Nelly❤❤❤❤ Kitu Kizuri huja Wakati Ambao si Sahihi kwako kama Kweli vilee Nanukuu Maneno yako Nelly Acha niyahifadhii na ule Muda unao usubir upate chaguo huto kaa uupate kama nakuelewa vilee❤❤❤ kwahio wamanisha wakat ww upo tyr mwenzio hayup tyr baadae mnajikuta mnapishna Ndio mana ya Maneno Yako Allah Akuhifadhi Daimaa ❤️ nimeipenda snaa hio
@khajumkhamis7910
4 ай бұрын
Yaani sisi sijui tutaelimika lini , coz mtu baada ya kuangalia maudhui ya mchezo na kuangalia nini kujifunza, Bali ati anaomba like kisa yeye ni wa kwanza au ni wa pili, Ivi tujifunzeni jamani
@HappyDaudi-ub4hw
4 ай бұрын
Ni kweli tunaangalia hizi move Ili tujifunze na sio kuombana like 😂
@TabiaMwaisumo-ss7pz
4 ай бұрын
Hichi kitu kinanikwaza hata mimi
@OmegaNelson-ho1no
4 ай бұрын
Wasiojielewa awa sijui hzo likes znausiana vp na mafunzo ya movie
@arafasalim679
3 ай бұрын
Hawajielewi
@AghHh-v3f
4 ай бұрын
Vicky uko fresh sana nakupenda ❤❤❤❤
@VanisyJonathan
2 ай бұрын
❤❤❤ ndugu inabid mshauriane kama hivyo jamn kuna neno kwenye bible linasema "upendo wa ndugu na udumu" so nimependa mdogo mtu alivyo mshauri dada yake ❤❤❤❤ saaaana
@ENOCKTVSHOPSHOP
4 ай бұрын
Nahi penda donta TV kamanawewe unaipenda gonga like
@MonikaSaimoni
4 ай бұрын
❤❤❤❤
@AmenaMm-r5t
3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@msingamoshi
3 ай бұрын
@@MonikaSaimoni😊😊😊😊😊
@TabiaMwaisumo-ss7pz
4 ай бұрын
Hii isikie tu kwa mtu maumivu aliyonayo vick yanawapata wanawake wengi sana huwapata lkn Mungu ni wa ajabu sana anakila njia ya kufanya mama na mtoto wakaishi
@jamilashabani8580
4 ай бұрын
Wanaume wakikupa Mimba bila wao kutaka Ndio wapo hivo
Neno lako kaka Nelly linanifundisha kitu ktk maisha yangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AliDemashk-g2c
4 ай бұрын
Yani wah nawakubali tu sana
@ShukuruElizabeth
4 ай бұрын
Nelly sikuizi unanifuraisha sana piya kama unampenda gonga likes tano apa🎉🎉
@aminahhuawei1133
4 ай бұрын
Viki ndiyo maana nakupendagaa daimaa unajuwaa mpaka unajuwa tenaa love pia ilove you so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@DorahShayo
4 ай бұрын
Kazi nzuri sana pokeeni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PeragiaKabeho
4 ай бұрын
Ila hako kamtindo ka kuweka nywele mbele 😂😂😂😂ayaaaa
@mahirmahir2407
4 ай бұрын
Safi sana vicki kwa msimamo wako ndio mana nakupenda mno afu sasa kidume kilolea mimba mkwala km wote 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ wp nyuki nipen like
@rubelinameena
3 ай бұрын
Ndikelye imbwa indavilapasi ye nyisi
@NasraNgoda
4 ай бұрын
Wee nyuki mjinga sana unamkataa mtoto kweri❤❤❤
@mhdmhng6817
4 ай бұрын
Wewe nyuki mmpuwuzi sana
@TraifonGaspar
4 ай бұрын
Ni kweli jmn hata mm naipenda maana inatuburudisha sana sana
@revocatusmalimi4525
3 ай бұрын
Ni fundisho siyo burudani
@rukiahassan7001
4 ай бұрын
Fumzo zuri kwa wanao kataa mimba.angefata ushauri wako wakipumbavu wakutoa mimba ungemfata saa ngapi huyo mtoto wako.kwa nini usifate marehmu huko kaburini.
