Hata yesu hakufanya kilichoandikwa marazote kama huna karama ya unabii usilosoe mananii kwakuwa huma
@user-wi8og3sv4j
Ай бұрын
Hapo umefeli mchungaji tatizo sio wasikilizaji wa wakati ule kama ni tukio maalumu mungu anasema na nabii lina fanyika maana yote hayo yalifanywa na manabii hata andazi kuwekwa kwa kidonda ni oda ya mungu sii ya maandiko
@michaelbengesi9838
Жыл бұрын
Nikusikia leo mzee na nimekubatiza na jina. Wewe ni Mzee wa Busara.
@edimondhatangimana6031
2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana na aendelea kukufunulia ili tuelewe zaidi Mutumishi wa Mungu
@user-ed6hp5bq1n
6 ай бұрын
Barikiwa
@emmanuelmwandu.3126
Ай бұрын
Hahaha 😂, siku ya kuondoa mawe. Mungu akutunze Mzee wetu
@peterkihongosipeterkihongo1154
Жыл бұрын
Kweri kabisa baba shule muhimu.sana
@johnjasse1171
2 жыл бұрын
Mungu ni mwema asante kwa elimu
@aimborannko3728
5 ай бұрын
Yesu mwenyewe alikuwa mwalimu
@elizabethchiwamba8372
2 жыл бұрын
UBARIKIWE SANA BABA MCHUNGAJI KWA NENO LA UZIMA!
@vincentyohanachakupewa2219
2 жыл бұрын
Bwana YESU niepushe na Imani potofu
@jacksonwambua5251
2 жыл бұрын
Warumi 10:17 Itakusandia
@aimborannko3728
5 ай бұрын
Kusoma ni lazima na ni muhimu sana anayebeza Elimu bado hajitambui
@kennethmwaro
5 ай бұрын
Good teachings on hermeneutics mzee. GOD Bless you.
@michaelmbura3786
2 жыл бұрын
Mtumishi MUNGU akubariki sana.
@janenonge8320
2 жыл бұрын
Asante kwa elimu baba.
@UfunuoSt
2 жыл бұрын
Theolojia imetusaidia au imetuua Ndg yangu Magembe.
@Kefa649
7 ай бұрын
Mungu akikupa amekupa maswala kusoma ni Mambo ya kidunia tu roho mtakatifu hafungwi na kusoma, uwe umsoma au haukusoma Mungu ana weza kukutumia kwa viwango atakavyo yeye🙏🙏🙏
@EliyaMalelemba-rx3mf
Жыл бұрын
Yesu hasomewi chuo yuko roho MTAKATIFU, kusoma ni Sawa lakini sio kwamba usipo soma huwezi kumtumikia Mungu,
@user-le3xo7wz5c
11 ай бұрын
Ubarkiwe baba,umekuwa baraka kwa taifa🙏
@aimborannko3728
5 ай бұрын
Ni muhimu sana wachungaji kusoma kwa kweli kuto kusoma makanisa yanaibuka kila siku na miongozo hakuna akiamka asubuhi anafanya anavyotaka
@Spark8Technoo
2 ай бұрын
Nakuelewa
@RobertPhilius
4 ай бұрын
Hakika inastri tubadilike
@EsitaDavid2-wp1uf
3 ай бұрын
Mengine ,kweli,ILA KWA WANAWAKE IMERUDIWA MARA NYINGI,
@francismselea8208
2 жыл бұрын
Very true
@jabirkasunzu6841
2 ай бұрын
Huo ni ushahidi kuwa biblia si kitabu cha Mungu. Na Yesu alisema, ifuateni Injili.
@olivaluseno9057
2 жыл бұрын
🙏
@user-wi8og3sv4j
Ай бұрын
Kama mungu ametoa oda nenda kafanye?
@alphoncealphonce5438
2 жыл бұрын
Asante baba
@maswamills3161
2 жыл бұрын
MUNGU akikupa ufunua haidhuru ilimradi Ni ufunuo toka MUNGU.
@rehemahanti5800
2 жыл бұрын
Sema Baba tuponee
@GregoryRenson
4 ай бұрын
Good
@joelmhina9233
2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@iddanestory5063
Жыл бұрын
Balikiwa
@EliyaMalelemba-rx3mf
Жыл бұрын
Mapepo hayaogopi kusomea Bible collage umesoma hutoi hata kapepo kamoja, ni kunyenyekea tu mbele ya mkono wa Mungu ulio hodari naroho MTAKATIFU atatufundisha yatupasayo kuya tenda, YESU aliwaambia wanafunza wake kaeni hapa msiondoke mpaka roho atakapowajilia
@EliyaJames-fn3dz
7 ай бұрын
Jitahidi humwelewa Mzee kijana
@innocentndayiragije1151
7 ай бұрын
Mucungaji munawongeya wukweri. sikuyizi nzambi zinamariza dunia kwanini wawubiri wengi wanaharibu washiika oooo munadarisiwa manyumba pesa Nini Nani Yani maneno yawukweri anapoteya
@huldamichael4445
9 ай бұрын
Hapo kwenye jiwe mchungaji sijakuelewa,na kwanini unapokrashi mafundisho ya wengine hutumii lugha njema?kwani mafunuo yamefanana??(atakayenijibu asitukane wala kukashfu,koment tu kwa utulivu nitaelewa).Hata hapo kwenye kwenda shule mchungaji wangu sijakuelewa,wapo wengi tu hawajaenda shule na wanafundisha neno na watu wanamjua Kristo,kwa nini unaongea hivi baba?
@bsmonline8482
6 ай бұрын
Hahahahahah 😅😅😅
@baghabaghaingwengwe1750
Жыл бұрын
Je ambao hakusoma chuo cha biblia hafai kuhubiri injili? Mtu aliyefinyangwa na Mungu mwenyewe na yule alifinyangwa na chuo yupi bora? Hapa kwa upande wangu hujanena lolote la uzima ule tunao uchuchumilia.
@huldamichael4445
9 ай бұрын
Sijamwelewa kabisa
@EliyaJames-fn3dz
7 ай бұрын
Mzee uko vizuri sana,tunaokuelewa ni wachache mno😅
@aimborannko3728
5 ай бұрын
Yesu mwenyewe alikuwa mwalimu
@GregoryRenson
4 ай бұрын
Good
@EliyaMalelemba-rx3mf
Жыл бұрын
Mapepo hayaogopi kusomea Bible collage umesoma hutoi hata kapepo kamoja, ni kunyenyekea tu mbele ya mkono wa Mungu ulio hodari naroho MTAKATIFU atatufundisha yatupasayo kuya tenda, YESU aliwaambia wanafunza wake kaeni hapa msiondoke mpaka roho atakapowajilia,
Пікірлер: 47