Asante MUNGU Kwa mama yangu.Asante Kwa kuzaa mtumishi ktk shamba la Mungu.Happy mother's day.
@joselynenizi9475
Ай бұрын
Asante sana mama yangu imepitia mengi magumu na mabaya ,alizunguka uku na kule kutafuta mudada wangu kwa waganga tofauti ,ninacho muombea ni mwisho mwema na musama kwa Mungu sababu alipitia mengi kwaajili yangu❤❤❤❤
@catherinekatoto8278
Ай бұрын
Asante kwa Mama aliyenizaa. Na watoto wazuri Mungu alionipa na kuwa faraja na upendo kwao nao kuwa na tabia njema na ya kumcha Mungu katika umri wao.
@roberthafavour7841
Ай бұрын
Ahsante sana MUNGU kwa neema ya kunipa mama mzuri, Pamoja na kuwa amelala bado wewe ni MUNGU mkuu,
@LuluJackson-kz7ro
Ай бұрын
I love my mummy rest in peace
@giftmuchai2106
Ай бұрын
Amen amen amen
@leticiamachibya1851
Ай бұрын
Napenda Sana mama.may God protect my mum
@leatimoth3611
Ай бұрын
Kwa kweli nimekuwa nachukia mamangu sana na kumuona ni mubaya sana kwanzia leo hii nitamuomba musamaha na kumlinda kama mamangu na kumpenda ivo alivyo
@annkim2690
Ай бұрын
Amen glory to God
@NaomiAntoni
Ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri Apostle
@mthiaspaul
Ай бұрын
Watu wanapenda kunywa maziwa.
@jemimatumaini7026
Ай бұрын
Amen.Asante Mtumishi kwa kutuelimisha
@elizabethtillya5682
22 күн бұрын
Amina AMINAAA
@mustafahamadi4827
Ай бұрын
Asante mama kwa kunizaa
@lusianguno6434
Ай бұрын
Ameen. ✋👍💪
@joselynenizi9475
Ай бұрын
Asante sana mama yangu imepitia mengi magumu na mabaya ,alizunguka uku na kule kutafuta mudada wangu kwa waganga tofauti ,ninacho muombea ni mwisho mwema na musama kwa Mungu sababu alipitia mengi kwaajili yangu❤❤❤❤
Пікірлер: 16