Binadamu watatoa maoni tofauti hapa kumkejeli uyu kike ila hawajapata kuchaguliwa kuona mambo in the spiritual world 🌎 bt mjue kuzimu na mbingu nihalisi maisha yapo bada yakifo na hukumu iko kwa wapingamizi
@demolenebooysen2085
11 ай бұрын
Wakataao ukweli wote,watajibu kwa Mungu....
@CastoryKapinga-nb7ht
Жыл бұрын
Srory.kali sanaa sheby blessed sanaa
@rashidyasser9423
Жыл бұрын
Shebby sikuhizi nimekuwa mzito kufuatilia simulizi zako, nyingi hazina muendelezo kama zipo wakusua sua
@bartazarideogratius5611
Жыл бұрын
Ndugu Yangu, leo naona Watu Wamekishambulia, lakini ni heri Mtu anayepokea Lawama na kufanyia kazi, kuliko anayekataa lawama
@mohamedmuhina4170
Жыл бұрын
Wa Kwanza Leo 😆 , Nipeni Likes Zangu Jamani 🙏
@innocentpius8083
Жыл бұрын
Hii ya uongo bana why simalizi data zangu ..wekeni zile nyingine zakina chogo 😢
@edithaeugeni9695
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Ncheke kwanza mie syo mchezo kwanzya mtu akiwa na miaka 5 ana kumbuka ndoto yake😂😂😂😂😂😂😂Hyu nae nikama yule wajuzi anatuambia kule ujinini kulikuwa na wamasaii😂😂😂😂
@fathiyahmuzney7367
Жыл бұрын
@@edithaeugeni9695😂😂
@alimatambwe3402
Жыл бұрын
Mbona hafanani hata Kama anajuwa taaraabu,she looks like alikuwa muimba kwaya.
@سنتياالشهري
Жыл бұрын
Tueleze vizuri we ibinti imekiwaje kusema itike umwaka myaka ming uko
@theblackandrew4119
Жыл бұрын
Hapa walokole huwaambii kitu Ole wenu Mkosoe chochote🙄🙄
@fathiyahmuzney7367
Жыл бұрын
😂😂😂😂
@trophywilson7211
8 ай бұрын
mmmh
@Patience.67
Жыл бұрын
Hii lazima niwatch hadi mwisho
@nantaembanusurupia5674
Жыл бұрын
Weh mtoto we😮
@checkchannel3876
Жыл бұрын
Host uliwezaje kufanya interview hii kwenye interruptions za kelele namna hii? Ulijaribu kufikiri kidogo tu kwa production hii kwa wasikilizaji itakuwaje?
@juliuskalama2746
Жыл бұрын
Sasa nyinyi watangazaji shuhuda hizi zinawaonyesha kabisa kuwa ni Mungu yupi mwenye nguvu wa kiislamu ama wa wakristo halafu na nyinyi watangazaji muokokee
@Catherine-mh8sw
Жыл бұрын
Washaokoka
@juliuskalama2746
Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw lazma waokoke hizo shuhuda wanazosikia nikalikali sana
@Shokolokobango9385
Жыл бұрын
Hiyo mikasa hakikisha ni ya kwel isijetukapigwa mana kuna online tv nyingi za mikasa ambayo ni fake
@CostaValenci
Жыл бұрын
Maliza kwa story ya chogo usituchanganye
@othmanmulendelwa9622
Жыл бұрын
Assallam aleikum ata mm xifstilii story za uyu bwana mdogo story zake zina ishia hewani
@wazomyakinifu2301
Жыл бұрын
Stori za Shebby zinaibuka ghafla na kuzama ghafla
@marianchamba3898
Жыл бұрын
Jamani Tabora na Mwanza kunanini mbona kila stori ni huko tuu
@juliuskalama2746
Жыл бұрын
Inaonekana kunawachawi sana
@nelsonpatricioestanislaus7144
Жыл бұрын
