Kuna watu wanapenda mashekhe na so haki ndo maana akitajwa shekhe wake amekosea anachukia , msiwe ivo طلبة العلم
@MALELEMBARIMO
5 күн бұрын
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Simlaumu sheikh abuu muawiya allah amhifadhi wala sheikh KASSIM allah amhifadhi ila ninachokisema ni kuwa tumche allah kwenye kufanya uadilifu pili tusipende kuvalia njuga maugomvi au maikhtilafu ya wana wa chuoni. Kadhia ukiifatilia uxuri utajua kuwa tumechukuwa maneno juu yasio tuhusu tumeyavaa kama sie ndo wachezaji waislamu wanatakiwa kuwa na insafu kwenye kuziendea kadhia. Nawaombea kheir walimu wangu wote wawili ambao wamefitinika kwenye mfitini huu mkubw
@saldinthegreat2264
6 ай бұрын
KUKOSA IKHLASW KATIKA DA'WAH NA ELIMU NA KUJIPAMBA NA RIAA' MIONGONI MWENU NDIO MAANGAMIZI MAKUBWA MNAYOKUMBANA NAYO... NYOTE MNATAKIWA MREJEE NYUMA MFANYE TOBA NA KUSIMAMA KATIKA HAKI ALIYOKUJA NAYO MJUMBE WA ALLAAH, VINGINEVYO SUBIRINI SAA'
@khamishabibu2505
6 ай бұрын
Wapandisheni masufi daraja maana wao wanaheshimiana
@simbaramadhan1882
6 ай бұрын
Mashallah Ila nitafurah kukawa na munakasha
@salehaljadidi8206
4 ай бұрын
Munakasha ni neno la kiarabu Je kwa lugha ya kiswahili nyie mnaitaje??
@mohamedimcheni2068
6 ай бұрын
poleni kwa mwenendo mbaya
@khamishabibu2505
6 ай бұрын
Khamis Habib
@MirajiAli-tq6id
6 ай бұрын
Assalamu alaykum walahumatulah wabalakat
@ABUUDARDAAI
6 ай бұрын
adabu ipi mbele ya haqi
@AhmedAli-gh1lm
6 ай бұрын
Haya Masalafi hao wanalana wao kwa wao. Allah awaongeze katika njia ya haki.
@shamsuddin4582
6 ай бұрын
Hii comment ina manufaa gani kwa umma??
@RamadhaniMuhidini-nn2kg
6 ай бұрын
Allah akuongoze, hayo maneno yako sio ya haq, hujui nani salaf na nan sio salaf , fanya reseach kabla hujazungumza
@AhmedAli-gh1lm
6 ай бұрын
@@RamadhaniMuhidini-nn2kg Toa elimu wewe ya nani ni salafi na nani siye salafi, ili tunufaike
@user-sm1ux6nj7b
6 ай бұрын
@@RamadhaniMuhidini-nn2kg Hao ni mawahabi, salafi walishapita
@RamadhaniMuhidini-nn2kg
6 ай бұрын
@@AhmedAli-gh1lm kama ndo kaz yako kusoma mitandaon pole, darasa zipo kasome ujue salaf ni nan
@user-pi4mv4vd5k
3 ай бұрын
Mmeelewa jibu????
@AbiyolaSaidi-qe2ku
6 ай бұрын
Kwan huy muawy nd nn
@MusaMkata
6 ай бұрын
Eeeh mbn kama hajawira huyu kjn
@JumaShundi-tn9pf
5 ай бұрын
tunaomba wakutane ili tustafiid na tujue haqq Zaid, Allah atatuonyesha njia ya haqq, na mtu fedhuli huangushwa na Allah.
