Msukuma ajengewe sanamu yake Ikulu jaman umeongea point nzri sana, darasa la 7 wanadharauliwa sana maana ata kwnye uandikishaji wa wapiga kura ua hawapew nafasi ata yakusimamia, wanaletwa walienda skondari izo nidharau nakuogeza umaskini kwnye nchi yetu,mtu anadharauliw mpaka yy mwnyew anajidharau mwsho wa sku darasa la saba anakua wakukaa tu nymbni kulima kilimo kikigoma ndo keshafeli elimu yake jaman😢inaskitisha sana ifike wakati serikali iliangalie ili kwa huruma sana jaman,ningeandka mengi lkn acha tu niishie apa
@allymfangavoo6065
5 жыл бұрын
Umeogea point Sant
@raziambwana2145
5 жыл бұрын
Ndofaida yakula dona na mayai yenye baba unakuwa na Akili ya Asili, lkn angekulaga zaman sembe na mayai yasio na baba ungeogp kutetea kwa vile na ww ni7.
@HudumaMarimbo-m4x
15 күн бұрын
Ujengewe sanamu
@DanieliSaimoni-bf3nb
8 ай бұрын
Nice
@peninanoelnoelpenina
Жыл бұрын
Vzr sana
@DanfordMboka
6 ай бұрын
Ndy baba msukuma sema!!
@DoktaNjoolay-yz9kt
Жыл бұрын
Musukuma leo bungei
@ReubenLovvest
9 ай бұрын
Msukuma nomaà
@jamilasaleh9610
2 жыл бұрын
Huyu ndo mbunge namba moja nnae mkubal tanzania umezungumza ukwel % from zanzibar
@andreamkilaha2225
8 ай бұрын
True
@lucresiashee1289
5 жыл бұрын
nice🖒
@kelvinalex5644
6 жыл бұрын
Hilo ndoo umeliona Leo
@FrankChuma-ug4bj
4 ай бұрын
Matukio
@KatunziJovitha
6 ай бұрын
Waoo
@Ramso01-s5q
Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉chukua. Maua yako
@rashidmfaume1819
6 жыл бұрын
upo vzr sana msukuma bonge la point
@ShijjaAshimu
5 ай бұрын
Suba🎉
@nispalaurian
Жыл бұрын
ndiyo na wabunge wa darasa la 7 hatuwataki bungeni
@VicentKagwa
Ай бұрын
Ni sahihi kabisa huo ndo ubunge halisia .
@AllyWaziri-bo3je
5 ай бұрын
Hatar jmn
@elizabethswai1790
4 жыл бұрын
Msukuma safiiiiii
@sophiambwana6985
6 жыл бұрын
Umenena vizuri Mh:Msukuma.
@sylvestermadatakaswahil802
5 жыл бұрын
CHIFU iviwewe nimtu gani? maana wewe haukufaa kuwa mbunge uritakiwa kuwa rais maana wewe ukiwa rais mpaka darasa lakwanza watakuwa wanaenda nagari shureni mwenyezi mungu akuzidishie uzima
@Rukiamussa-xe3ib
11 ай бұрын
Mh.musukuma tumamaga ndugu wane
@jacobpaul1145
5 жыл бұрын
Safi sana
@hamisiamini9320
2 жыл бұрын
sawa
@LeoniyJovid
Ай бұрын
❤❤❤
@livingstoneurassa4949
6 жыл бұрын
Kweli, kusipokuwa na uangalifu wa hali ya juu, kutakuwa na matabaka ya wasomi na darasa la saba.
@JustineJohn-ow9yz
5 ай бұрын
That’s is a thing that matter
@MisungwiPius-ih2kd
Жыл бұрын
Kwahil ulinena vzr
@issapesakwanza7005
3 жыл бұрын
Huyu ndom bunge asiee raza damu akiwa Bingen bigapu msukuma
@JkogaloKawagara
Жыл бұрын
🎉🎉
@elibarikielikana1824
4 жыл бұрын
Ameeeeeen
@BonifaceSambo-ze6jh
Жыл бұрын
Msukuma ni mtu wa tofauti saana, mimi binafsi namwelewa sana,namwita mbunge wa watanzania wote wa darasa la sana,maana wengine wote wanaona haya kuitwa darasa la saba,wakati hoja zake,zinaongeza umri wa kuishi.😂😂😂
@kapayasaimon4169
Жыл бұрын
Uko sawa msukuma wambie ili waelewe
@hosearwechungura7164
6 жыл бұрын
Mhe. waga mkorofi ila leo umeongea point, safi sana uwe hivyo siku zote!
@EdwìnLugiko
8 ай бұрын
Saf2 nambie
@shabanjumanne5139
4 жыл бұрын
Apo umesema kwa kwel
@samwelimsungu8312
6 жыл бұрын
Kweli naamini hoja siyo elimu ni kukaa na kutafakari Msukuma unaonekana kituko lakini unaongea logical issues
@paskalifaustni
3 ай бұрын
hongera sa 2:35 n baba sema yote
@NickTeonest-c7x
2 ай бұрын
Ruaga mpina
@LaurentEtide
18 күн бұрын
Siyo kiĺa aliye enda shule anauwezo wa kufikilia vzr wengine wenzetu na ss
Пікірлер: 185