Lema has spoken reality with the painful is even about give up political activity in Tanzania way ccm leadership brutal leadership in Tanzania national
@zerubaberynyaluke
5 күн бұрын
Hii ni sauti ya mtu aliye nyikani, itengenezeni njiani zenu, lema umetumwa na Mungu watanzania usipo isikiliza sauti hii ya lema basi mabadiliko Ya nchi hii tusahau, Mungu akulinde na awe pamoja nawe Lema wewe ni Tunu ya Taifa.
@komuhsengo9796
6 күн бұрын
12:41 maneno haya yanaumiza mioyo sana, alisema kulshevu wa USSR alisema waliokoka na janga la nuklia watawaonea wivu waliokufa, tumeaanza kusikia msibani ya kuwa bora ,marehemu ameenda kupumzika na taabu za dunia, naiombea nchi na viongozi watende mema tusifike huko❤ Mungu ihurumie nchi yetu tupite vema ktk chaguzi, amina
@monicamwita7865
4 күн бұрын
Pole sana Lena. Mungu Baba Ataendelea kukutetea.
@PhilipoMwita-b2x
6 күн бұрын
Mm namuelewaga lema sana sana ila sisi niwaoga sio siri
@SimonKipuyo
5 күн бұрын
Lema wewe ni jema
@abdallahmakombo3866
4 күн бұрын
KUJIKUBALI KUPITILIZA NI MBAYA SANA!!
@saulimmbaga.safisana9556
3 күн бұрын
Kwakifufupi ni kwamba kura zimeshapigwa ngoja.muone matokeo
@GodfreySanga-un8cd
4 күн бұрын
ONGEA YOTE LAKINI TUNAOMBA USIMWONGELEE HAYATI MAGUFULI. TUNAMPENDA SANA, UTAHARIBU HOTUBA YAKO.
@abubakarimussa1955
4 күн бұрын
Unashindwa kuelewa kwa sababu ya uelewa mdogo
@paskalkaguo
3 күн бұрын
Jamani jamani huku tanga waandikishaji wa daftali la wpiga kula sasa wanapita na wenyeviti wa vitongoji nyumba kwa nyumba na kuwaandikishia huko wakijua wewe ni wa upinzani hawakupitii wewe je hizi siyo dalili za wizi kweli?
@MginaFiloteus
4 күн бұрын
KAMANDA LEMA USHAURI WANGU EBU TUACHE UCHAGUZI MAANA HAWA WATAWALA WAMEJIPANGA KUHARIBI
@monicamwita7865
4 күн бұрын
Kweli baadhi ya watu hawana ufahamu
@Ziporahfimbo
6 күн бұрын
Yan kuna baadhi ya watanzania ni O" kabsaa yan umoja hawan kabsaa Aiseee wnakatisha tamaa snaa aloo Siku hawa wakina lema wakichoka tutakuf km kuku
@jimmymnuano7165
6 күн бұрын
Miimi hapo nashindwa kuelewa sasa hiyo ni kampeni au mlalamiko mimi sijaelewa baada kuwafamisha watu nini utafanya nini watu wakuelewe
@JosephMvula-pf8uv
4 күн бұрын
Uwaambie watu utafanya nn ? Wakati watz wamekata tamaa hata na huwo uchaguz yan hata anayo ongea bado tunahtaji elimu ya katba na sheria kbsa maana hata maana kupga kura hakuna ss. Watu wanajisifia wamefanya kaz nzur katka taifa hili lakn bado hawajiamin...kwa nn usiache uchaguz huru km kweli ww umefanya kaz nzur
@abubakarimussa1955
4 күн бұрын
Atafanya Nini Kwa nchi gani yaani ninyi amuhusiki na haya mambo kwani hakuna ndugu Yako aliye umizwa Wala kuuwawa ila utapata uchungu yatapokukuta
@abubakarimussa1955
4 күн бұрын
Naipenda nchi yanga tuishi Kwa haki na amani
@abubakarimussa1955
4 күн бұрын
Anaongea Kwa uchungu kwasababu wananchi hatujitambui na tumeathirika na maccm
@boniphacewambura1427
4 күн бұрын
Akitekwa ndugu yako ndio utaelewa saivi unaona ni shwari tu
Пікірлер: 23