This melody, reminds me of my childhood days 🎵🎶🎵🎧❤️❤️💯
@chamieadam7138
2 жыл бұрын
Rekebisha jina anaitwa mwanamkuu zayumba
@idijay3622
2 жыл бұрын
Nimeanza kusikia hii nyimbo 2004 or 5 nilipenda sana
@samyranykadogo3885
2 жыл бұрын
Mashaallah Mungu akulaze mahala pema peponi inshaallah 🙏
@gilliansimon8517
2 жыл бұрын
Jamani tunaombeni Wimbo wa kiruka njia na Leyla Khatib
@chamieadam7138
2 жыл бұрын
Mwanamkuu Zayumba badili jina hapo tafadhali
@shamimnoor2284
2 жыл бұрын
Thank you so much for this song, i have been trying ro get it but in vein. Ma Sha Allah. May her soul rest in peace
@aminaabdulkarim4854
2 жыл бұрын
Allah amrehem amsamehe pale alipokosea yarabb
@mwigulunchila9927
Жыл бұрын
💯💯
@chamieadam7138
2 жыл бұрын
Allah ampe umri mrefu Aamyn
@Fatma-oh6nt
Жыл бұрын
Mashallah nace nyimbo
@rahimalewe2835
Жыл бұрын
weuweeeeeeee
@chamieadam7138
2 жыл бұрын
Mwaka uliorikodiwa huo wimbl na kutoka Leyla alishafariki kitambo sasa alifufuka kuja kuimba tena au?
@chamieadam7138
2 жыл бұрын
Aloimba ni mama yangu mazazi hajafa na haitwi leyla
@ramaizagire7608
2 жыл бұрын
Aloimba nyimbo hii ni mwanamkuu zayumba
@ayshamahariq6665
2 жыл бұрын
@@ramaizagire7608 Aloimba huu wimbo nnan?
@ramaizagire7608
2 жыл бұрын
Naomba namba ya mamako plizz
@khadijarajab8383
2 жыл бұрын
@@ramaizagire7608 🤣🤣
@bekarama5248
Жыл бұрын
Anaitwa Mwanamkuu
@mouhamadbakri8655
2 жыл бұрын
Ni yeye leila khatib 🥰❤
@chamieadam7138
2 жыл бұрын
Hapana ni mama yangu mzazi anaitwa Mwanamkuu Zayumba kaimba akiwa TOT ukitaka kuamini nitafute nikupeleke mpaka nyumbani akikuonesha na picha utaamini kama ulikuwa mfatiliaji wa taarab zamani
@salehcllassic2325
Жыл бұрын
Swadaktaa mwanamkuu ndio kaimbaaaaa wimbo huu
@RukiaFuad-vm8ns
Жыл бұрын
♥️💯
@mwanahalimamwachili9679
2 жыл бұрын
Mumerudiana Mtaachana Tuu 💃💃💃💃,
@rahimalewe2835
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulimwinyimkuu4160
2 жыл бұрын
Uache kudanganya bora ungeweka audio huo wimbo ulioimbwa na bi mwanamkuu akiwa ToT na video yake si hiyo acha editing aleti ladha unapoteza halo za watu
@chemyadam697
Жыл бұрын
Mimi mwanamkuu zayumba nakuomba ubadilishe jina la uyo mwimbaji uliye muweka mimi mwenyewe sijafa
Пікірлер: 27