God Bless You.... Shamba lako lipo wapi na namba Yako ya simu twawezaje kupata. Tafadhali naomba namba Yako. Hongera sana kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya lkn lkn kwa shule / elimu unayotoa pia
@MutafarmTV
Ай бұрын
asante sana, sisi tunapatikana Magole Estate , wilaya ya kilosa, Morogoro, number zetu ni 0719819198 karibu sana...
Пікірлер: 12