@Ngoybanza15
4 ай бұрын
Wa kwanza marecani mimi na Donta tv si lali
@ZaharaNgingite-n2l
4 ай бұрын
Nikekumbuka mbal sana😊
@doreenkerubo7056
4 ай бұрын
Da vick ambia mtoto babake alienda Nairobi matembezi kw bahati mbaya akaenda n mafuriko😂😂😂
@florencekanze
4 ай бұрын
😂😂😂kumekucha Sasa mwenye kukosa baba akamtafute Nairobi🏃🏃🏃
@doreenkerubo7056
4 ай бұрын
@@florencekanze 😂😂😂😂nakwambia
@beautifulafrica6886
4 ай бұрын
@@florencekanze🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂
@RizikiZiki
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@نيجي-ن1د
4 ай бұрын
😂😂😂😂
@JavanTresiah
4 ай бұрын
Wangapi wame comments bila kumaliza move hebu acheni like mukipita 😂😂😂😂😂😂😂
@SuzanyJohn
4 ай бұрын
Hahaha 😂😂😂 hiii tabia yang kbx Huwa naangalia comment kwanza nikiona watu wameisifia ndy naiangalia😅
@JavanTresiah
4 ай бұрын
@@SuzanyJohn hahaha 😂😂😂😂😂 tuko wengi kumbe
@ashamwanganzi6400
4 ай бұрын
Daaah pole san vick ndo maisha ya cku hiz hayo😢😢😢😢😢
@florencekanze
4 ай бұрын
Hii roho yanyuki tuombesana isipate wapenzi wetu mana nihatari sana
@ruthgloriaobonyo
4 ай бұрын
Funzo kwa wengi❤❤❤ Nyuki vuna ulichopanda😢
@HappyDaudi-ub4hw
4 ай бұрын
😂😂😂 ila nyuki ndo kicheko gani hicho Jamani 😂😂😂 all in all nawapenda sana ❤️❤️❤️
@CarolineImbwaga
3 ай бұрын
Wow ❤❤❤❤
@Babymuu-x9t
2 ай бұрын
Nyuki mtoto ni baraka kutoka kwa mungu acha vicky aleee mtoto
@HosianaJohaness
4 ай бұрын
Wa mwisho Jmn naombeni like 🎉
@AnithaMgeni
3 ай бұрын
Imbwa ndavila panyi..........wahehe na wabena gonga like
@MuhacheJane
4 ай бұрын
Wa kwanza Leo kutok kenya
@KABAGAMBE-y9q
4 ай бұрын
Léo na Mimi nataka lake❤❤❤ kwanini Mimi sipatih aa
@MarthaMkasi
4 ай бұрын
Hi move wameniigizia me au mbona maisha yng yn jitu Lina miaka 35 huko linasema bado linatafuta linataka kuitwa baba au Babu ila wanaume kuingia Mbinguni kazi xn
@IbrahimBiladi
3 ай бұрын
Hiyo iko poa wa Congo mani tusapoto❤❤❤❤
@RizikiZiki
4 ай бұрын
Wakwanza mimi jamani nipewe mauwa yangu 🎉🎉🎉🎉
@numpefikimwaipopo
4 ай бұрын
Upewe maua Kwa lipi mnatusumbua mnavoomba like wakati hamjafanya kitu wewe ndo utoe like Kwa wahusika au comment au shukrani
@EverlineEtwasi
4 ай бұрын
Hope wanaume wapumbavu wamejifunza apo kitu
@BijouxMunezero-q8e
4 ай бұрын
Nakupenda vik yani ww mu dada unawogeya pweti
@sikudhanimohammad7692
4 ай бұрын
Anawogeya pweti
@mariaphilipo
3 ай бұрын
@@sikudhanimohammad7692 😂😂😂
@mariaphilipo
3 ай бұрын
@@sikudhanimohammad7692 😂😂😂
@موكاء-ظ9ج
4 ай бұрын
Good job
@AsmaAsma-og6ul
4 ай бұрын
Vick umeupiga mwingi san ongel Kwa misimamo pia nelly na lovenes ongelen Kwa maneno Mazur mnampa frah san vick
@YvonneWanyonyi-gh4pw
4 ай бұрын
Much love donta TV❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MajuvaMajuva
3 ай бұрын
Safi sanaaaaaa imenifurahisha ndomjifunze wanaume mliyekuwa natabia kama hizi
@SwalehSelemani
21 күн бұрын
Mbona mnarudia story
@DoriceBabiligi
2 ай бұрын
Lakin donta mnakera movie nusu mnaleta nyingine mnakatisha tamaa jaman
@AghHh-v3f
4 ай бұрын
lavenessse umeogereya pwente kabisa tumewareya birakina baba no stress kabisa Alhamdulillah 😢😢😢
@sikudhanimohammad7692
4 ай бұрын
Mwanzo sikujua kama ni kiswahili umeandika. Duh
@NeemaJeremiah-s9x
3 ай бұрын
Luga gan hii
@sikudhanimohammad7692
3 ай бұрын
@@NeemaJeremiah-s9x ki giriki
@veronicaoman8764
3 ай бұрын
Ni nzuri inaujumbe
@MauwaAuwa1991
4 ай бұрын
Like zangu jamani
@jamilashabani8580
4 ай бұрын
Da Vick vumilia ww si wakulia lia❤ nyuki una vituko et Vick kamitegeshea Mimba
@nurumwinyi796
3 ай бұрын
Kwa hii move namuona loveness amefubaa au ni macho yangu
@amaninarwahi
4 ай бұрын
N'a mimi natama i kuwaona nyinyi wote wana donta tv
@MussaMwalim-w5m
4 ай бұрын
Mbona unakufuru we nyuki pengine hata hwefika kuachizwa🎉🎉
@AsmaAsma-og6ul
4 ай бұрын
Jaman mi Nelly Vick love wananifraish san km mna no zao nipeni
@AsmaAsma-og6ul
4 ай бұрын
Jaman mi naomb kuuliz kumbe mimb inaingia Kwa kutoa taarif ? Maan Vick mimb yke Aina taarif
@RayanIssah
4 ай бұрын
Aisee inauma san pole sana vick
@Mery-st4nu
4 ай бұрын
Yani huyu nyuki ni kama baba watt wangu eti utoto ulikuwa unamsumbua nimecheka sana alivosema nikakumbuka Yale ya mzazi mwenzangu na kujikuta amexhelewa
@DeborahFuraha-ho4yk
4 ай бұрын
Yewe wikurula kimugabo cyane koko akauraginza pe dina koko buizagarukirahehe amaherezoyawe nayeric nayahe shance napatrick namue muduhe inyushyu birarenze
@beautifulafrica6886
4 ай бұрын
😂🤣😂🤣 we nyuki
@AsmaAsma-og6ul
4 ай бұрын
Yan mijanaume mikatil tz ndo imejaa
@AsmaAsma-og6ul
4 ай бұрын
We nyuki bhan unatuchangany we ingekuw utaki kuchomwa na miba Si ungevaa viat ili usichomwe na miba jman
@allymwashambwa5920
4 ай бұрын
Loveness ni kabila gani ?
