Nimejikuta mm Ni wakwanza kabisa leo.... Alhamdullilah....Kaka Joel nyumban waninibeza na kunizalau wananitania leo ujamsikiliza uyo Kaka yako wakinikuta nakisikiliza wanamwambia mtoto Wang mdog mama jako ndo yupo biz kumsikiliza mjomba wako.kifup wananizarau mno lkn mm nawaambia mutashuudi kwa macho yenu inshaallah....Kaka yangu mungu akubalik
@godfreygerase8713
5 ай бұрын
Naaam mwalim ni mtu anaelezea kuusu ayo akikudhalau uyo ongeza bidii zaid na maarifa kama somo la leo kushinda waza kama mtu mshindi ipo siku utafanikisha jambo lako nguvu moja tukutane at top🎉
@joelnanauka
5 ай бұрын
Hongera kwa kuendelea kujifunza, watayaona matokeo, endelea kujifunza
@fridamwalongo9892
5 ай бұрын
Asante saana kaka Joel Nanauka Mungu akubariki sana Hakika mafundisho yako yamenivusha mnoo
@GabrielAmede-h8d
5 ай бұрын
Kaka joel hongera sana kuna mda naona kama nimechelewa kuanza jambo langu maana nasemwa san na ndug zangu hawataki nifate ndoto yangu wanataka niwasikilize wao
@GabrielAmede-h8d
4 ай бұрын
Kaka joel hongera sana kuna mda naona kama nimechelewa kuanza jambo langu maana nasemwa san na ndug zangu hawataki nifate ndoto yangu wanataka niwasikilize wao kuliko ninavyojiona mimi....
@avitus-thobias
5 ай бұрын
Ahsante I'm still growing everyday, MUNGU wa Mbinguni akakuangazie nuru za uso wake na kukufadhili✋🏻
@masterkey536
2 күн бұрын
Ujumbe mzuri xana 🎶🎶🎶🎙️
@ThomasMmary-r7w
9 күн бұрын
Hongeraaa kaka tunabarikiwa sana🎉
@salomemrembo7482
5 ай бұрын
Naam Najifunza kila siku jambo jipya kwako mungu Hazidi kukutumiya. Kwa faida ya watu wake shalom
@godfreygerase8713
5 ай бұрын
Naaam mwalim mm sina elimu saaana lakini nina uwezo wa kuongeza mawazo na ushauli kwa watu na namshukulu mungu nimekupata mwalim wa kunifungua ubongo zaidi kuongeza ujuzi zaidi!! Na naongezea apo kama una mpango wa kufika at top bas nakushaulu usigeuke kuangali nyuma utasimama nyuma kuna wengi wanalia utawaonea uluma nawewe kubaki pale ulipofikia sogea ufanikiwe ludi umpe msaada!! Asante mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
@Justinmax-p7n
6 күн бұрын
Unasema una uwezo wa kuonge za mawazo
@NickGamba-ft8tl
3 ай бұрын
Asanteee Mwalimu Arthur Joel
@AlexVenance-s1b
Күн бұрын
Napenda sana kujifunza kupitia kwako bro nanauka.
@MrishoMayunga-gk3sf
Ай бұрын
Kaka joel ninawezaje kupata vitabu vyako??
@RogathoMangililwe
5 ай бұрын
Nami na jifunza kitu kiongoz ila naomba endelea kutujenga nakama ingewezekana naomba hata namba ya mawasiliano mwalimu
@blessvevo
29 күн бұрын
Niko moshi mjini nitapata je vitabu yako
@CharlesManingu
5 ай бұрын
Shukhurani sana umenifunza sana
@Jrmontaiza
3 ай бұрын
Thank you 🙏
@juliusjoseph4889
23 күн бұрын
Nmekuelewa sana mwambaaaaaa
@mcmhenga6981
Ай бұрын
Joel umekuwa ni shule kubwa nimekuwa najifunza na ninaendelea kujifunza mm ni mwanafunz wako ambae sitoroki vipindi vyako
@eliasludamila4600
5 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia na kukutunza Mwana wa Mungu
@FordNzowa-o7f
4 ай бұрын
Nashukuru bro najifunza vitu vingi Sana mwenyezi MUNGU akulinde
@petermunuo1657
4 ай бұрын
Ahsante sana brother Joel Nanauka mungu akubariki sana
@blessvevo
29 күн бұрын
Nitapata je hicho kitabu mwalimu
@blessvevo
29 күн бұрын
Mimi niko moshi mjini
@Dottombwana
4 ай бұрын
Thanks Kaka sitachoka kukushukuru🙏🏽Naendelea kujifunza✍️kuna mahali nilikwama lakini Leo nainuka tena💪
@johnsemuna3670
2 ай бұрын
Nakufatilia sana na kujaribu kufanyia kazi elimu yako kweli naona mabadiriko ila shida sauti yako inakuwa chini kiasi
@MagrethJoseph-fc6sg
4 ай бұрын
Asante sana kaka nazid kujifunza kila siku na nazid kuboresha biashara na maisha yangu ya kazi kupitia wewe Mungu akubariki sana sana kaka yangu🙏🏼🙏🏼🙏see me at the top💪💪
@MosesAmenye
4 ай бұрын
Asante sana najifunza vitu vingi sana kutoka kwako ♥️
@yohanageorgekika2240
4 ай бұрын
Asante kwa somo nzuru mungu akubarika kaka Joel.
@ELIAWINGAMWASHA-iw9xq
3 ай бұрын
Ndasha unaongea point na ushabiki
@AbdallahFahm
4 ай бұрын
Unaupiga mwingi brother
@Irene-rt4bf
5 ай бұрын
Joel ndugu yanguvhii kazi yako iko na capital
@josephtesha872
4 ай бұрын
Asantee nimejifunza🙏
@emmanuelmwandu.3126
4 ай бұрын
Ahsante sana brother, nimejifunza
@hidayaismail-fk1js
3 ай бұрын
the task of the winners is to see how they can win
Пікірлер: 58