Mh; ,..Makonda Heri nyingi sana sana sana...unafanya jambo kubwa sana Hongera sana Mama SAMIA kwa Uteuzi huu juu ya Kijana huyu.. Tunawahitaji akina MAKONDA wengi kwenye Mikoa yote Tanzania. Lakini Mama ikukupendeza Mfanye na Mpe Kibali Makonda azunguke Mikoa yote Tanzania awape Mbinu wakuu wa Mikoa yote..wafanye kama yeye, Maana kusema ukweli wananchi wote nchi nzima wanahitaji huduma ya Makonda...na Ngumu kwa sasa kumtoa Arusha kumuweka Mkoa Mwingine. Ikitokea ukataka kumuhamisha Mpeleke BUKOBA/ KAGERA akakomeshe UTAPELI wa WAHAYA.
Пікірлер: 1