Hongera sana Kwa ushindi. Huu sio ushindi wa Mwabukusi. Ni ushindi wa wananchi wengi wanyonge wanaodhulumiwa haki zao. Ni ushindi wa Tanganyika. Bravo !
@christinenyagiro6662
2 ай бұрын
Hongera sana Mwambukusi na Mungu akubariki ili uweze kuwa TLS President
@josephmwita6012
2 ай бұрын
Hii inaitwa the power of knowledge na haiwezi kushindwa na haitashindwa sauti ya haki ni sauti ya mungu
@elibarikimollel7149
2 ай бұрын
Mungu pekee Atukuzwe haleluya... Hofu ya Kuanza na kumshukuru Mungu kwanza kwa kila jambo,ndio hekima. Kawaida ya wengi wanaopewa vyeo kuanza kumshukuru mwanadamu mwenzako asiyekupa pumzi, akili,utashi, ujuzi,wala uhai wako bali uwajibikaji wa pamoja kwa watanzania ni ulimbukeni tu! Mungu akuinue viwango vya juu ndugu Wakili msomi Mwabukusi
@kingnew1870
2 ай бұрын
Asante sana Wasomi, viva Rais Mtarajiwa.....
@simonnaivasha6393
2 ай бұрын
Mawakili wa wakili mwabukusi mmefanya wajibu wenu, mmetuonyesha kuwa mahakama ni sehemu ya kukimbia kwa kila MTanzania.
@josephpetro2968
2 ай бұрын
Hongera sana 13:36
@emanuelsinyinza
2 ай бұрын
Nyinyi wanaume. Hongereni sana.. hayo madudu yenye nukusi hayaoni haya.hongera mahakama sasa mnatupa nguvu. Mungu awajariye awajaiyeeeeeee oyeeeerreeeee reeeeeeee ndanga bakukayaaaaa mwasalipaaaa..mgonileeeeeee.
@orgeneslema9464
2 ай бұрын
Wakili vijana mmeonyesha usomi wenu. Vote for Mwabukusi for a better future of TLS, good governance, transparency and accountability in Tanzania
@babuumaeda7671
2 ай бұрын
Mwabukus 🎉🎉🎉 nalikubali hili jamaaa BRAVE 🎉🎉🎉
@gaagwasaugustino2584
2 ай бұрын
Hongera Sana mtu wa Mungu, Hongera Sana mtu wa watu Mzalendo Mwabukusi, USHINDI wako ni Ushindi wa Watanganyika Wote, Mungu amejibu maombi yetu, MUNGU akusimamie akulinde daima katika kila hatua, HAKI ISHINDE DHULUMA,wewe ndiye Rais wa TLS ujae ambae ni mpakwa mafuta wa Mungu, Amen.
@desiderihugo5704
2 ай бұрын
Kwa hakika Mwbukusi ni mwamba . Asanteni mawakili wasomi . Asante mahakama kwa kutenda haki . Na hii haki iwe kwa watu wote ndipo tutakuwa na imani na mahakama kwamba haipokei maagizo kutoka juu.
@mwajabuYusuph
2 ай бұрын
Hawa ndio watu tunao wataka katika Taifa la Tanzania 🇹🇿 watu kama mwambukusii ni vyuma kweli kweliiii🎉🎉🎉🎉🎉 Hongera sana mwabukusiii niii shujaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@AGM19697
2 ай бұрын
Hakika, nchi hii inataka watu waliosimama hivi ili isonge mbele
@jameskileo955
2 ай бұрын
Haki Imeshinda hongeraa brother MUNGU aendelee kukutunza hongeraa Sanaa
@MinchandeManeno-te4zg
2 ай бұрын
Very nice mwambukusi, mungu anakuona Kwa Nia yako njema
@migerajacob581
2 ай бұрын
Hongera brother,, Mungu akutangulie,,yapo mengi Yana kuhitaji uya pambanie,, tupo pamoja,
@anosiata8242
2 ай бұрын
Hongera Mwambukusi. Mungu yuko nawe Naomba mawakili wote kula zote kwa Mwambukusi..
@ChristianMkumbo-ix2ke
2 ай бұрын
Kumbe tukiamua inawezekana Champion MWABUKUSI
@aliyageorge6794
2 ай бұрын
Sana! Hii inadhirisha wazi hata tukitaka katiba mpya itawezekana 😂...
@ChristianMkumbo-ix2ke
2 ай бұрын
We more leaders like MWABUKUSI ova
@suzanacharles9726
2 ай бұрын
Hongereni sana Wasomi mmefanya kazi nzuri
@merumount5988
2 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza wanasheria mmejipata..this s the morning glory for Tanzania! Lawyers don't go back again!!
