Kama unamtambua NGOMA NAGWA,nigongeeni Likes wana.frm🇰🇪001
@hamzahassan363
Жыл бұрын
Sana
@allanmashanda4424
Жыл бұрын
Kafanyaje?
@Burundian_Traveller
Жыл бұрын
Huyooo
@NEG-B
Жыл бұрын
Nangwa ameuwa
@ontrending-m6p
Жыл бұрын
❤kzitem.info/news/bejne/lp9mqIpoiJ17fG0
@J4UPro
Жыл бұрын
Wakenya ni watu wazuri sana, yaani wao wanapenda muziki mzuri basi. Big up 🇰🇪
@MudMuho-zo9do
11 ай бұрын
Nyie simuimbe zenu
@abiasifredrickdima3255
Жыл бұрын
Ulistahiri kuwa msanii Bora chipukizi wewe ni motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@tracytonny
Жыл бұрын
tunahitaji part 2 ya wimbo huu😂😂 isiwe Dungamawe alifariki. anafaa awe na mwisho mzuri
@emmanuelnyakoi2391
Жыл бұрын
Ngoma nagwaaaaa miaka mingi hatujafilimba ulembe💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dickmjuba6075
Жыл бұрын
Ngoma kali mhusika mkuu nagwa og anaweza kabisa kuwa dunga mawe kulingana na uhuni wake tunaisubir❤❤❤❤🎉
@allymachejo2996
Жыл бұрын
Licha ya maguma aliyopitia muhuni wetu Dunga Mawe lakn alikufa kwa kutaka kumsaidia mke wake RESPECT SANA✊
@musamusembi3043
Жыл бұрын
Sio kwa wizi banae kutimiza mahitaji funzo hapa ni kuwa tafuta hela kwa njia ya halali kazi za kiume zipo miingi mijengo na kathalika
@mrmea1935
Жыл бұрын
Kwenye fasihi hii inaitwa kufaulu kwa mwandishi /mtunzi, ujumbe imefika na funzo limetolewa,lkn angeenda kuiba akafanikiwa maana wizi ungeonekana mzuri, lkn kwa sababu yamemkuta mazito hadhira itaelewa kwamba suruhisho la kipesa ni kutafuta kazi ya kufanya,kuomba sio kuombaomba,kukopa na baadae kurudisha.
@sadicksamuel2005
Жыл бұрын
Alikufa kishujaa 😂😂😂
@erastojackson8427
Жыл бұрын
Dg ametisha unyama can ✌️
@nishimwejames83
10 ай бұрын
Alikufa kiume😂😂😂
@vybzkiller254
Жыл бұрын
Nagwa kiboko 💯💯🔥Dunga mawe wapi likes from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 it to the world 🌎
@rashidinakoni
Жыл бұрын
Nataman kua wa kwanza kuitazama hii ngoma aiseee ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@poleclassic
Жыл бұрын
Ngoma Nagwa,,,bendera chuma,mlingoti chuma.Namkubali sana Ngoma Nagwa❤
@darlingqueendee3822
Жыл бұрын
Sad story bt nice song nakukubali kontawa...Kenyans loves Tanzania
@khatibaliy4738
Жыл бұрын
Hujamaa ana weza sana kontawa top in town namba like zenu
@jembelakijiji
Жыл бұрын
Finally baada yakuisubiri kwa mda mrefu dunga mawe ishatoka Kama unamkubali kontawa gonga like tukisonga
@abiasifredrickdima3255
Жыл бұрын
Yani Content ya wimbo na mhusika NAGWA vinaendana Sana Kontawaaaaa we ni noma 🙌🙌🙌🙌
@thisisnotnome6533
Жыл бұрын
Msanii bora Tanzania 🇹🇿 tunae hapa aitwa KONTAWA! AMETISHA
@hassanikobelo3688
Жыл бұрын
Hivi we jamaa wanakuangalia kwa jicho la Tatu kweli ndo mziki ushakua wa watu fulani na wanaoangaika na madanga u are real talented bro keep pushing and will support you till end🙏🙏❤️
@fredrickmaitha4427
Жыл бұрын
Kenyans 🇰🇪 let gather here to show this man love❤❤
@ontrending-m6p
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/lp9mqIpoiJ17fG0
@Bollah4Life_Earth_Adi_Heaven
Жыл бұрын
KONTAWA ❤hii ni zaidi ya filamu
@patrickmaina715
Жыл бұрын
huyu ni mnoma bana
@fridachonga
Жыл бұрын
We are here
