Amen, nimebarikiwa sana na neno la Mungu. Ahsante sana kwa kutupa hii axe, inaonesha hivi, Mungu akitaka kufanya kitu ni kwamba hata sekunde mmoja haitaisha. Jmn Mungu ni Mungu tu.
@irenekambi4705
4 жыл бұрын
Amen!!! JINA LA BWANA YESU LIHIMIDIWE MLELE
@iradukundaarnaud8907
3 жыл бұрын
Mungu ni mungu tu atabaki kuwa mungu asante sana nime barikiwa
@Paulo-es7ew
11 ай бұрын
Lord bless you and glory be to lord forever and ever amen
@carolinepeter961
4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana endelea kufanya kazi zake
@carolecar5498
Жыл бұрын
ubarikiwe Sana katika hili neno la MUNGU
@lifejeremiah6957
4 жыл бұрын
Amen maana nimebarikiwa sana
@jabsonwillifred6641
4 жыл бұрын
nashukuru maana bwana anazidi kutenda yaliyo mema kwetu.
@kakazikwe2271
4 жыл бұрын
Ubarikiwe ndugu.
@queenwinnie256
4 жыл бұрын
Amazing story
@josephmlaga8305
4 жыл бұрын
Daha stor good
@dazimsoweto8470
4 жыл бұрын
Kaka uko vizur Mung akubarik sana
@CatherineMwakibinga-tn5be
10 ай бұрын
Amen
@josephkinyua1954
4 жыл бұрын
Amtegemeaye mungu hashindwi
@polkalipimavazi1792
4 жыл бұрын
kweli tupu
@danielernest8588
4 жыл бұрын
Amina
@t7zkc5tpxgim28
4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana brother
@gabrieldevid9
4 жыл бұрын
Hongera
@gaspamwalukasa1530
4 жыл бұрын
Nawakubali sana
@hubarikiwesanawimbowakoume7882
4 жыл бұрын
ubarikiwe
@vailethjohn22
4 жыл бұрын
Kaka napenda sauti yako Mungu aendelee kukubariki utupatie story nyingine za Bible nakupenda manake hutusimuliii uongo kama wengine
@yohanamsisi304
4 жыл бұрын
Wa kwanza
@neyhmrs7704
3 жыл бұрын
Safi
@franciscokaizilege4556
2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@mummyangel5595
4 жыл бұрын
Naomben like zen kama mpenda story
@freemanmovies4716
4 жыл бұрын
Pronografie ,
@saraphinakamnde2661
4 жыл бұрын
Kumbe tupo wengi mpnzi wa story
@rhodaaroko-ps2iw
Жыл бұрын
BANANA YESU ASIFIWE SANA
@pronetgaspar1203
4 жыл бұрын
Ukovizuli Sana bro ila jitahid ata kilasiku uwe unatoa moja napenda sana
@shabanikassim308
4 жыл бұрын
Umetixha
@hamisimustafa9989
4 жыл бұрын
Mm npend sna kujifunz n kuskilz history km hiz
@felixandrew8126
4 жыл бұрын
Sasa hapa umejia nn
@kindolek9257
4 жыл бұрын
Pole saba
@eugenyurassa2183
4 жыл бұрын
Hamisi Mustafa IPO sawa
@eugenyurassa2183
4 жыл бұрын
Hamisi Mustafa IPO sawa
@aizakkayombo9707
3 жыл бұрын
Kwan kwenye hadisi Zen mbona hamuwek picha za wa tu weusi no wazungu tu
@glorigilbert1218
4 жыл бұрын
tunajifunza kupitia adithi zenu
@SIMULIZIBIBLIA
4 жыл бұрын
Asante na endelea kufuatilia simulizi hizi za wana Mungu
@tabbygichuhi6371
4 жыл бұрын
nilikuwaga na ii kitabu ikapotea naweza pata wapi ingine
@severinaseverinanyoni707
3 жыл бұрын
Unajua nn asant mtangazaji mm kila nikitazama na kukufatiria huwa najifunza mengi kichwa mwangu ata sijutii kuwa mkiristo
@abedibyaese1727
4 жыл бұрын
Balaamu ninani ? Na ananguvu gani?
@zachariandaba2264
4 жыл бұрын
Alikuwa nabii kW kipindi hicho
@belindagiliard8977
4 жыл бұрын
@@zachariandaba2264 hapana, hakuwa nabii bali mganga, ila alikuwa akimlaani mtu analaanika na akimbariki anabarikiwa, alikuwa kama walivyokuwa wanajimu
@rosemariki7870
3 жыл бұрын
Balaam alikuwa mganga wa kienyeji. Na alitaka kutumiwa na Mfalme Balaki wa Moabu, kama wakuu wengi wanavyotumia waganga Leo kuwasaidia mambo yao. Ila yupo Mungu awezaye kutiisha hata waganga wasifanye machukizo mbele za Mungu.
@saidsoud5967
4 жыл бұрын
Kumbe hekaya za abunuwasi
@mrishorajabu1134
4 жыл бұрын
Balaam ndo alikuwa nabii au siluelewi umetoka kimya kimya
@benjaminbatano3293
4 жыл бұрын
Sikiliza tena ndugu.
@eliaskasandiko94
4 жыл бұрын
Balaam alikua nabii na balaaki mfalme
@rosemariki7870
3 жыл бұрын
Balaam alikuwa mtabiri au mbashiri na kwa lugha nyepesi ni mganga wa kienyeji, na sio nabii.
@cindyjohns6662
2 жыл бұрын
Balaam alkuwa mganga lkn Mungu akageuza huo uganga aliokuwa anafanyia wana wa Israeli ukawa baraka. Hangeweza kuwaroga.
@saidsoud5967
4 жыл бұрын
Hakuna mtu ambae anaweza kuwalaani watu huo ni uzushi
Пікірлер: 55