Huyo Mzee anamusujudia binadam mwenzake ama kweli huu utafutaji wa vyeo utatufikisha kubaya
@johnLaise
8 күн бұрын
Chadema
@PaskaliPatiliki
23 күн бұрын
Mungu akulinde mama yetu kipenzi
@hamissalum8604
22 күн бұрын
Nilichokiona mimi Rais hajawapa Mkono wenyeji wake waliompokea hiyo sio kawaida labda ndio jambo la kustaajabisha hapo!
@rahmaomar9137
23 күн бұрын
Allah akuhifadhi
@robertzamani5612
23 күн бұрын
Rais kwann unitumie barabara ukaona wananchi ukasikiliza kero zao sasa Kwa ndge kweli ungefanya kama Jpm
@NuhuMohammed-nu6ni
23 күн бұрын
Hawezi, anakula bata tu
@WilsonLuchwele
23 күн бұрын
Mbona wananchi kiduchu kwenye mapokezeki ya rais au mwigulu nchemba amewahamishia Burundi??!
@vladimirputn1809
23 күн бұрын
😂
@stephenkalidush5446
23 күн бұрын
huenda wako burundi, maana msomi asiyejitambua
@yakobokuzenza6837
23 күн бұрын
Mlishazoea kulipwa ili mkajaze uwanja.Hakuna hela za kuchezea hapa
@celestinermantenga2463
22 күн бұрын
Watu ni wengi karema ndo haijatengwa vizuri.
@user-fb5tj5zy4z
22 күн бұрын
Shockup za tairi za mbele kwisha kazi😮😮😅
@lilianmbeyu
15 күн бұрын
hayo maajabu ni gani mbona nimengoja kuona cjaona
@ndabhiloleyesamwel9945
20 күн бұрын
Kwani Tanzania hatuna ndege ya Raisi?
@JonathanMGAIWA-ow4py
23 күн бұрын
Kuna nini cha ajabu
@mwanabucheyeki226
23 күн бұрын
Ndege imetelekezwa kufanyiwa Service!
@benjaminmiselya2622
23 күн бұрын
Hawana Hela🤣🤣
@punnamalaba4445
21 күн бұрын
Maajabu gani yako hapo sasa , unatumalizis bando kwa upuuzi
@user-ot1ff7yq2l
23 күн бұрын
Peleka usenge mbali kwani aliosema ndege iungue ndo imeungua unavosema awekwe ndani
@alistairelias536
23 күн бұрын
Admin uwe unapanda ndege mara moja moja upunguze ushamba
@christinejojo7234
9 күн бұрын
Sijaona kitu muache uongo
@abdulikilala5902
23 күн бұрын
Hakuna hata watu na hao waliokuja wote hawaptaki hapo wanashangaa ndege tu
@songoroalamin3376
23 күн бұрын
Sfieni hata jambo moja jema hao waliopo sisimizi? Mchovu wa fikra MAMA chapa kazi wanakung'arisha tu na husda zao
@princepaschal9963
22 күн бұрын
@@songoroalamin3376wasifie lipi? Kuweka pembeni ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020. Ya kipenzi cha wengi Magufuli, na kuanza kujifanyia yakwao kama kisasi kwa wananchi.
@celestinermantenga2463
23 күн бұрын
Mama yupo vizuri sana, 2025 atapita kwa kishindo kikubwa san. Mambo alofanya makubwa within a short time.
@wadeelegbogun3015
23 күн бұрын
#NONSENSE
@celestinermantenga2463
23 күн бұрын
Tatizo, kuna mtu anadhani kuongoza taifa ni rahisi kama kuchimba viazi. Kama kuiongoza familia ya mke /Mme na watoto watu wanachemka. Leo mama yetu kafanya mengi na anaendlea kufanya anatokea mtu anajifanya haoni yaliyofanyika anaongelea eti mama anasafiri na ndege kubwa. Kwa hiyo alitaka atembee kwa miguu???