@t9kenya
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/zm-QmpqffYKKeZw
@Chrisviva-ki5pu
Жыл бұрын
huyo ndo Dunga mawe kweli umepatiya sana 💖💖💖
@Peterwiz_254
Жыл бұрын
Massage mzuri kwa mayouths.. from Kisii Kenya 🇰🇪
@nehzreal7445
Жыл бұрын
Mi nashangaaa na hii kipaji yote kontawa hukuwai tambua unayo tangu utotoni daaa....kweli ya mungu ni wengi outer kisumu 🇰🇪 we love your music
@cleverbenardclevermc-ld6qg
Жыл бұрын
Naisubili kwa hamu hiyo ngoma #dungawawe baada ya kuona picha ya nagwa ndo nikaja ku comment kwasababu mimi mwenywe nilkua na waza kama yule ahoufe wa ghana amekufa basi mwingine wakuweza kuigiza uhusika wa dunga mawe ni nagwaaaaaa sharout sana mwanangu kontawa napenda sana uhandishi wake
@nictordefavored3287
Жыл бұрын
Yaani nipo ange kabisa kuiona hii video ya dunga mawe,,,,nyimbo yenyewe ni noma sana ,,on top kontawa👌
@samsonjuniormayama8847
Жыл бұрын
Umenikimbusha mbali kwa rfk yangu wa krb alieuwawa mabibo kontawa kiume nadondosha chozi kwa hii nyimbo🔥🔥🔥🔥🔥 respect sana 😔
@zemost
Жыл бұрын
Mh. Kwa video ili Umeua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mohdkhalifa8828
Жыл бұрын
Kontawa nakukubali sana kaka Ni wa peke sana kaka Upo specel like my brow chidi benz
@EzraTech10
Жыл бұрын
Gonga like km una mkubali kontawa ❤💥💥
@paulgaspary2459
Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Kontawa. Nimeusikiliza vizuri nimepata feelings flani hivi basi tu. Na huyo mwamba NAGWA Namkubali sana huyo ndo DUNGA MAWE 😃😀
@agnesjohn9382
Жыл бұрын
Dunga mawe ngoma Nagwa nakukubali sana kichaa wangu umefanya kazi nzuri Kontawa pia nakukubali sana mchizi wangu unajua nyimbo zako bora na za kipekee God bless you ❤❤❤u forever
@cleverbenardclevermc-ld6qg
Жыл бұрын
Kwangu mimi binafsi hapa bongo msanii wa kwanza ni #KONTAWA na ndo role model wangu utake utakubari na usitake ukakubali tu
@Clvestar
Жыл бұрын
Haya ndo mambo mazuri ya kuiga wasanii wengine wajue big up kontawa 🙌
@jofreysj_tz6693
Жыл бұрын
Kontawise umenyoosha kak hain chenga story na ngom vinaendan kinoma noma 🔥🔥🔥🔥🔥
@allyissa-sp3ql
Жыл бұрын
Daaaaaah huruma sana dunga mawe ila kuna wakati wanaume tunakufa kuwasave wanawake na watoto Respect ngoma nagwa
@hafidhali4336
Жыл бұрын
Ngoma nagwa og. Au macho yangu tu. Hamilton William mtu mbady✌😁😁😁😁😁
@paschalgabrie1099
Жыл бұрын
Yes! Kontawa, kwanza Hongera kwa tuzo....hakika unastahili zaidi ya hapo...naam hii ndo video tuliohitaji...maana tuliisubili baada ya ile story ulotusimulia pale tunaota 🔥👍👏👏👏👏
@ontrending-m6p
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/lp9mqIpoiJ17fG0
@felixmorara6241
Жыл бұрын
I remember my father introduced me to this 'Ndunga mawe' Ngoma Nagwa in this video...he really is the best person for this role played in the video...A very deep song bro I literally shed a tear because I am going through the last stage that led to his death and I pray God bless us all and bless kontawa for the inspiratio...I left this comment so I can read it when I'm old next to my son/daughter
@henryrama6281
Жыл бұрын
All will be well brother
@njirumutegi
10 ай бұрын
You will be victorious sir.