@ismailmsangule1380
6 ай бұрын
Kumbe abuu muaawiya ni Hassan awadhi ribe Wewe ni salafi ambae kidogo unaheshimu walimu zako ndio maana sijakusikia ukimradi sheikh bakari Kigamboni
@khamishabibu2505
6 ай бұрын
Sheitwn anawachezea tu nyinyi bila kujijua nyote
@MirajiAli-tq6id
6 ай бұрын
Kwadawa salafiya kwa Tanzania sheikhye kasim mafuta
@abuufarha6562
2 күн бұрын
Mafuta hana hoja hawezi radd na masalafi yeye ana wezana na BARAHIYANI na masufi nawadhaifu wengine wasio nahoja ndio ana waonea, haachi kuwaradd
@abuufarha6562
2 күн бұрын
Ama maustaz na mashekh zetu Abuu hatim khmisi ame aburrabii haha hoja zakuwajibu ila barahiani hamnyamazii kwakuwa ana mmudu,
@tanzaniaonmzamiloon8627
6 ай бұрын
Yani mtu wa kisalafi akijua kiarabu na akisoma baadhi ya vitabu basi anajiona kila kitu anakijua
@mohamedijuma9888
6 ай бұрын
Kiongozi wafitina katika wasuna niqasimu mafuta kwajifanya yeye anajua kila kitu au yeye ndio awe kiongozi wakila jambo angoze familia yake au nakabila lake
@abuuabdirrahmaan4132
6 ай бұрын
HILO BANGO LENYEWE TU LINAJULISHA JUU YA UTOVU WA ADABU
@HassanHamad-rf9tq
18 күн бұрын
Kijana una taasub na shekh wako hizbu salaf mafuta bin oil
@MALELEMBARIMO
5 күн бұрын
Uwe na adabu na masheikh
@khamisali5978
6 ай бұрын
Sio lazima kukutana nae ati,yeye eandelee na yake na watu wana yao
@ahmedrage9664
6 ай бұрын
Wavijana Hawa yaman hawana akhlaaaq hata kidogo
@user-oc8uo9rl3u
6 ай бұрын
TATIZO LENU UCHAAMUNGU UMEKOSEKANA MUNGELIKUA WACHAAMUNGU MUSINGEFANYA MAMBO YA KIPUUZI
@binaamour318
6 ай бұрын
Et mnawapandisha darja masufi? Hivi nyinyi kawandisha darja Nani? Mpaka ukajua ww kwamba mukojuu?
@user-pi4mv4vd5k
3 ай бұрын
Hana mda wa kupoteza kwa uyo abu muawiya
@abbaspaziaog2188
20 күн бұрын
Bwana shekh qasimu bin mafuta amemdhurumu shekh Abuu mu3wiya hasani ibnu awadh ALLAH amraham .mpaka umauty umemfikia . ALLAH amswamehe na ALLAH amuongoze bwana mafuta kwa chuki zake kwa watu wanaojinasbisha na sunnah
@HassanHamad-rf9tq
19 күн бұрын
Allahuma amiy kk abul fadhli ni hizbu salaf
@nasirdinmohammed8741
18 күн бұрын
Kamdhulumu nini na ukitakwa ushahidi utaleta
@jailaniramadhan1788
6 ай бұрын
tokeni kwenye huwo upuuzi wa abdul wahab njoon kwenye haq ya ahlul bait as
Hahaha yaani yaani sheikh Kasimu mafuta akae na abuu muawiya aache kazi ya kusomesha abuu muawiya saizi yoko ni abuu sufiani hassani jamada na abulmudhwafara abdala gamba wakubainishie ujahili wako.
@shamsuddin4582
6 ай бұрын
Daah kweli unaongea hivo kwa Taqwa ndugu angu??
