Ila watumish tulio nao siku hiz Mungu atusaidie sijui tunaponaje
@MsAggie5
7 ай бұрын
Ndo inatisha hata kumjua aliye WA Mungu kweli
@banguha
7 ай бұрын
@@MsAggie5 ndugu mm hata nachoka najiuliza cjui niache kwenda kanisan nisali nyumbani? Mm hata sielew hasa jij letu la dar limechafuka sana kila mtumish anataka mafanikio ya haraka Yan kwa dalili ninazoona sion hata huduma iliyo sahihi wengi ni mazingaombwe Mungu wa Mbingun atusaidie jmni
@dayana5513story
7 ай бұрын
@@banguhamimi Ninasali home nashukuru Mungu kwa kila jambo
@vickysteven1172
7 ай бұрын
@dayana5513story😅
@banguha
7 ай бұрын
@@dayana5513story ila Mungu amesema rukusanyike bado tunatakiwa kusikiliza mafundisho amesema wakusanyikapo wawil watatu yeye yupo mm naona cha msingi tulud magotin kumuuliza Mungu tusitawaliwe na hisia na miujiza
@jacklinemassawe9028
7 ай бұрын
Hii story inataka kafanana na moja da vero alitusimuliga yule kaka alitoka gerezani akawa mtumishi akatumiwa nauli kwenda dar kumbe ni kwenda kusafirisha madawa ya kulevya 😂😂😂
Пікірлер: 30