Akae hapo ili km wanamtoa waende serikali za mtaa baada ya hapo ataludi kuteseka nyumba za kupanga azifai
@BontownMzigu
2 ай бұрын
kwel mama umepitia magum Sana Ila ndo Dunia ilivo
@yukundapeter8200
2 ай бұрын
Mnyoshee Mungu mikono,na choxi la nguvu Mungu atamkalisha kiuno chini,atatambaa km nyoka.
@carenmihayo7991
2 ай бұрын
Kweli kabisa😊
@francescospeciale6556
2 ай бұрын
@@carenmihayo7991Mnamzungumzia mungu wakati ninyi nyote ni wasaliti na watu mliofanya mambo ya kutisha...na mnajua kabisa ninachokizungumza.
@BohkeVictor-qs9hn
2 ай бұрын
Yaani upangiwe nyumba ya 250000😂
@christaoman8890
2 ай бұрын
Sasa dada unaomba usaidiwe halafu unataka kufungua biashara ya duka la bei kubwa kiasi hicho duka la vifaa vya ujenzi bora uanze na biashara ya sokoni kuuza vitunguu,nyanya na mboga mboga utafanikiwa kusaidiwa na nyumba ya kupanga tafuta ya bei ndogo pia ili kwa baadae uweze kulipa kodi wew mwenyew
@carenmihayo7991
2 ай бұрын
Ushauri mzuri asante sana
@LinaLema-c1m
2 ай бұрын
Cha msingi hapo usihame kamwe mpk wanao wajenge nyumba yao usihame hapo awezi toa wajukuu wake
@carenmihayo7991
2 ай бұрын
Kweli kabisa
@mpefu_4936
2 ай бұрын
Wewe mm naona umelogwa unaama kwenda wapi banana nao mpka watoto wako wajitegemee ndio uondoke acha uoga wewe
Пікірлер: 16