@Abraahfx30
Жыл бұрын
Nice umetish kontaw nice video
@Jkone891
Жыл бұрын
BIG FAN TOKA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪... BIG UP NAGWA BIG UP KONTWA ART KUBWAA... MKOJANI GAnG nawatambua sana pia
@smartwhite1945
Жыл бұрын
Sawa mwanangu dunga mawe
@gabrielyaa8681
Жыл бұрын
Big up Kontawa tunakutambua +254
@November19tv
Жыл бұрын
Endelea kukaza mwanangu badman kontawa, respect pia kwa script writer kaitendea haki ngoma kweny video nimeuelewa xana ujumbe kuliko nilivyokuwq naisikiliza audio Jamaa kanyoosha xana scrpt nicklas nae kawaida take kufanya vyema.
@rashidinakoni
Жыл бұрын
Nilikua naisubiri kwa ham sanaaa nimekua wa kwanza leo naombeni likes zenu 🙏
@samgax3726
Жыл бұрын
Aaaaaah anaitwa Dunga mawe
@nicho.haircare9367
Жыл бұрын
mtaa umekukubali... KONTAWA, WE NI NOMA.... KONTA WA MAKONTA💥💥💥💣
@besteva499
Жыл бұрын
ngoma moto🔥🔥🔥🔥🔥
@don_dallartz
Жыл бұрын
Dunga Nagwa Mawe😅👊🏿🔥🔥🔥🔥🔥
@Amikeyplayan
Жыл бұрын
Naiyi kabisa kali sana kk inabili iwe music bora sana kk This is my favorite song ❤❤❤❤❤❤🎉
@fursaonlinetv
Жыл бұрын
Amevaa uhusika vizuri sana
@paulcharles5533
Жыл бұрын
Hii story ya mwanangu kabisa, pale Kibaoni Singida. RIP
@FrancisMkonda-ie6zm
Жыл бұрын
I fell from the depest part of my HEART....u're genious BRO.😢❤
@ontrending-m6p
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/lp9mqIpoiJ17fG0
@omidopatrick9029
4 ай бұрын
kontawa on fire,elimu kwa wingi,unacho kipaji kaka
@omarysadiki9923
3 ай бұрын
Mwanangu Dunga mawe inaniliza ukuuu aseee😢😢😢😢
@samwelipaul1462
Жыл бұрын
Tuna isubili kwa ham hii dunga mawe 🔥🔥💉💉
@oledokoratilombashi
Жыл бұрын
Video nimeiangalia Mara 6 bila kuitoa yaani kila ikiisha naweka tena ndo ujueiko powa kweli kama na wewe umeangalia kama mimi gonga like hapo
@ayubukassim7995
Жыл бұрын
Dunga mawe kacheza saf sana Humu Nagwa Boy 🔥🔥🔥
@mbuziwakutaga
7 ай бұрын
Namkumbuka sana mwanangu David wa masumbwe geita😢😢kama dunga mawe r i p😢
@jembelakijiji
Жыл бұрын
Wangapi tunasubiria hili jiwe
@BONGOKUMENOGATV
Жыл бұрын
kontawa uko juu Sana dam yangu
@official_harmsmunga
Жыл бұрын
Apart from the vibe, The messages hit the inner part of the ears.... The love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 is big...