@gowekogoweko5803
2 ай бұрын
HAKI HUONDOA CHUKI KWA BINAADAMU YEYOTE...HAKI NI AMANI NA SIO UOGA
@luganomwaigomole7441
2 ай бұрын
HONGERA SANA MAWAKILI HONGERA SANA MAHAKAMA HONGERA SANA MWABUKUSI ❤
@uredmwasembo8579
2 ай бұрын
Asante mungu mwamba wetu mwabukus kazi kwenu mawakili wote akika msituangushe
@annamwakibinga527
2 ай бұрын
Hongera sana Mdogo wangu Mungu akutunze na ushinde kwa kishindo.
@ezekielmirambo8704
2 ай бұрын
Much congratulations to the court as well as to Mwabukusi for this great fareness done!
@adelinelyaruu3036
2 ай бұрын
HAKI HUINUA TAIFA
@atupegemwakahesya
2 ай бұрын
Hapo mahakama imelinda heshima yake. Hongera mawakili wa Mwabukusi.
@JohnDeus-v3e
2 ай бұрын
Asante mungu kwakuliona hiri❤
@AugustinoRugwije
2 ай бұрын
Hongera mwamba,kazi imebaki KWA wapiga kura
@JumbeOjaso
2 ай бұрын
Maji na mafuta yanaenda kujitenga dodoma , Hakika nchi hii inawahitaji mawakili wazalendo kuilinda katiba yet,na rasilimali zetu. Kama siyo Uhuru na haki zetu. Mungu ibariki Tanganyika
@PaskaliCharles-pz8ds
2 ай бұрын
Mungu akulinde mh mwambukusi ni maombi yangu kwako upate Urais wa TLS
@emanuelmaraki9758
2 ай бұрын
Mungu atatuvushaaaa changa moto zotee haki itatendekaa bgp 👏🙏🤝
@gidongailo7174
2 ай бұрын
Mkifika DDM msichague Rais wa TLS bali mchagueni Mwambukusi kuwa Rais wa TLS. Namwaminia sana huyu mwamba, mambo yake yana reflect reality
@AwardHakimu
2 ай бұрын
Huyu jamaa anajua sana na sio muoga kwaiyo anafaa
@gracemwakibolwa7910
2 ай бұрын
Hongera sana sana Bukhusi.Mungu akusimamie na damu ya Yesu inene mema juu yako.na Mawakili wenye mapenzi mema na nchi hiii.
@barakarimba2948
2 ай бұрын
Hongereni sana sanaaa tumefurahi
@yordanyona1234
2 ай бұрын
Huwezi kushinda kwa kupunch tu unapaswa kupiga pia ... ... Uko vizur sana Kiongozi wangu ubarikiwe Sana
@jovankishamba9424
2 ай бұрын
AMINAAAAAAAAAAAAAAAAA-
@MonicaTimotheo
2 ай бұрын
Aluta continua, la victoria icietra, patria o muerte sisi na kina mwabukusi na wazalendo wote Tanzania yetu au kifo tutashinda tu na mafisadi wakoloni wenye ngozi nyeusi vibaraka wa ukoloni mamboleo lazima washindwe na kusalimu amri viva mwabukusi viva Tanzania
@ChristerKoku
2 ай бұрын
Hongera kuitafuta haki,kawaida haki uchelewa ila haipotei hongera wote walioungana na wewe lupigania haki na usawa,hongera wanamaombi mbali mbali mungu amejibu na atamzidi kujibu.
@alfredmshaijaki
2 ай бұрын
Asante Mwabukusi kwa kuyarejesha matumaini kwa watanzania, asante Jaji na mahakama, asante jopo la wanasheria mliokesha na ‘section 4’. Mungu awasimamie.
@mikbete
2 ай бұрын
You are PURE and TRUE unaonekana .
@linkreuben3108
2 ай бұрын
Jembe kipenzi cha wengi!
@christinenyagiro6662
2 ай бұрын
Mwambukusi nimefurahia sana, Wote mliomrudisha Mwambukusi wote ni Simba.
@manyamalima1916
2 ай бұрын
Bonifas Mwabukusi Ufunikwe na damu ya Yesu, uso wa Yahweh uende pamoja na wewe
@joykapaya1970
Ай бұрын
Aminaa.
@PaskaliCharles-pz8ds
2 ай бұрын
Sera nzuri sana mwambukusi Hakika unampango mkakati wa kuipeleka chama mbele mungu atakulinda mpaka kusudi lake litimie
@JuliusMahinya-wl7mq
2 ай бұрын
Kuna wakati opponent anaweza kutumika kumpigia kampeni mshindani wake! Kama hili, tiari mmeishampa Mwambukusi ushindi kwa kujaribu kumuondoa! Yaani mnajua anajua haki zake alafu mnamchokonoa! Very poor planning
@enocepaulkumba9362
2 ай бұрын
Jembeeeeeee! Karibu kazini kamanda mwabukuzi!. Wewe ni mrithi wa Tundu Antpass Lisu.