@RashidiDaudy-ez6zt
23 күн бұрын
ovyooo
@saruni5673
22 күн бұрын
😂😂😂yapi
@hassan-sarumbo
22 күн бұрын
no comment napita tu
@zuhramwavyoni8400
21 күн бұрын
❤❤❤
@user-um5xx5ct7q
23 күн бұрын
Hii ni tv ya kinafiki haifai hata kuangalia
@user-sv6zy3hc8o
23 күн бұрын
Kama unaona lahis fanya ya kwako tuone
@Abdallahsaid-e3k
13 күн бұрын
Maajabu gani
@deogratiaskatinda9232
22 күн бұрын
Waandishi wengi wetu wa habari wa siku hizi ni wa hovyo tena hovyo sana
@lakiabalozi5633
23 күн бұрын
Jengeni viwanja vya ndege mikoa yote khaa huu uwanja au airstrip
@alistairelias536
23 күн бұрын
Kwa abiria gani??
@abdulpagali7476
22 күн бұрын
Tumekwishajenga Chato. Mikoa mingine tunajenga airstrips ili kuokoa hela. Kwa sasa vipaumbele vipo kwenye ujenzi wa SGR, mitambo ya kufua umeme katika bwawa la Mwl. Nyerere, uwanja wa ndege wa Msalato, na bomba la mafuta kutoka Hoima hadi Chongoleani. Insh'Allah, panapo majaaliwa, tutajenga SGR ya Mtwara hadi Mbamba Bay na matawi yake kwenda Liganga na Mchuchuma, tutaboresha reli ya TAZARA, tutajenga bandari ya Mbegani Bay, tutatekeleza miradi ya uzalishaji wa LNG, bomba la gesi kwenda Mombasa na Uganda, mbolea itokanayo na gesi asilia, tutajenga viwanja vya mpira kwa ajili ya AFCON 2027, tutajenga daraja la Bagamoyo hadi Zanzibar, tutajenga kongani kubwa za viwanda za Disunyala na Kwala. Subiri ubwede, Mama hana udogo. Mwakani tumpe miaka mitano ya kuonesha uwezo wake ili tufaida matunda ya kazi zake njema za kukuza uchumi wetu. Naomba KAZI IENDELEE 🎉🎉🎉🎉🎉.
@user-ot1ff7yq2l
23 күн бұрын
Ukiona mti anasema hivyo jua hana furaha wala imani na uongoz
@MohdAlsharjy
23 күн бұрын
Ndegee shokap ya mbelee imekufaa
@mohammedabdallahalazri3238
21 күн бұрын
Hivi kila Raisi akitoka safari ya nje anapokewa kwq shangwe?
@tibbsminja2575
22 күн бұрын
Viwanja vya ndege havina hadhi kabisa! Pesa zinatafunwa tu. Ila siku Rais anakuja utasikia sifa nyingi za pesa zimetolewa za miradi! Mama Mama Mama! Huku tukisikia mashule watoto wanakaa chini wanafunzi 1000! Unajiuliza Serikali ipo au wapo kwa majina???
@emmanuelsulle911
23 күн бұрын
FISIEMU Watu wamewachoka Mno
@hugholinemmasi1671
23 күн бұрын
Ama kweli Elimu UCHUMI BADO SAANA AFRIKA.
@faridahalwaily85
23 күн бұрын
Duwa na kuombeanaaa mazuri ni manufaaa kwa wotee…tumshukuruh Allaah kwa kuwaleeeteenii rais mwema mwenye upendoo na hurumaa…..Aangaliyeeeni nchi na watu wenu Alivyoo watengenezeyaaaa Zidii kuiyoombeyeeni Amani na manufaa idumuh kuinukaa na kutengeneyaaaa…..