@user-lm9xx1og6p
Ай бұрын
Sahihi
@HassanHamad-rf9tq
19 күн бұрын
Hizbu salaf qassimu mafuta ajifanya anajuwa kila kituuu qassimu alikuwa akimkimbia sheikh muawiya Maana anajuwa hamuwezi rahimahullah shekh
@wazirihamisi6484
23 күн бұрын
Hili ni hizibi
@abubakarilugina-zw4gt
20 күн бұрын
Hilo Bango linajulisha Moja Kwa Moja namna ninyi mahajawira hamna Adabu Kwa mashekh
@abuuhudhaifa5134
6 ай бұрын
Siku hizi kila mtu akitaka afahamike basi anamsema Shekh Abulfadhil Qassim Mafuta, ndo mana shekh akiwanyamazia huwa wanaumia sana. Nyinyi fundisheni dini ya Allah kwa ikhrasi kwa kufuata quran na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia basi Allah atawainua
@KASSIMSAMAMBO
6 ай бұрын
Twayyib
@AhmedMohamed-un4zh
6 ай бұрын
Misingi hiyo ndio alianza nazo bwana mafuta alivyotoka Yemen Haya ndio matokeo Yake Hao ni vijana wake ale matunda Sasa
@HassanHamad-rf9tq
19 күн бұрын
Qassimu ni hizbu salaf na anajifanya anajuwa zaidy
@abubakarilugina-zw4gt
19 күн бұрын
HAJAAWIRA ABUU MUAWIYA , HAJURY NA WAFUASI WAKE
@UssiIddi-s3d
19 күн бұрын
Wewe ni mjinga kumbe@@abubakarilugina-zw4gt
@abuurayaan3902
6 ай бұрын
Mahizbi wa kihajaawira wameona Daawa yao yapooza kwa kukisa ikhlass saii wanamfatilia Sheikh Qaasim ili kutafuta kuskika ALLAH awaongoze enyi mahizbi
@abuubakarshabanabuubakar5115
6 ай бұрын
Hizbi wewe hebu funga mdomo wako mafuta Hizbi na ndio aliogawa swafu ya masalafi acha kufata matamanio
@abuurayaan3902
6 ай бұрын
@@abuubakarshabanabuubakar5115 Hehe ATI Abu Muawiyah Salafi Kule Zanzibar na group lake ni kina Bachu Dr Islam na Barahyani ndio safu ya masalafi yenu hiyo mahizbi Wakubwa ALLAH amewafedhehesha Daawa yenu Haina Qabul saii mwanza tena fitna najua munasubiri Abul fadhli ajibu lkn hilo sahau tushabainikiwa na uhizbiya wenu na kushirikiana kwenu na aswari Kwa hiyo sahau
@HassanHamad-rf9tq
18 күн бұрын
@@abuubakarshabanabuubakar5115kabisaa kaka qassimu mafuta ni hizbu na mtu yeyote mwenye hoja yeye nguvu anamkimbia kamkimbia shekh muawiya Maana alikuwa akimuogopa
Shekh Abul fadhil Qaasim mafuta Qaasim Hana muda wa kukujibuni
@OmarAbdalla-ug5yg
12 күн бұрын
sio hana muda..Hana kauli za wanachuoni za kumfnya azngmze katika hili kma anlo angelijbu tu...Dhulma kaifnya na bado hkumfkia hta kwa mustwi wa kielmu alakhy abuu muawiyah رحمه الله.
@allymtito8117
11 күн бұрын
Kweli kabisa@@OmarAbdalla-ug5yg
@user-qe8xp6ii1u
13 күн бұрын
Sisi ndugu zake Abul Fadhwil Ni Akhiy Mohammad Mafuta Vip Huyu adai udugu au Udugu wa Kidini?? halaf sio.lazima kukutana na mtu ww pambana na Uhizb wako
@OmarAbdalla-ug5yg
12 күн бұрын
uhizbia upi? kwani nni maan ya uhizbia akhy na vipngele vya kumfnya mtu kuwa hizby usiropokwe hun uncho kijua hhha
@user-qe8xp6ii1u
12 күн бұрын
@@OmarAbdalla-ug5yg Mahizb ina maana ya ndani sana ila kwa nje maanake ni Uvyama. na kuna alama zake Mfano Kusema uongo,Umoja usio chunga Aqida zetu,Na mengne kibao kama kipaumbele Kusoma Sekula badala ya Dini na mambo mengi. Au kwa kifup ni Hawa wanaharakat wa Kianswar Sunna wanaojiuta lakin kiukwel Wao ni Answar Bidaa.