Wachawi wengi sana 😆😆😆😆😆
@fatmamucha4419
Жыл бұрын
Nakigoma😂😂😂
@trophywilson7211
8 ай бұрын
Na Tanga acha kabisaa
@kotadapotar5094
Жыл бұрын
Madam dam lita mia Unajua kiàsi gani?🤭🇹🇿🇬🇷⚓⛴
@edithaeugeni9695
Жыл бұрын
Hii stori nimeiskiliza tu kwavile sikuwa na chaguo lingine 😢
@rerisamba
Жыл бұрын
Mimi nimeogopa njia panda toka nianze kusikia story za njia panda Naogopa
@raniafahad2918
Жыл бұрын
Ipo hiyo story ya njia panda niambie
@Shokolokobango9385
Жыл бұрын
Mkasa wa hassan vip umeisha au
@AminaLujendo-ci5om
Жыл бұрын
Sasa hakuna majini yaki Africa kwani majini ni warabu to 😂😂 🤣
😂😂😂😂😂sheb hebu mtazamie huyo dada haendani na taarabu story zingine msikirupuke kila mtu kiongozi kuzimu 😂😂😂
@thaaneyamohamed6143
Жыл бұрын
Nmecheka sana😝
@crownprinceea2456
Жыл бұрын
Shetani haangalii sura wa ulembo anaangalia kilichopo ndani yako hata mungu hana shida na muonekano wako wa nje
@kimcash3079
Жыл бұрын
@@crownprinceea2456 ndio nyie mnaoamini kila kitu sasa huyo ndio miss kuzimu kuna mademu wakali tazama meno na shingo yake🤣
@abbass_zungu
Жыл бұрын
TUNATAKA CHOGO JAMANI
@ismailmasoud6001
Жыл бұрын
CHOGO kajikataa...🤣🤣🤣
@crocodilemasala7956
Жыл бұрын
Kumbe nyimbo za taarab hutoka kuzimu🤔
@trophywilson7211
8 ай бұрын
inawezekana Dini yenyewe wanayotoka waimba Taarabu inaabudisha majini
@bmtv3355
Жыл бұрын
chogo yiko wapi mbona hamtowi stry zake ??? t
@ismailmasoud6001
Жыл бұрын
CHOGO kaamsha POPO...🤣🤣🤣
@edithaeugeni9695
Жыл бұрын
, 😂😂😂😂au ndo wewe nini🤔
@dianangethe7839
Жыл бұрын
Chogo kama chogo, simulizi yake tamu sana
@ismailmasoud6001
Жыл бұрын
@@edithaeugeni9695 ...ndo huyo huyo .!
@dianangethe7839
Жыл бұрын
Huyu anakumbuka siku ya kwanza ya chekechea ila mimi nakumbuka hio siku nikipokea kichapo ju ya kukataa kwenda shuleni
@Catherine-mh8sw
Жыл бұрын
😂😂😂😂
@junyacomedy2724
Жыл бұрын
Huyu jamaa bana amalizii story, anatoa story kwakujisikia na kila siku anatoa story mpya bila mipango.
@gideonmaganga1522
Жыл бұрын
acha maswali mengi basi mtangazaji
@ashasaid9056
Жыл бұрын
Chogo Yuko wapi
@Catherine-mh8sw
Жыл бұрын
Kila mtu ana muulizia chogo 😂😂😂
@ismailmasoud6001
Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw..huyo CHOGO ndio nani..🤣🤣🤣
@Catherine-mh8sw
Жыл бұрын
@@ismailmasoud6001 msimuliaji kwa shebby wote ndio tunamngoja😁
@maryworkman635
Жыл бұрын
Basi mtangazaji wacha binti aeleze story ubaya wako uko na maswali mengi yakijinga kweli sasa utaulizaje eti damu ni ya nini?! Kweni kuwanzia uwanze kusikiza hizi story ushawai sikiya kuwa wachawi wakinya damu ya ngombe? Kwani wachawi wamegeuka Masai? Ukisikiya wachawi wewe jiongeze bwana ujuwe ni damu ya watu, plz wacha maswali mengi basi ya kijinga kuwa mstarabu kama Davista basi na umalize story piya
Пікірлер: 63