@RoseAmos-t1w
4 ай бұрын
Huyu jamaa nely Kila move kaziyake kutoa ushauri tu yey anashauliwa na nan😂😂😂😂
@mwanamisiomari8189
Ай бұрын
Hii comment imenichekesha😅
@JanetRiziki-ut2is
4 ай бұрын
Vicki nakupenda sana kwa msimamo wako ❤❤❤❤❤
@AminaNgumba
14 күн бұрын
Kwnz huy nyuki mwenyew kuvaa hajui😂😂😂
@DismasFaustine
4 ай бұрын
mimi ni wa 8
@justerissaya9165
4 ай бұрын
Duh jamn alitakiwa kushukur sana mana alipewa nafac ya kumfanya mwanae amtambue kama baba
@JenniferBaya-zu5cr
3 ай бұрын
Ah. Mungu. Tudaidie. Sisi. Wanawake
@RehemaElendela
4 ай бұрын
Nawapenda sana
@AsmaAsma-og6ul
4 ай бұрын
ILO nifundisho Kwa wanaume wot
@JescaMakatu
3 ай бұрын
Pole mdg wangu kila jambo Lina wakiti wake welea mimba yako
@ارينكيني
4 ай бұрын
Hilo ni funzo kwa wanaume wengine
@nasrahassan7346
4 ай бұрын
Vick kapata mme mwema mashaallah❤
@Byaunda-zi7ue
4 ай бұрын
Good night love you too
@RebeckAunt
Ай бұрын
Good job ❤❤❤
@Inea-ig4on
4 ай бұрын
Vik bhana na begi kwa kitanda
@nasrahassan7346
4 ай бұрын
yaani vick kama nakuona hapo mjamzito umempenda mme kweli kweli hapo watamani uwe nae karbu wampigia sim anakukatia dah roho inauma jamani sikia tu😢
@MaryMwamkamkamba
3 ай бұрын
Munaomkubali hii movie mwaga makopa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@bas2823
3 ай бұрын
UBSOLUTLY WRIGHTS👌"!
@MarcoJohn-hv1jw
4 ай бұрын
Saf San da Vicki msimamo wako mzur san
@nasrahassan7346
4 ай бұрын
Nely yupo vizuri kwa ushauri nyuki kimemlamba😂
@DeborahFuraha-ho4yk
4 ай бұрын
Kabisa wanaumue wamezoweya kufanya hovvo haki kure rana wanawake nakusema kuwasema mubaaa
@PaulinaLorry-b4m
4 ай бұрын
Donta jmn sipendi vicky apate changamoto yyte pls
@nasrahassan7346
4 ай бұрын
vick nakupenda dear hakuna kutoa mimba hapo lea mimba dear asikubabaishe huyo badae mtt atakuw rais atakusaidia kweli inauma
@MagesaJulius-k9o
3 ай бұрын
Kweli baadh ya wanaume hukumbka shuka kumekucha
@AmenaMm-r5t
3 ай бұрын
Saf san nawakubal san 🎉🎉🎉🎉🎉
@fatuma6011
4 ай бұрын
Nyuki jamani sio kwa kicheko hicho😂😂😂
@نيجي-ن1د
4 ай бұрын
Nyuki majuto ni mjukuu ulimuapia Vicky asikutafute saa hii unamtafuta ww
@joycemuenimutua4506
4 ай бұрын
😂😂😂😂Nyuki kimekuramba baba❤❤🎉🎉🎉🎉😅😅🇰🇪
@BertaAtanasio
4 ай бұрын
Yaan ww nyuki akili huna unakataa mtt kisa hutaki kuitwa baba wakati una hitaji hupati utakuj kujuta mpuuzi kweli
@mwanamisiomari8189
Ай бұрын
Nyuki katengeneze asali😅
@sikudhanimohammad7692
4 ай бұрын
Hapo kwenye mke wa mtu kuongea na mwanaume mwingine haijakaa sawa. Kwann alivyokuja tu asimuite mumewe? Ni ushauri tu
Пікірлер: 172