA KIFAHARI YANAMWISHO WAKE YAANI WATU WA SUNNA WAPO VIZURI KWENYE MISIMAMO YA KIDINI HAWA WANAPENDA MADUFU SIJAPATA KUONA
@ismailmsangule1380
2 жыл бұрын
Wewe omba mwisho mwema usihukumu sio kazi yako
@abdelqadir5227
2 жыл бұрын
Shiat-Ali and proud❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹
@rashid3562
5 ай бұрын
Mnaopenda kuponda ni wachoyo tu Hamna uchamungu wowote
@bakariyusufujuma
2 жыл бұрын
Mbona mmechanyika wanawake na wanaume hayo ndio mafundisho wanawake kuwapiga picha wanaume!?
@rashidmlawa6548
2 жыл бұрын
Kwani hujui kama hiyo ni taarabu
@bakariyusufujuma
2 жыл бұрын
Hahahaaa hapo sawa nilikuwa napata tabu mashindano ya kitabu kitukufu na na hilo zege inakuaje
@HalfaniRashid
5 ай бұрын
Makka wanachanganyikana wanaume na wanawake wanasali kabisa unasemaje
@HalfaniRashid
5 ай бұрын
Au hujui ibada za umrah zinavo fanyika
@nassirhamad9407
10 ай бұрын
Mumebaki kwenda kurikodi na Zuchu sasa...Pumbavu zenu Hiiii dini munafikiri ni ujinga huo munaofanya watu wa BIDAA... TUTASHUHUDIA mengiii sanaaa
@feisalboy6702
Жыл бұрын
Watu wa bidaa ni watu wabaya sn ktk jamii na uchafu wote ktk jamii asilimia kubwa wao ndio waanzilishi
@burhantvtzonline5417
2 жыл бұрын
MAASHAALLAH TABAARAKALLAHU,ZITTAAAAAA ZIKUBWAAAAA,swalluuui a'alaa habibi Muhammad (s.a.w)
@thadeondazi1495
2 жыл бұрын
q
@mokitaa8750
2 жыл бұрын
magita vinanda ngoma duh ! hapo sasa hata mimi niliokua nikijinadi kua maulidi sio bidaa sasaivi sipo na nyinyi ndio yale aliyo sema hiyo ni ndugu yake taarabu, mnatupoteza
@dullahmihuri
2 жыл бұрын
Haongera bro
@Zivago12
13 күн бұрын
Hiyo ni qasida sio maulidi
@Zivago12
13 күн бұрын
Ila hata mimi sikupenda vinanda
@hamisimuhammad3656
Жыл бұрын
Dini imekua kanisa Sasa maana hayo nimambo yakikanisakanisa
@OmantelCm
5 ай бұрын
Mdomo tu muone vile
@anwarosman7206
Жыл бұрын
Maashallaaah very beautiful
@FasihiRaisi
4 ай бұрын
Kwani hayo maulidi,tofautisheni maulid na wapiga vinanda,hem njoon zanzibar muone maulid y mfunguo 6 maisara,hakuna duf walakinanda
@Rehema-h6t
11 ай бұрын
Masha Anllah anayo alama kipenzi chetu 😢❤❤اللهم صل وسلم وبارك علي سيدنا محمد
@kwadumikomaenterprises1131
Ай бұрын
wewe ndio jahilia kuna shida gani kumsifu mtu Mohammed pia vitu kama ivi waislamu vinatuleta pamjoja vinatuunganisha wewe unaesema huu ni ujahilia umejitafakari vizuri mambo yako unayo fanya sio ya kijahilia usikute kutwa unashinda kwa waganga sasa bora hao waliojikusanya pamoja na kumsifu mtume wetu Mohammed acha unafiki acha kuchukia waislamu wenzako waislamu tupendane bila kujali maswala madogomadogo ya kiimani bado wote ni waislamu na kitu kimoja
@abdulhalim5950
6 ай бұрын
Mashindano y quran alaf mziki nynyi ni masufi mmejiondolea mipaka
@AbuuSaif
4 ай бұрын
Jaman tufuateni dini tusiuate nafsi zetu NA sheitwan. Allah awaongoze katika haki
@AbuuSaif
4 ай бұрын
Jaman tufuateni dini tusiuate nafsi zetu NA sheitwan. Allah awaongoze katika haki
@leaderboy7565
2 жыл бұрын
Allah atupe ufahamu sahihi wa dini. Tunafanya mambo mengi tunadhani tupo ktk dini kumbe tunahaaribu dini. Tusimeni uislamu wetu
@yahyayusuf1761
Жыл бұрын
We wajua maneno yako ni kiasi ya kuita mtu kafiri ati tunaharibu dini hivi ndivo tunavo mswalia mtume s.a.w kama hupendi usitizame
@athumanmwamgupu661
Жыл бұрын
Silazima utazame, Kila mtu anafahamu zake!!?