@user-wl3qj2fx8u
6 ай бұрын
KASIMU MAFUTA HAMUWEZI ABUU MUAAWIA kielimu
@MusaMkata
6 ай бұрын
Akili zako zimechanganyika na makamasi ww
@farajichilumba5114
6 ай бұрын
Mmmmmmmmmm
@farajichilumba5114
6 ай бұрын
@@MusaMkatammmmmmmmmm
@HassanHamad-rf9tq
19 күн бұрын
Hili ni kwel kabisaa anamuogopa shekh abuu muawiyaa
@jailaniramadhan1788
6 ай бұрын
mawahab wapuuuzi tuu
@ABUUDARDAAI
6 ай бұрын
muhammad imamu juzi ka swalia mashia😂 walio kufa Bahraini mwalimu wako ka swalia swala ya janaza mashia 😂😂😂 wew je
kwani ukiwa si salafi unaenda Motoni? hawa jamaa ata siwaelewi hii ndio Dini?
@tanzaniaonmzamiloon8627
6 ай бұрын
Kawaida yenu kila mtu nimwanachuoni
@shamsuddin4582
6 ай бұрын
Ndo nn sas umeongea
@tanzaniaonmzamiloon8627
6 ай бұрын
@@shamsuddin4582 yani hakuna mtu kwenu asiekuwa na elim kushinda mwenzake
@BakariOmari-tr8cy
15 күн бұрын
Kwanza kabisa hii sio adabu kumuita shekhe qasm et kwanini qasim sema kwanini sheikh qasim mafuta vp nyinyi
@MALELEMBARIMO
5 күн бұрын
Punguza mhemko kijana
@KhubeybJandaal-uz4oo
6 ай бұрын
Kuwasikiliza salaf bora nimsikilize Tupac
@user-qz8dq3wu5y
6 ай бұрын
Baba umezungumza kweli mana Hawa. Mara wanakupoteza Kwa misimamo ya ovyo lakini tupaki utatubia baadae ila Hawa misimamo Yao utaona kama ni dini hutotubia Bali utaendelea kuwadharau waislam wenzio bure
@user-wf8tp8vw4h
5 ай бұрын
kassim mafuta acha kibr elimu yeny ucha mungu
@abubakarilugina-zw4gt
20 күн бұрын
HAJAAWIRA KIPOTE KIPOTEVU KILICHOASISIWA NA SHEKH YAHYA HAJUUR ALLAH AMUONGOZI Midomo yenu inanuka Kwa kuwatukana wanachuoni na ndio msingi wa da'awa yenu....Allah awaongoze eny mahiizbi wa kihajawira
@user-iu3me2sm2h
6 ай бұрын
Sheikh Abu muawia endelea kufanya dawa Allah atakulipa ila usimkamie sheikh Qasim mafuta nyiny nyote watu wakubwa .
@user-ok8se1ok3d
6 ай бұрын
Mche Allah na kuwafananisha watu abuu muwaawiya hawezi kuwa sawa na shekh qassim mafuta abuu Muawiya yupo chini kielim shekh qassim mafuta yupo juu mbali mno na hizo ni fadhila za Allah
@yusuphkhan8963
6 ай бұрын
😂😂😂😂 umetumia kipimo gan?
