Poleni sana Mahabbu Allah Awape subira ktk kipindi hiki kigumu Yusuf tulimpenda sana hata wakati alipo pitia mitihani pia tulikuwa pamoja kiroho Allah ampe nuru kaburi yake amsamehe madhimbi yake Inalillah wainairah rajiun
@GdFf-ik2eo
3 ай бұрын
Poleni sana Wtt wa manji
@muhammadmuhammad5043
3 ай бұрын
Innalilahi wainnaaileyhirajiuoni Allah Ammsameh Na Amjaaliye Malazima Poponi Na Amjaaliye Qiriyake Kuwa Minalriaadhiljinani Yarabiy Ammen.. Yarabiy
@eduardogodian6861
3 ай бұрын
May His Soul Rest in Peace, I love you Manji,,Poleni sana Familia na Wananchi
Пікірлер: 9