@ramadhanShaban-cb9fs
Жыл бұрын
Tupokatika haki achadhanapotofu kasomekwanza
@hafanabdallah3112
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Anza kusoma kwanza ww alafu ndo ujibiwe
@mariamomary3537
Жыл бұрын
Mbea we we wajua lip tunga lako uwe nalo peke yako we mwenyew muovu
@adamjutto5849
4 ай бұрын
Afu sheikh mmoja ananyanyuka anamtusi mzee yusuph kwenye taarab😂,ni kwa sbbu aliona ya kule na haya hayana tofauti,ila angishekimana na watu wa sunnah angeambiwa tenga mda wako uje usome,raha ya ahlu sunnah ipo kwenye kukesha kwenye elimu,sio kukesha kwenye huo upuuzi
@TeamKRX
2 жыл бұрын
Acheni basi kwani tumeambiwa tuwe na kilio time zote sikilizeni hadithi za mtume alikuwa na furaha na huzni wakat mwengine acheni basi kosa walilolifanya hawakuvaa kanzu tuuuuuu wengeuwa kichizi mshalahah
@hafidhsalum9149
2 жыл бұрын
Wangeuwa kwa hiyo taarabu na vinanda me nahic wangeta viuno ndo wangeuwa zaidi pumbavu zao
@pikanaauntzuu1466
Жыл бұрын
Na mtume alikua akienda kuskiliza kasida na wake zake kwenye zinapigwa kasida
@hameezhami7795
Жыл бұрын
Na kunesa alikuwa ananesa rasulullah.❤
@BimkumbwaAmour
Жыл бұрын
@@hafidhsalum9149😂😂😂😂😂😂
@zenapembe3170
Ай бұрын
Kuna tatizo gani kumsifu Mtume? Hao wanaoipinga Maulid si ajabu hata swala tano hawaswali ila kazi yao kuponda tu.
@SulemanMuhidin
5 ай бұрын
Na kwanini wasipige takbir n wanapig makofi, n hawatoridhika mayahi mpaka muwafate mila zao, mie naishaia apo ,sipend mabishano napend kuelimisha
@barkebahesmy1257
4 ай бұрын
Teta sura zao zina ghdhabu hwapendi furaha abbadan😮mpaka wanzeeka😂
@roudhamahmoud763
4 ай бұрын
Hii bidaa tunaiyona sisi tu tanzaniya hatari sana Indonesia hakuna bidaa kenya hakuna bidaa na nchi kadhaa zinoimba na kutumiya vyombo hivo.jqmana kuna mambo tumwachiye mola tusihukumiane
@abuuirfan9523
2 жыл бұрын
TAARAB LIVE
@ismailkiza
10 ай бұрын
madhehebu ya kisufi nimadhehebu ya batiri kijinga kivivu na niupotevu , haukuwa uislam ila nikitabu cha allah nasunnah za mtume wake swallallah alayhi wasallah ukiona waislam wanapida goma na kucheza ujue nimasufi hao
@NgwaliMakame-g1i
Ай бұрын
Nauliza kwani mtume alitakiwa asifiwe kwa music? hii ni dhambi kubwa sana kumswifu mtume ndani ya music amakweli bilisi ananguvu
@hijazhija316
2 жыл бұрын
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun
@imranijuma6955
2 жыл бұрын
Khatari wallahi mtihani
@barkebahesmy1257
4 ай бұрын
Ukiwa hupendi ondoka .we bado umeganda tu tuache sisi wa2 wa bidaaa😂
@haidaryshamte
10 ай бұрын
Kama uelewi tafuta waalim wakueleweshe sio kukosoa watu ovyo.
