We Dudubaya rudi nyumbani Magu ugombee ubunge, masela wanakusubiri Kisessa!
@hamisimuhunzi7916
26 күн бұрын
chadema wamemnyima cheo akatafute vyeo ccm huko kwani vyeo huko ni rushwa
@mossyfimbo3577
Ай бұрын
Ateuliwe Msigwa haikubaliki hao wengine wasomi wamejaa CCM miaka kwani hawawezi mpaka wahamiaji ndio wateuliwe haiwezekani tutaandamana yeye ananini special kuliko hao walokaa miaka na ni wasomi haikubaliki wanahamia huku ili wapewe vyeo kachelewa na sio yeye tu na wengine wanaofikiria kuja kupata teuzi
@barakasanga6980
22 күн бұрын
Jamaa siku hizi ana busara Sana..Mungu akulinde bro
@JoyceKabula-in1sh
Ай бұрын
Asante dudu wasukuma akiri nyingi sana wananyimagwa fulusa tu
@flova7022
24 күн бұрын
Hivi njombe watu wanapaonaje...njombe is so active region than even many countries..also is too good economically than many famous region
@laheonlinetv2161
Ай бұрын
agombee akiwa chadema Magu anaichukua
@ImaniKiswaga
Ай бұрын
Njombe nayo nzito inawasomi wengi wenye akili
@ymohammed963
Ай бұрын
Uko sawa
@Mwigaa95
Ай бұрын
Ni sahihi kabisaa huwezi kua kiongozi kwa kutegemea taarifa fiche lazima ujue maeneo unayo yaongoza 🫡🫡👏🏻😄
@mussaremigius2818
Ай бұрын
Ukweli
@emanuelyngailo6807
Ай бұрын
Na katika mikoa migumu ni Njombe mzee uliza na ndio mkoa ambao wengi wanachemka
@philipongenzatv
Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 njombe
@mussaremigius2818
Ай бұрын
Kaongea ukweli
@DaudiSaid-bj7dh
Ай бұрын
Magufuli alikuwa akipenya kila kona. Daaa
@abdalahgunda1319
Ай бұрын
Daresalama lnawasomi wengi wajanja wengi akili kubwa biashara zinawakubwa hata chalamila kashindwa hana uwezo hata yeye chalamila
@user-bd8gs3qk2d
Ай бұрын
Chalamila amepaweza Dar kwa lipi? Ni mpuuzi mmoja tu mropokaji, ambaye anadharauliwa na wafanya biashara. Hana kitu chochote alichofanyia watu wa Dar. Ni chawa tuu asiye na manufaa kwa jamii. Dudu baya ni dogoo anaye zeeka vibaya.
@user-yw3qh6qj8g
Ай бұрын
Dudu mbona umedhoofika
@mpangalalisotha6808
Ай бұрын
Unategemea akujibu vp? C lazima kila kitu uulize
@petermogha7025
Ай бұрын
Kidole vipi
@bcozhenry2698
Ай бұрын
Hujafa,.............!
@zegelibilishanga6047
Ай бұрын
Bara 2 kasulu kibondo ww dudubaya siyo ya kutolea mfno Kuna lami ya kweli usipime kumenoga
@boniphacetabu2903
Ай бұрын
Tunaotazama kidole cha Mwamba tujuane.
@noelnoel4916
Ай бұрын
Huyu akijiita konki master, na wewe muite hivyo ndio jina lake , na maanisha ni konki kweli tena ni oil chafu
@NardhisMhagama-sy3eq
Ай бұрын
Wamechaguliwa walio kufa hata yeye anaweza kuchaguliwa
@knight6757
Ай бұрын
😂
@georgesamwelchacha7680
Ай бұрын
😂
@DittoSylvester
Ай бұрын
Nchi ya asali na maziwa!?😊
@AdamSaffi211
Ай бұрын
Nchi ya ajabu, hivi wsliapishwa?
@knight6757
Ай бұрын
@@AdamSaffi211 kuapa ni rahisi...tamaa na ubinafsi inawafanya wakiuke viapo!
Пікірлер: 38