@ramygichero1016
6 ай бұрын
Hawana ukubwa wowote mawahabi ni magaidi tu wavuruga amani wazee wa kujilipua alafu wameshindwa kipigana gaza kumsaidia palestina
@MirajiAli-tq6id
6 ай бұрын
Sheikhye abu muawia wambiye 1 walendugu zako wamazindde kilekituwa kiliisha wambiye nizima kwa Allah mbona hafundisha ilimu
@HassanHamad-rf9tq
19 күн бұрын
Hahaha elimu ganiy anayomzidi shekh abuu muawiya rahimahullah acha ushabiki wewee hizbu salaf wa pongwee
@Abutwaibah001
6 ай бұрын
MADAKHILA WANA KULANA WAO KWA WAO 😂😂😂😂😂😂😂.
@omaridd7356
7 күн бұрын
Jaahil😂😂😂
@user-iu3me2sm2h
6 ай бұрын
Ss hatumruhusu sheikh wetu Qasim mafuta kukaa na watoto wadogo wenye chuki na hii dawa. Sheikh Abu muawia tunakuomba umuache tna msaidie katika dawa usimuangushe.tunataka muendeshe hii dawa tu salafiyya.
@kylesmeight4837
6 ай бұрын
Waondoe kasor zao kwanz ndpo washrikiane nje ya hpo itkuw hiv hiv kla cku
@shamsuddin4582
6 ай бұрын
Akae nae tu wazungumze asijikweze kwa kuwa si ktk sifa ya asalaf swaleh
@HamadJuma-es8pw
6 ай бұрын
Mbona sheikh kassim mafuta umemuandika qassim mafuta lakin sheikh abuu muawiyyah ameandikwa sheikh abuu muawiyyah kwenye hicho kichwa cha habar .kwani sheikh qassim yeye sio sheikh .Fanyeni uadilifu rekebisheni hapo kama manapenda haqqi.baraka allah fiikum.
@user-sm1ux6nj7b
6 ай бұрын
@@HamadJuma-es8pw hio ndio tabia ya kiwahabi (kibri) kujitukuza na kudharau wengine
@user-wl3qj2fx8u
6 ай бұрын
SIKUZOTE HAQI INATAKIWA ISEMWE
@user-sm1ux6nj7b
6 ай бұрын
Sio Mafuta tu, kwa kawaida mawahabi wote wanakwepa kukutana na maulamaa wa twariqa, alijaribu mtt wa bachu tu na kajikojolea akakimbia
@user-iu3me2sm2h
6 ай бұрын
Usemavo ww ila sheikh Qasim mafuta eshafanya minaqasha na wakubwa watatu niwajuao mm ktka masufi ila sio ile minaqasha ya camera.
@user-jy2lo6gl9u
6 ай бұрын
Ahahhaaah mnafurahisha mawahabi, hii Ni dalili ya kukosa radhi
@user-nl1rl1bg1t
6 ай бұрын
Sisi hatushangai sana kusema uongo wewe maana ni kawaida kwako, Na ulishawahi kusema kuwa wewe huwezi kuacha uongo maana umerithi kutoka kwa mama yako, Na ukisikiliza tu hayo maneno unabainikiwa kuwa huyu mtu ni muongo na ni maneno yaliokosa adabu na heshima Allah akuongoze
@user-qz8dq3wu5y
6 ай бұрын
Wewe chiz maneno matamu haya we unasema ansema uongo pumbav kassim mafuta simpendi ni kibri na na ni ulamaau sssuiiiiiiii
@user-bp6fb6wo5u
6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 mbona hasira kaka??? Alisema kweli yeye ni muongo! Na amerithi uongo kweli...@@user-qz8dq3wu5y
@AliDaud-si3fg
6 ай бұрын
weka link
@yahyarashid8038
21 күн бұрын
Kaka ukijuwa kama ulio andika ni kweli bas umefaulu na kama ni kwachuki wallahi utaenda kujibu mbele ya Allah na huna jibu rudi kwa Allah umuombe msamaha kabla hujafa
@HassanHamad-rf9tq
19 күн бұрын
Wewee ni hizbu salaf ndo mulivyofundishwa na shekh wenuu kusoma uongo
Пікірлер: 138