@AdamRajab-xd3zg
5 ай бұрын
Kuna watu majnun humu dunian sasa cfa za mtume zmpangwa kwa nashair ya qaswda hamtak pia nyie kumcfu mtume hamtak c umajnun huo
@selemankishema5780
2 жыл бұрын
Wallahi laiti mngekuwa mnajua msiba wa waislam leo kutoijua dini yetu ya uislam basi msingepannda majukwaani na kunengua viuno hii ndio hali walinizonazo viongozi na matajiri wa kiislam.
@@bahiyalumelezy3016 nenda mapumbavu wewe mmekalia ujinga ujinga hali ya dini mbaya mnafanya mchezo,
@IdrisaDulazi
Ай бұрын
Kuna watu wanalaana Mungu awazindue tu,anashangilia mpira kwa gharama hasemi ni bidaa lkini hii furaha anasema ni bidaa
@mariamawadhi9650
Ай бұрын
sasa kaswida nzur kabisa unakuta mtu eti tunaharibu dini kivip sasa
@nassirhamad9407
10 ай бұрын
BIDAA BIDAAA BIDAAA Haina tofauti na nyimbo za akina DIAMOND na Zuchu na wengineooo....Mcheni Allah watu wa BIDAAA dini munaipeleka siko munaaavuuuka mipaka sasaaa
@hamisjuma4081
7 ай бұрын
Kama ni Bidaa why umechukua mda wako kwakusikiliza bidaa Acha mambo yako hujalazimishwa kusikiliza Bidaa wewe unaojiona uko sahihi endelea haijatajwa nguruwe hapo katajwa MTUME MOHAMAD S,A,W.
@hamisjuma4081
7 ай бұрын
BIDAA BIDAA Huku unasikiliza
@sharifisangyo8038
5 ай бұрын
Bidaaniwewe hunamaarifayadini acheni wahmu
@soudkhamis7006
11 ай бұрын
Hii hatari zaidi sasa . Tumuogope mungu jamani
@issashekh4726
2 ай бұрын
Ewe Allah atunusuru hakika sisi ni wakosefu 😢
@saidseif1860
2 жыл бұрын
Duh Mambo haya ni uzushi xi mziki huu someni dini jaman
@mahmouddulajara7307
2 жыл бұрын
Anayo alamaa
@mariamomary3537
Жыл бұрын
Wewe ulisomea dunia na mbon huwez kuhukum nyamaza tungoj hukum za allah
@HusseinMdee
5 ай бұрын
Wewe mwenyewe ni bidaa Mana umezuka hukuwepo .
@BakarOthman-fl7cq
4 ай бұрын
Haji manara ww ni muhuni tu tunakujuwa tangia zamani tena ujahili ww
@mahfoudhjuma4833
Жыл бұрын
Mziki ni mchanganyiko wa alarm na mashairi ss unamtaja mtume ndani ya alarm ...mungu tupe hekma ya kujua haki ilipo
@madamex9662
27 күн бұрын
Kaswida na magitaa wapi kwa wapi. Vifaa hivyo haraam
Toa maoni yako tu matusi ya nn ss hujui ya kwamba kumtusi mtu ni dhima?
@Fatma-up9qs
4 ай бұрын
Is this instrumental song halal in Islam???