@kazimilykulwa2516
2 ай бұрын
Ukisikia watu wakisema wakili msomi ndo huyu sasa mwabukusi 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@PeninaMaduhu-j1z
2 ай бұрын
Hongera sana Wakili Mwabukusi na Kwa uwezo wa Mungu utashinda katika Uchaguzi wa Uraisi
@bakarmsangimsangi7757
2 ай бұрын
Safii sana mwabukus mungu awe nawe kwenyee kutetea hakii tunataka mtumiee sheria kuwanyonga wanao ibaa rathilimali za nchi yetu
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
2 ай бұрын
Allah asimame na wwe kwenye kila jambo bila shaka kwa vile nakuamini bila shaka hautatuangusha kwenye hilo na InshaAllah utashinda kwa %87 ya kura zote
@abelbest4984
2 ай бұрын
Asante mama Samia kwakufanya mahakama kua chombo bora cha haki
@Juma-e8l
2 ай бұрын
If you stand for truth only remains alone but mwakabusi never give up we support your voice to go viral
@Mapitoyazamani-y7n
2 ай бұрын
Kura yangu iwe ya kwanza kwa mwabukusi.
@peternyambui7492
2 ай бұрын
Hongera/Hongereni sana sana kwa ushindi ..Ninawaombeeni sana kwa Mwenyezi Mungu azidi kuwasaidia...Amen!
@asiliyetuonlinetv5063
2 ай бұрын
Hongereni wote mliohusika kuleta huu ushindi Tanganyika imeshinda. Cha mwisho nendeni mkampigie kura #mwambukusi Dodoma✅👏👏
@EmanueliWildausoni
2 ай бұрын
Natamani uwe waziri wa katiba na sheria au mwanasheria mkuu wa serekali japo hata T L S so habaaaa nakutaibiria nakuona mbali sanaaaaa katik uongozi wa taifa hili
@AbeliIrikaeli
2 ай бұрын
Umesha shinda tayari ongera sana❤❤❤
@Emmanuelmengi
2 ай бұрын
we need people like you🎉🎉
@TitoRufizi-xb2ub
2 ай бұрын
Hongera jembe we ndo Rais TLS
@Kwelihukuwekahuru
2 ай бұрын
MUNGU kwanza hongera Mwabukusi kuanza na kumshukuru na kumtukuza kwani yeye ndiye chanzo cha kila kitu
@charlesmoshi4411
2 ай бұрын
Hongera mwamba. Aluta continue
@JuliusBazil
2 ай бұрын
Kongole sana Mawakili kwa ushindi wa kwanza Mahakamani kwa kumpigania Adv. Mwambukusi na kupata haki ya kuwa mmoja wa wagombea wa Rais-TLS. Sasa nendeni Dom kwa kupiga kura ya "NDIYO" kwa Adv. Mwambukusi. Mhe. Mpina,(Mb)-ngosha,supana.aka na Watanzania wanamngojea akalie kiti cha TLS,wampatie Nondo,Supana,Nuts, akaze vyuma.
@EmanueliWildausoni
2 ай бұрын
Waooooo safi sanaaaaa ningeshangaa sana kama na nyie T L S mngechezewa na wanasiasa hongereni sanaaaa
@ChristerKoku
2 ай бұрын
Nakuona mwanangu Kisamo hongereni sana sana.
@tryphonbalihamla2898
2 ай бұрын
Viva president tlS kajunjumele mwabukusi
@gasparyephraimmwakatuma9542
2 ай бұрын
Hongera kwa ushindi nadhani kampeni tayari umefanya
@magesadani9058
2 ай бұрын
Hiyo ni dalili njema na Mungu awatangulie mwendelee hivyo hivyo mpambanie Tanganyika yetu
@ev.eliezangiruketv8902
2 ай бұрын
Nakuona wewe Mwabukusi kuwa ndiwe Rais TLS.
