Nikweli kati ya usajili bora wa yanga msimu huu ni kumbakiza kipa hapa wamepambana sana bg up kwa injinia
@SalvatoryMtunga
3 ай бұрын
Uongozi uliotulia, hawana rongorongo.
@MgolaKatembo
3 ай бұрын
Nikweli, jaman?
@thadeusmateru1356
3 ай бұрын
Ni vyema viongozi wetu wenye dhamana ya kusajili wakatambua ile methali isemayo pema usikiapo pema si pema tena. Watambue yaliyotukuta kwa Okra. Tutumie vizuri rasilimali kidogo tulizonazo kusajili kishure na si kuonyeshana umwamba
@RosemaryDonald-gu1wh
3 ай бұрын
Mmh yanga hii itakuwa nihatar
@chng1990
3 ай бұрын
Simba ata watoe kocha mbinguni kipigo kipo pale pale
@GetuliBasso
3 ай бұрын
Upo sawa kaka
@leoninga-y8i
3 ай бұрын
Unapokua kiongozi hunasababu ya kusema uongo kumbuka kwa kiongozi watimu kubwa kamayanga ni. ukweli tuu sio chupli chupli?
@BoscoMwakila
3 ай бұрын
Hoya sana
@nicodemusmemba1402
3 ай бұрын
Young Africans ni mabingwa wa CAF champions league 2024/25 na kuendelea
@ChachaJuma-vs2zz
3 ай бұрын
Kweli au viazi
@abedymtore2707
3 ай бұрын
We unaonaje kwan ety
@StanileyDaud
3 ай бұрын
Kama na baleke yumo tunaua laia
@errydeo8865
3 ай бұрын
Kama hamna habari za uhakika kwanini mseme yametimia?! Wanayanga acheni kufuatilia hivi vijitv! Mkitaka habari za Yanga jiungeni na App na au notifications za Yanga! Sio wababaishaji!
Пікірлер: 17