@mokitaa8750
2 жыл бұрын
pia wataitolea futuwa wakitetea leo hii hivyo vyombo vya mziki
@asyaameir8703
2 жыл бұрын
TAARABU ANAYO ALAMA ILIYOWAKOLEZA WASIOJUA KUTAFAUTISHA BAINA YA DINI NA DUNIA
@adamjutto5849
4 ай бұрын
😂😂bado diamond amuimbie mtume
@hemedisaidi9023
10 ай бұрын
Sababu za mtu kua shoga Moja wapo ni mziki mnaacha msingi mzuri wa Kur Ani na Sunnah Kwa ufaamu wa wema waliotangulia mkashika njia mbaya maswahaba wa mtume Muhammad swala llahu alley wassalam laiti wengekua kama masufi hii dini ya Allah isingetufikia sisi huku baba unaimba na kupiga dufu je mtoto wako atakuaja kuaje namuomba Allah awaongoze ndugu zetu tambue Kila Mmoja atakua kaburini pekeyake ndo pagumu hapo
@mwantummakoa4253
6 ай бұрын
Usihukumu Bali muombe mola wako akuepushe na Shari ktk dini,,,yawezekana madhambi ulionayo nimakubwa kuliko hizo dufu,,,mda mwingine hata mzaz wako hujui amekula Nini leo
@adamjutto5849
4 ай бұрын
Kwako wewe mwanamke unahakki ta kutetea hayo yanayofanywa,lkn uislamu umemkataza mwanaume kufanya vitu hvi kwa sbbu ni vya wanawake@@mwantummakoa4253
@salumunsabimana6502
2 жыл бұрын
Naomba kuuliza huu siyo music ? Kwa sabubu music umekatazwa kwa sababu ya gitar na kinanda .ingekuwa rika pekee sawa siyo music. Sasa naonaduniya imefikamwisho kwa sababu ya kuganga njaa eti kunamwarabu pale .ndomana wafrica mtabaki kuwa nyuma kidini na kiduniya mkimuonamzungu mnajishushamkimuona mwarabu mnajishusha mtihani .mngejuwa kwamba africa duniya nzima sisi ndo tunafata dini sana ilatumekwenda kinyume na mafundisho ya Allaah .acheni .
@mohamedmasauni3609
Жыл бұрын
Ndugu yangu ktk hii dini yetu kuna vivuli kwahiyo walio wengi hutumia hivi vivuli nasio kila unaemuona kavaa kanzu na kofia ni muumini au kila anae adhini ni muumini aàh a wengine ndio hao wanao tumia hivo vivuli mwenye akili na mazingatio hampigii ngoma mtume wala hamuimbi na mola wake allah atupe khofu yakumjua na kumuogopa amiin
@salumsimai642
2 жыл бұрын
Sasa hiii na taaaarab hakuna tofauti etiiiiii
@abdallahmmary8591
5 ай бұрын
Unapo sema Wafalme wanenyanyuka kwani ndio kiigizo chema Subhannallah huo ni muzki namuziki niharam nasivngine ushushi na wazushi nimotoni
@SalumSeif-w5y
3 ай бұрын
kwahiyo unathibitisha hao wanaingia motoni
@asmamjema8539
2 жыл бұрын
Mashaallah
@MaryamHaji-bb5gv
11 ай бұрын
Mashallah Allah akuzidishie tupate kuingia nae mtume peponi inshallah
@mokitaa8750
2 жыл бұрын
SUBHAANALLAH LEO DUNIA IMEISHA
@Allyahmed40
2 жыл бұрын
Acha wivu acha Mtume Muhammad Aswaliwe Sheikh
@hamisimuhammad3656
Жыл бұрын
@@Allyahmed40 kuswaliwa mwenyewe sio hivo sasa
@SalumSeif-w5y
3 ай бұрын
unashangaza unaposema dunia imeisha wakati maulid imeanza kabla hujazaliwa
@binabeidsalim6380
Жыл бұрын
اللهم صلى وسلم عليه ما شاء الله يا اخواني
@hemedisaidi9023
10 ай бұрын
Innalillahi wa inna lillahi rajiuuni ndugu zangu waislam acheni hayo mambo ya kuimba na kupiga dufu wanaume mtume swalla llahu alley wassalam akutoa mafundisha hayo muyafanyayo Wala swahaba zake mikono italegea itakua kama mikono ya Wanawake acheni matamanio ya nafsi maswahaba wa mtume Muhammad swala llahu alley wassalam walipigania dini ya Allah sio kuimba na kupiga dufu twawapenda kwaajili ya Allah hizo mzifanyazo ni njia za sheitwany Alie laaniwa na Allah
@HalfaniRashid
5 ай бұрын
Mtume wakati anapokelewa madina ilipoimbwa Twala'al badri zilipigwa nini pale maalim, punguzeni ujuaji, shida mnakariri hamtaki kusoma
@HalfaniRashid
5 ай бұрын
Dufu zimepigwa kipindi cha mtume sembuse leo bana, jitahidi kusoma maalim, usifate mkumbo
@shaameshaame9721
Жыл бұрын
dini gani hii?
