kwa uwelewa wangu mdogo! kuna mmoja wa wasimamizi wake analifahamu hili! hata kama unamadai na uongozi furani ukatumia njia ya hii kama sehemu ya kukutafuta ili wakulipe stahik zako. siyo njia sahihi...
@ezekielmichael9431
2 ай бұрын
Simba wapost picha za mkataba wakati ana Saini Ili tuamini kama kweli kibu aliongeza mkataba
@kelvinecharles5692
2 ай бұрын
Kwa soka letu hapa nchini linavyozidi kukua kwa anachokifanya kibu ni ushamba na utovu WA nidham
@HajiSefu-e7b
2 ай бұрын
Mzee kitenge taratubu kidogo maana unapaza sana saut
@athumanimuhammadam3601
2 ай бұрын
Mqulid ongea basi taratibu kwa utuo kama wenzio,,,,punguza kelele basi ili tuwapate vizuri.....unaingilia sana mazungumzo kwa sauti kubwa.
@SajentMenes
2 ай бұрын
Kibu anatamaa af hatumii akilin na manager wake mwisho watauoonza 🤗🤗
@shizoshop2469
2 ай бұрын
Yes ashushiwe adis harafu apigwe pingu akifika jk airport apigwe virungu mpaka aseme
@EdinaPastory
2 ай бұрын
Makolokwinyo wote matapeli
@salahaljahury2907
2 ай бұрын
Imefika wakati sasa timu zizuie Passport za wachezaji wake huu uhuni usifanyike tena
@saidmasoud9004
2 ай бұрын
Kitenge una kelele sana
@AhmedAdan-po5ps
2 ай бұрын
Kibu kwa ufupi ni tapeli huyu mtoto ni mjinga kweli
@RaphaelKaswahili
2 ай бұрын
Kwa taarifa yako huo ni mchezo uliofanywa na viongozi wa simba usiumize kichwa bule😂😂😂
@Rk7-b8c
2 ай бұрын
Msisumbue kichwa kwajili ya huyo tapeli mana hana bori bola angekuwa chama
@ELIAGABRIEL-r4i
2 ай бұрын
Kibu denis nimtu alie pendwa sana na mashabiki atatukumbuka
@saidmasoud9004
2 ай бұрын
Carlos nilimsikia katika kipindi chenu alisema kua Kibu kapewa sitahiki zake zote za mkataba hadai. Vipi wewe mchambuzi hapo unasema anadai mspiitndisde maneno achane kutumika.
@SaraphinaKidoti-qe7gi
2 ай бұрын
Simba wamezoea wizi sasa kimewalamba
@DaimonDamon
2 ай бұрын
jamaaa anajieleza vizury
@EdinaPastory
2 ай бұрын
Hajui lolote huyo kolokwinyo
@firstborn1
2 ай бұрын
Sasa nyiee wachambuzi ivii mlikuwa mnataka kibu aka kamatwee na polisi kuletwa clabunii kitengee vipi bwana mbona mzee wewe mkongwee kabisa mchezaji unamuazibu kiutaratibuuu
@ShaibuBakary-r3l
2 ай бұрын
Ataludi tuwe na subla
@doricehungu5817
2 ай бұрын
Ndio hawa wachezaji wazawa mnąowatetea kila cku hawathaminiwi kumbe wao ndio hawana akili
yan kiufupi uyu wakala wa Kibu amepigwa chini na kibu kwa sababu yupo upande wa simba, maana hata anavoongea anasimamia sana upande wa maslahi ya simba na uyu ndo alikua kidudu mtu
@abdul-razaktwaha1287
2 ай бұрын
Kitenge miyayusho sana. Kwenye mada za msingi kama hizi inabidi akae Ahmed Abdallah. Kitenge ni shabiki wa yanga, mada za simba anatia choko choko sana. Very unprofessional. Stupid
@EdinaPastory
2 ай бұрын
Makolokwinyo wote matapeli ndegelesi nyie
@SaidAlly-uh4qw
2 ай бұрын
Dhambi ya fei toto itawatafuna si mlikuwa mnashangilia ya fei toto haya sasa kazi kwenu
@EdinaPastory
2 ай бұрын
Na bado acha wakome makolokwinyo
@SajentMenes
2 ай бұрын
Simba hawatafunwi na dhanbi Bali kibu anajitafutia matatizo hatumii akili
@shizoshop2469
2 ай бұрын
Ahmed Ally itabidi tumjengee sanamu pale mo arena
@EdinaPastory
2 ай бұрын
Labda sanamu la nyani jike kolo wewe
@ODCreator98
2 ай бұрын
uyu jamaa katumwa na simba kuisafisha timu😂
@EdinaPastory
2 ай бұрын
Kusafidha kwenyewe hajui, ameshasema hana mkataba na kibu sasa anaongea nini
Пікірлер: 33