Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anazindua rasmi Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi. Tume hii imeundwa kwa lengo la kufanya mapitio na maboresho katika mfumo wa kodi nchini, ili kuhakikisha uwajibikaji, ufanisi, na unafuu wa kodi kwa wananchi na wafanyabiashara.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Негізгі бет #LIVE
Пікірлер