Sasa unataka watu wajae uwanja wa ndege una siri gani na hao watu si kuna sehemu atakutana na wanainchi ataongea nao
@RamaJumanne-lc9ve
22 күн бұрын
Wananchi wapo nje ya uwanja awalusiwi kuingia wotee
@seifathumanseif3681
13 күн бұрын
Asa kuna maajabu gani? acha ushamba
@emmanuelsulle911
23 күн бұрын
Mbona hakuna Jipya? Afu watu wachache Ivo
@ZainabuBakari-yb4vj
23 күн бұрын
Mbona wengi unataka watu gani,toa hoja
@benjaminmiselya2622
23 күн бұрын
Mmmh balozi wa Shina😂🤣🧐🤣🥹
@prosperjohn2047
21 күн бұрын
Nilifikiri Imeanguka ikawaka, kumbe ipo
@user-bt6ep3yb2h
23 күн бұрын
Mnapendaga shida bila sababu, unashabikia vitu vya kishetani, unaombea ndege ingeungua ili iweje? Watu kama hao ni kuwasweka ndani ili liwe fundisho.
@user-xn1ly2yx7j
23 күн бұрын
Ni kweli kabisa ndugu anaombea ndege ingeungua moto jamani mama yetu kakosa nini ,mpaka kusubutu kuomba ivyo.jamani hakuna binadamu mwenye 100% kila binadamu anamapungufu yake.mtamkumbuka mama siku moja tumeshayaona nchi za watu.
@vladimirputn1809
23 күн бұрын
😂sukuma ndani
@SanziNzige
23 күн бұрын
Magufuli bhana
@m.m.tvmbebamaono
23 күн бұрын
Mikopo na mitozo tu kuoga aaanha😂😂😂
@athumaniamiri880
22 күн бұрын
😢😢😢
@davidmalogo7100
23 күн бұрын
Nilichoona chaajabu ni watu 77 wanampokea nanii laisi wa katiba
@wadeelegbogun3015
23 күн бұрын
😅
@abdulrahmanally1412
23 күн бұрын
Kwani huyo uliyekuwa unamwabudu si ni katiba hiyohiyo, acha chuki@ ujinga
@ibrahimally8073
23 күн бұрын
Nini Sasa kimetokea? kumanyoko zako wewe.. Ina maana unaombea ndege iliyombeba rais ipatwe na hitilafu au? Mbwa wewe na hiyo TV yenu ya kinafiki.. shetani ibilisi laana wewe
@vladimirputn1809
23 күн бұрын
😂
@The1979bornagain
22 күн бұрын
Maajabu hapa ni kitu gani? Honestly, sijaona ajabu lolote mimi unless otherwise wewe mwandishi useme ni nini cha ajabu hapo
@WilsonLuchwele
23 күн бұрын
Wee mwandishi habari uchwara!
@AnnoyedBooks-kn5pm
20 күн бұрын
Gwanghana nulukubi
@fadhilimoshi5754
14 күн бұрын
Mtandao wenu umekosa habari wezi wakubwa kuku nyie.
@user-tz8yn9uf2k
23 күн бұрын
Hii ndege ikitoka dar to mwanza inakula mafuta ya million 5, nenda irudi?
@abdulrahmanally1412
23 күн бұрын
Usiwe mjinga ww?sasa unataka Rais apande baiskeli? Kaa na chuki zako na zitakuua, bwege wee hii karne ya 21, nina wasiwasi na kiwango chako cha elimu na uwezo wako wa kuchanganua mambo ktk karne hii ya maendeleo ya Sayansi na teknolojia.
@jedidahbintidaudi8241
23 күн бұрын
ila managing director wa shirika la ndege alifanya Rwanda airways ikaleta faida kubwa sana Rwanda kwa Kagame. ila Magufuli alivomuomba na kurudi Tanzania, Matindi ktk uoongozi wake shirika linakula hasara kila leo, na sio sababu ya uendeshaji wake lakini ni viongozi kumpelekea vimemo kila leo na watu wao kwenda bure safari zao..shida kweli. kijana wa watu anapata shida sana
@WilsonLuchwele
23 күн бұрын
What is strange there?
