Inonga wa mwisho wa simba ni bora beki acheze g64 kuliko yeye, nimefurahi sana kuondoka istoshe hata chama pia naomba aondoke tu maana keshatujaza ujinga vichwani mwetu, aende tu.
@Sanjey-vp1fm
3 ай бұрын
Mwamnyeto ackanyage pale msimazi
@Yusufumoses-w5y
3 ай бұрын
Huyu jamaa anaongeaga Sana alaf nyingi ni pumba tupu
@BADAWY575
3 ай бұрын
Hawa mm nawaita wanafiki alafu najiuliza kisha nakuta kumbe ni machizi au sijui ndio chawa.ukweli ni huu Enonga bakka wakati wa mwisho simba hakuwa na raha kulikua na uongozi usio watosheleza wajizaji wame surfer huo ndio ukweli .Swali huo uongozi ndio bado upo semeni ukweli simba yetu hatujijui mikuma nyie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@UmayyaNkya-ze3ri
3 ай бұрын
Ata mie kweli inonga cjaumia😅😅 kwan ligi inaanza lini jmn
@amourhaji1333
3 ай бұрын
Muongo Kisugu. Brazil SI Kwa Ronaldo de Lima. Akikuwa Ni Romario. Wacha Uongo.
@BADAWY575
3 ай бұрын
Sasa anaongea inonga wakati uliopita na sasa hana hata uelewa wa mpira inonga profetional player .alikosa raha ya timu .timu lenu kama timu la ndondo kina per omar jobe na bado yuko sana simba kuna kiongozi mkubwa tu anagawa nae mshahara😂😂😂😂😂😂yani 😂😂😂😂😂😂😂friji langu bovu
@AndrewLikiti-yb2ws
3 ай бұрын
Mwezi wa 8 mwaka huu 2024
@AndrewLikiti-yb2ws
3 ай бұрын
Ligi itaanza mwezi wa 8
@DavidMnanka
3 ай бұрын
🤪🫡👏
@FrankLeonard-wh5jm
3 ай бұрын
Mboyoyo nyingi sana hamjui tu wtu tunavyo umia huku mtaa
@mzeebabumzee
3 ай бұрын
kaondoka mbape ndiyo maisha ya mpila
@khadijahussein5298
3 ай бұрын
@@mzeebabumzeekweli kabisaa
@khadijahussein5298
3 ай бұрын
Kwakweli yaanii
@TomasiklistophaMwinuka
3 ай бұрын
Hakuna Asante iliyotuumiza walikuwa wanatuhujum nabado wengine tunashangaa bado wapo hatujui Kwann wanawachelewesha kupewa asante
Пікірлер: 16