@ShaameMBakar
2 жыл бұрын
uhuni huu
@SaraBashiru
3 ай бұрын
Mashaala allah 🎉🎉🎉🎉
@kisuwamwabaka333
Жыл бұрын
Huu ni msiba
@hamzakimaro3764
2 жыл бұрын
MCHENI MOLA HIYO NI MIZIKI HARAAM
@lelasharifabdi1139
Жыл бұрын
Mashallah mashallah anayo alama bwana mtume like voice 🥰😘❤
@RamadhaniSalehe-o8t
5 ай бұрын
Duuuu Allah atunusuru
@mikekhalifaali7510
Жыл бұрын
Ujinga mkubwa
@hajjialy2413
2 жыл бұрын
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun
@adamapollo9859
Жыл бұрын
Mnafiki wewe
@SalmajozifashionSalma
13 күн бұрын
Mashallah
@jumajafar8710
2 жыл бұрын
lailahillaah,masufinamashianibabanamtoto
@dullahmihuri
2 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilaihi rajiuun
@jakuabdull34
Жыл бұрын
Inailahi rajiun mwenyewe cc nyoyo zimefurah kutajwa kipenz chetu
@barkebahesmy1257
4 ай бұрын
Kuna watu wao kukosowa tuuu lkn hawafundishi mema nendeni mpirani muusifuuu mwisho mupigane😅
@zenapembe3170
Ай бұрын
Si ajabu hata swala tano hawaswali ila ni kukosowa tu. Kuna ubaya gani kumsifu mtume?
@adamnguvu1020
2 жыл бұрын
*Tunakwenda wapi waislamu?Bado Disco tu hapo*
@KherriOmariDhahabu
4 ай бұрын
Masha Allah
@hamadsaburi3569
5 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢 haraazm
@husseinlali2137
2 жыл бұрын
Hii ni nyimbo sio kasida nyie msitubabaishee
@mariamomary3537
Жыл бұрын
Nyamaza Sasa Ina ulazima gani uhoji
@haarunsaidabdillahi4082
2 жыл бұрын
Hakuna tofauti na taarab.
@sofiagao6396
4 ай бұрын
Mashaallah
@MohamedAhmed-ix3mf
2 жыл бұрын
Allah amesema kwenye quran takatifu hakika ya wanafik watakua chini kuliko makafiri motoni kwani uislam umeruhusu dufu tu sio hizo ala nyingine za muziki
@salumahmadasalum1556
2 жыл бұрын
HAKIKA
@saidshamte6272
Жыл бұрын
Lete Ushahidi Wa Kuharamishwa Hivyo Vingine??
@HalfaniRashid
5 ай бұрын
Dufu zimepigwa toka enzi za mtume bana, toeni ujinga wenu huko, Muhammad SAW alipopokelewa madina walipiga Tola'al badri ikisindikizwa kwa dufu, unasemaje hapo
@nooromar6233
5 ай бұрын
Tarumbata ndio haramu na hawa tia zaidi anajuwa mngu lakini qaswida nzuri sana
@SaidiSegumba
2 ай бұрын
Tupe Aya na hadithi alafu ukizingatia hapo ayesifiwa kipenzi chake Allah siyo
Пікірлер: 293