Ahsante Raisi wetu Mungu akusimamie utuletee maendeleo usiwasikilize vipofu hawaoni usiwalaumu
@aliabdalla9297
2 ай бұрын
Bora hao vipofu kuliko walorogwa aakili zao maenddleo fly over hiyo mwisho wake wapi
@AbdallahSalim-is3db
2 ай бұрын
Kipofu mwenyewe mjinga wewe hayo sio mambo ya maendeleo kabisa...ni mambo madogo tena ya kawaida tu bwege wewe
@user-yx7bn3hb5x
Ай бұрын
pemba bado hatuko huru lazima wapemba tujitambue
@sifuelinyaki3341
3 ай бұрын
Ati flying over zanzibar jamenii
@harithwhite589
3 ай бұрын
Mji hautoleta haiba kamwe kama hamtoamua kubomoa vibanda vibanda kando ya barabara kuu mnazozijenga
@R10_Rajab
3 ай бұрын
Kabisa
@saidiomar6642
2 ай бұрын
Kweli vibanda vichafu vya kahawa lazima sio vivujwe bali visagwesagwe hata fusi lisipatikane 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-ns4cj1rf7c
6 күн бұрын
@@saidiomar6642na mikwajuu water maana zanzibar tumezoea kuishi kwa mazoea
@DoctorBondia
2 ай бұрын
Wameanzia kwerekwe kwenda Fuoni?
@mohddelo
3 ай бұрын
Safi
@SalumJuma-iz2gj
3 ай бұрын
Raisi mwinyi oyeee na pemba utujengee
@cath-ef7wd
3 ай бұрын
Labda matako..angelijenga hizo barabara kwanza
@najimmaalim976
3 ай бұрын
Nahutaona
@jituakilimali15
3 ай бұрын
Nafikiri mngefikiria kujenga kwanza miundo mbinu Ya maji taka ili iwe rahisi na kunusuru kila mwanchi kuchimba mashimo kila nyumba inapotokea mafuriko kipindupindu Kina kuwa hatari
@FatmaAbdulhalim
3 ай бұрын
Unasemaje weye
@jituakilimali15
3 ай бұрын
Hukusikia au huyataki?
@KS-iw7qv
14 күн бұрын
Hii barabara muhimu saana ndugu
@R10_Rajab
3 ай бұрын
Ondoeni Round about hiyo sijawahi ona Flyover chini kukiwa na Roundabout msituletee mapyoro bhana
@allymazrui9744
3 ай бұрын
Tembea ndug mm spo upande wwt hule ila tembea utaona mingi
@R10_Rajab
3 ай бұрын
@@allymazrui9744 Yaani flyover chini kuna round about?wacha nitembee tu ndugu yangu
@saidkhatib9146
2 ай бұрын
Tembea uone zipo nyng sana
@R10_Rajab
2 ай бұрын
@@saidkhatib9146 nitembee tu bro maana kiukweli sijaona ila nishashuhudia sehemu kuna round about the kuna kuja ujenzi wa Flyover ikimaliza na roundabout huwa haipo tena
@eddynaeem6708
3 ай бұрын
Pemba hamna ata ground over panya nye
@keisRamadhan
3 ай бұрын
Pemba kuna uhaba wa watu huwezi kujenga km hiyo
@user-qv3rf9mc7g
2 ай бұрын
io ground over pemba hakuna Sawa ila mama ako a anayo inatosha 2ta2mia io io
@DoctorBondia
2 ай бұрын
Binaadamu hakosi la kusema😂
@DoctorBondia
2 ай бұрын
Allah ampe afya njema zaidi ili azidi kuijenga Zanzibar
Пікірлер: 29