@user-do7jd5rn2n
8 ай бұрын
Xxx
@omarimsonde1684
Жыл бұрын
Hiyo ndyo hasili yetu nimesha shudiya kama hao kwenye mtalo kama kumi wengine hakibaa😳😳sikya huko kwetu wapo Dunga mawe maisha harisi ya watoto wa ❤❤❤❤
@mrsinia3064
Жыл бұрын
Dunga mawe ya moto...🔥🔥🔥
@asifiwe4773
Жыл бұрын
Oa umepiga kwenye mshono kabsa mwanangu nagwa ✌️✌️✌️
@denisngenda3530
Жыл бұрын
Bonge la video 📷📷🔥🔥🔥
@foodvybes3993
10 ай бұрын
Aisee Dunga mawe jembe.❤️❤️❤️ From 254
@flemymusic
Жыл бұрын
NAGWA YANII HII NGOMA INAMUONGELELEA YEYE KAPISA.... RESPECT TO KONTAWA ENDELEA KU SHINE BRO❤❤
@feddyfeddy2597
Жыл бұрын
Nipeni like zangu
@AlexDaudi-gx6hq
Жыл бұрын
Nagwa umetisha mwanangu bonge move
@barakarobert9516
Жыл бұрын
Mziki sasa umerud, mziki wa ujumbe kama zamani kipindi cha akina Sir Nature unahadithiwa kitu alafu unaelimika, Big up Bro
@alecksdencil4445
Жыл бұрын
From the City of Africa"Nairobi"🇰🇪 l love this bro, you're the Star 🌟
@kapesamjenga8971
Жыл бұрын
Minuno5000 Cheko la 1000 Ngoma nagwaaaaa
@Mado_Boy254
Жыл бұрын
Naandika comment kila time juu nakukubali TAWA the role model
@ramadhansaid763
Жыл бұрын
Tawa we mkali kaka
@MsanuajiOg
Жыл бұрын
Nakubali hii mzee
@brostonekillerofficial8344
Жыл бұрын
Nimefurahi sna kumuona ngoma nagwa
@hafidhmguhi8624
Жыл бұрын
Kilichobaki ni kuitolea movie😢
@okisdungamawe254
Жыл бұрын
Dungamawe my best song,naikubali siku zote 🔥💪😅
@khalefkhalef5733
Жыл бұрын
Wakwanza mm nipeni like zangu 10 tu nikalale Kontawa & Ngwa unyama ni mwingi
@RBTZOFFICE
Жыл бұрын
kama unaamini huyu ndy anafaa kuwa dunga mawe like hapa
@Ebendentalclinic
Жыл бұрын
perfect video creations..ila najiuliza hii story ni ya kweli??,Inaskitisha aisee.
@kuluthumusaid-jo6cv
Жыл бұрын
❤❤❤ nakubaleee saana
@FAMILYSIMBA
Жыл бұрын
APPRECIATE THIS TALENTED BOY! I wait this dungamawe nagwa
@user-yk1pc5pj8s
Жыл бұрын
anyshow to kenya il be there
@ponyoduguru
Жыл бұрын
Wakwanza mimi 🇮🇹 tujuwane kwa Likes
@mwambino
Жыл бұрын
Dunga mawew mnyamaaa
@frielarlmond8482
Жыл бұрын
Huyu jamaa ki ukweli ni mkali kwa mashairi🎉🎉🎉🎉😊
@thisisnotnome6533
Жыл бұрын
Kama wewe ni mwanangu wa kuikubali "DUNGA MAWE" basi like message hii 💥
@OfficialRanavu1.1
Жыл бұрын
Nili pitiya changamoto Kama hizi @dance king onix
@djswaxiaatz
Жыл бұрын
huyu jama hioo sura kudadadeki kama nagwa ama ndie
@mbukeibrahim3604
Жыл бұрын
Big up kontawa ya ngoma Dunga mawe good story all.the way to 🇨🇭
@MosesNazareth-mv1td
Жыл бұрын
Nakubali kotawa hiliii song nimelikubali kimona
@harry495
Жыл бұрын
Kotwala l am from Kenya and you have nice song Kwanza hiii ndio inamaliza mwazo big up Sana to this song and keep up.
@Mr4Real
Жыл бұрын
Mtawa👑
@issaothmanhamis4857
Жыл бұрын
Umeuwaaa mwambaaaa sanaassa
@D-Man.B-Free
Жыл бұрын
Dunga Mawe 👊👊👊
@kottaflavour7055
Жыл бұрын
Ngoma ngumu 💪💪💪
@GreysonDawson-om3sr
Жыл бұрын
Perfect character(Dungamawe) 👍good point
@salumstamil
Жыл бұрын
Huyo ndo Dunga mawe sasa mwenyewe mmetisha sana💪💪
@sheddymusiq7811
Жыл бұрын
Alfu director katisha zaidii
@arnoldsun4548
Жыл бұрын
Definition of Good music 🔥🎵❤️
@HyvineAvugwi
Жыл бұрын
😂😂😂😂 i can't get enough of DungaMawe ... The process is called; Pulling it up🔥
@malikzafarani172
Жыл бұрын
Daah video kali sana nagwa katisha sana humo ndani 🇶🇦
@user-gw4ym8ok4k
Жыл бұрын
Dah big up San mazee kontawa hii ngoma noma San alaf dunga mawe sela flan ivi Atari mzee respect kwak kontawa
Пікірлер: 1,3 М.