@jedidahbintidaudi8241
23 күн бұрын
@@WilsonLuchwele you right i see nothing strange..the title is just misleading..i was just addijng my comment as far as the corporation is concerned
@kadijahajali3918
21 күн бұрын
😅
@BeniJohn-xd3cn
23 күн бұрын
Mambo mengine ni ujinga mtupu vielelezo vya ovyo mnabidi mfungiwe
@ezekieljacob5795
22 күн бұрын
Aaaaa,biashara...asinge andika kichwa cha habari chenye kiki,usingefungua...wewe ndo lishamba
@MoinaminaAmina-qh1jb
23 күн бұрын
Sirikali ya tz ??nunueni ndege ya urusia ya kubeba ma raisi nawatumishi wasirikali iwe mawaziri au wakubwa wa sirikali ni onyo yangu
@MsAggie5
15 күн бұрын
Ile ndege ya raisi aliyonunua mkapa imeenda wapi
@deniccgabriel6153
23 күн бұрын
Nilijua ndege imeungua kidogo nifuraiiiii
@AshaMwamba
23 күн бұрын
Haaaaa
@abuumuhammad7133
23 күн бұрын
Utasubiri sana yupo na Allah huyo
@mesuitozil1527
23 күн бұрын
Bwege kweli, fanya Kaz, pambana kutafuta Pesa hakuna Rais wa kukuletea Pesa nyumbani
@petermogha7025
23 күн бұрын
Mchawi nn
@kuchimillionaire6683
23 күн бұрын
Ufurahie nini?
@dismaslalubare4196
23 күн бұрын
Maajabu yapi aasa ? Hii TV haina tofauti na TBC
@ezekieljacob5795
22 күн бұрын
Hiloooo limeingizwa choo cha kike, ni biasharaa
@kajaymopao1672
14 күн бұрын
majabu gani njinga kama una content wacha kudanganya watu
Sio kweli kama yeye anawatendea watu mabaya mungu hawez kukupa hicho ulichosema kuzaa Kuna uchungu wake lakin fikiria huyu Rais mwanamke na kazaa lakin suala la ushoga kalinyamazia haongei Wala Sheria haitungwi wanatunga Sheria za kunyanyaswa Raia tu
@abdulikilala5902
23 күн бұрын
Kwa hiyo wengi huyo hatumuombei mazury maaana hawez kuongoza lakin anajifanya anaweza
@wadeelegbogun3015
23 күн бұрын
RAIS FEKI WAMCHONGO 😅😅wa katiba
@abdulrahmanally1412
23 күн бұрын
Kuwa ww, fala wee, kamrudishe basi huyo godfaza wako
@ZainabuBakari-yb4vj
23 күн бұрын
Nini
@bimumaulid1171
23 күн бұрын
NDEGE YOTE HII KWA RAIS TUU NA WATU WAKE KWA NINI ASITAFUTIWE NDEGE NDOGO TUKAPUNGUZA MATUMIZI
@rajabukipara3008
23 күн бұрын
Upungize Matumiz kwan Hiyo pesa Inakuus!?.😊
@rajabukipara3008
23 күн бұрын
Kwana Unafaham NENO RAIS?
@abdulrahmanally1412
23 күн бұрын
Acha umaskini wa kifikra, babaako kajenga uwanja wa ndege chato, ni ndege ipi zinatua sasa, kakamata meli ya uvuvi tumelipa mabilioni ya pesa sa hasara ni ipi hapo? You dont have to be bias.
@ManzabaySalim
22 күн бұрын
Maajabu gani kenge wewe
@anaabsaid3544
23 күн бұрын
Maajabu yako wapi hapo? Kuna youtuber wengine washamba kweli unazania nitafungu tene nani zako sorry
@stevendaudi39
23 күн бұрын
Mbona madguard ya mbele imekatika😂😂
@Michael74540
23 күн бұрын
I am blocking you
@nkwazigatsha
23 күн бұрын
Pumbavu. Mbona hakuna ajabu lolote zaidi ya mingoma. Miswahili kwa kupenda ngoma na kuabudiwa. Wenzenu walishaachana na upuuzi huu nyie mmeushikilia. Shame on this channel. Sitaifungua tena. Ni wavivu wa kufikiri.
Пікірлер: 136