Barikiwa sana Makonda Mungu azidi kukutumia kinabii zaidi ili watu wengine wasio njia Mungu na mtumikia wapate jumuia na kumwamini kwa kupita wewe
@annaminja2633
Ай бұрын
Makonda hongera sana hizo nimeamini siyo nguvu zako ni kutoka kwa mwenyezi na kwa vile una maono mwenyezi Mungu alishakuteua tangu ulipokuwa mkuu wa wilaya Enzi za makufuli sasa tunamwomba mama Samia akupe ulinzi wa uhakika akupeleke nchi yoyote kubwa duniani upumzike walau mwezi ummoja ukirudi ujiandae 😂
@user-ff5jt4rp9n
Ай бұрын
Makonda Mimi nakuona Kama magufuli wa pili nakuomba unisaidie jambo moja tu najua upo bize sana
@elishajoseph8291
Ай бұрын
Ila kwa serikali inajitahidi kwa matibabu ya kimwili mngewekeza na matibabu ya kiroho maana magonjwa mengi yanasababishwa na mapepo yaliyoko ndani yao, leteni wachungaji wa maana sio wa mafuta na chumvi , naongea tu lkn hiyo haiwezekani ila kwa Mungu inawezekana
@HajiKassimu-ww5oz
Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bharyasarbjit1187
Ай бұрын
Mhe Mkonda endelea hivi hivi ujue unacho fanya Ku saidia watoto wagonjwa ni Zaidi kuliko Kitu chochote Angine. Mimi sina uwezo kubwa lekini Naomba nijue kitu Ngani Niku patie ya Gharama 2 m
@annaminja2633
Ай бұрын
Ukirudi Tanzania hao viongozi walio madarakani sasa hivi wakimaliza Muda wao tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu uwe makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Tanzania na ikishindikana uwe Waziri Mkuu una vigezo vyote jamani baada miaka mitano tunakumbea uwe Raisi na Amiri jeshi mkuu wa Tanzaniaaaà
Пікірлер: 8