Ukiniuliza ni mchezaj gani unataka arudi yanga nitakujibu FEI TOTO coz jamaa anajua yani ananikosha kwenye hiyo mikombora yake daah ,,,,,ila bado namkubali hata aki nda simba coz yeye ni mchezajo wang bora wa muda wote,,,God bless Feisal❤
@barghashally7791
Жыл бұрын
Mwamba anajua maashallh
@latifapancras5734
7 ай бұрын
Mm kiukwel mpaka leo naumia fei kuondoka yanga na jina lake lnakufa maskin
@BonyTz
7 ай бұрын
Daaah yaan😢😢
@HappyBurrito-bm5me
6 ай бұрын
Tatizo mpira wa Tanzania bara mumefanya mpira upo yanga na simba ndo maana anayofanya akiwa Azam hayaonekani media zote promo IPO simba na yanga, magazeti yote hapo lazima useme jina lake linakufa lakin kiwango tunakiona
@MansourSaidi-zz8ef
6 ай бұрын
Mashallah anajuw ila kuondka yang ila daahh inauma
@AsmaAmeir-l6w
Жыл бұрын
Itakuwa sibahati yetu kuona utamu wake akiwa yanga
@abdallaameir3153
Ай бұрын
Fei babel
@OmaryMisoya
5 ай бұрын
Fei xali on fire
@kenanimubisa
Ай бұрын
😮😮😮😮
@AzhadSaid-j1t
Ай бұрын
Fei nembo ya taifa
@MayungaKwandu
4 ай бұрын
Anajua kweli
@RehemaRevison
5 ай бұрын
Ok
@jayfadhil8404
5 ай бұрын
Lampard w Tz Feysal
@BishiraMunga-ey6jx
Жыл бұрын
Ulifanya sehemuyako,wewe ni fundi japo umetukimbia lakini tunakushukuru.
Пікірлер: 17