@williammwamalanga1065
2 ай бұрын
Watanzania tunahitaji mawakili kama Mwabukusi
@zaydamos874
2 ай бұрын
Mwabukusi juuuuuuuuu juuuuuuuu zaidiiiiiiiiiiii saf sana kaka
@hamissomary6869
2 ай бұрын
Kaka ongera sanaaa"nimekuwa nahoma kali sanaa nikisubili majibu ya mahakama"leo majibu hyooo mezani "Mungu akutie nguvu utupiganie watanzania "Nakkubali sanaaa
@dillonfoya
2 ай бұрын
Yes HAKI imetendeka MWABUKUSI HOYEE
@JamillahMhina
2 ай бұрын
Safi sana na mwenyez mungu.aendeleee kukupa kinachostaili nakukubali sana yaaani katika bajet yangu ya kutwa nzima lazima indeed kwenye bando.kwa ajili ya kukusikiliza
@csato9415
2 ай бұрын
Hongereni kwa uthubutu mawakili waliokuwa wakimtetea Mwabukusi kwa kudai haki iliyotaka kuporwa na gege la serikali. Hivyo mawakili mwende Dodoma kumpigia kura Mwabukusi ili awe Rais wenu. Na tayari kashafanya kampeni kazi kwenu wapiga kura tuleteeni Wakili Boniface Anyisile Kajunjumela Mwabukusi.
@geoffreynghumba1029
2 ай бұрын
Hongera sana kaka. Natamani ushinde Mwabukusi katika uchaguzi wenu wa TLS.
@PaulTajiri-vu4xu
2 ай бұрын
Mungu. Nimwema sana anajua wasalendo wa icnhi
@FredrickNicholaus
2 ай бұрын
Nakukubari mwamba💯💪
@generosennko8343
2 ай бұрын
To God be the glory.
@georgesamwelchacha7680
2 ай бұрын
Mawakili waheshimiwe Wana Habari waheshimiwe
@LemayanOlesenet-mq2yl
2 ай бұрын
Mungu anazidi kufungua njia,hapo tiyari ushindi.Keep it up!
@ZablonJonathan
2 ай бұрын
Mwabukusu ana faa sana Ee MUNGU mlinde na apate ushindi.
@frankndendu2570
2 ай бұрын
Go for it brother. You have already got it
@petermasanilo732
2 ай бұрын
Mungu hamfichi mnafiki wameumbuka hai sasa ni kipindi Cha mnyonge kupata haki
@benjaminphelecian7621
2 ай бұрын
Hongera sana wakili mwambukusi kwa ushindi
@gervaskasala7321
2 ай бұрын
Kwa maelezo hayo na point hizo mwambukis ashinde asubuhi
@AmosRugaimukamu
2 ай бұрын
Siamini mwamba kama utashinda, maana wakwamisha Sheria niwengi sana bro, lakini nakuamini mwamba, uko poa sana uncle
@YohanaMathayo-r7p
2 ай бұрын
Mungu akutangulie kaka yangu mabukuzi
@wingodmruma8925
2 ай бұрын
Kumbe Tanzania bado kuna masalia ya wazalendo halisi. Hongera mwabukudi wakili bora sana kwa nchi. Laiti wakuu wangetazama kwajicho la tatu wakakupa majukumu ya kuitetea nchi dhidi ya magengeyanayotamani maliza Asili za urithi ktk nchi tuliopewa na Mungu bilashaka rasilimali hizo zingekuwa salama na kunufaisha WATU wote badala ya kunufaisha wachache wenye nguvu. kwamtazamowangu lakini. Hatahivyo saa ya Mungu ikifika hakuna atakayezuia mapenziya Mungu yasitimie. Naamini hata jogoo asipowika kukucha kutakucha tu. Kwa hiyo hakuna kukatatamaaa munguyupo
@kenedyrocky4641
2 ай бұрын
MAWAKILI VIJANA MSITUANGUSHE. TAIFA LINAHITAJI AKINA MWABUKUSI WAWE WENGI SANA.
@silasmarandu1485
2 ай бұрын
Kongole Mwamba Mwabukusi ❤
@jovankishamba9424
2 ай бұрын
Safi sana mawakili mpe Mwambukusi maua yake.
@rahabufilangali-cp6br
2 ай бұрын
Naitwa section four...mwambukusi bwanaa❤
@DorkasKamau
2 ай бұрын
Thanks very much
@nmatuja2191
2 ай бұрын
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kukuamsha kudai haki yako,pia niipongeze mahakama kuweza kukusikiliza na kukupa haki yako.Wewe ni Rais wa TLS wara si vinginevyo unafaa sana sana.
@tryphonbalihamla2898
2 ай бұрын
Viva rais wa tels
@shahiduabed6097
2 ай бұрын
Hongera mwabukusi
@isayamwashibanda5819
2 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉 mwambaa huyooooo
@GeorgeNtugwa-bk7dr
2 ай бұрын
Hongera
@kuabwakatabalula7913
2 ай бұрын
Glory be to God
@marthamtalo4348
2 ай бұрын
Tunawaombea kwa Mungu wetu ni mwema
@ZablonJonathan
2 ай бұрын
Mawakili waliomtetea na hakimu aliyetenda haki hiyo Mungu awalinde na awabariki.
Пікірлер: 242