all at all Yani napenda filamu ikiwa wameshiriki wote wote Ringo na tini napenda Sana vitungo na halafuu istoshee nawapa sirii kuwa inakwa munahiti kishenzi filamu zenu ikiwa munaigiza nyote kwapanya kiufupi nyiyyi niwasaniiiii muonaotegemeana naomba muwe kitu kimoja mutuonesheee burudani hiiii t kwa mfano km ile tamthilia ya aladini na Ringo engekupo watu wange vutiwa Sana nawapendaa Sana naomba muwe kitu kimoja kwani umoja ninguvu na utengano niuthaifuuu karibuni Zanzibar kuinjon good day
@lomedahudi607
2 жыл бұрын
Wakatimwengine tukihangalia Hali alisi Mwanzo mwisho tutapata jibu MOJa, Siokila tatizo linalotokea litawezakupata sululisho serikalini mengine hutatuliwa kwa njiya nyepesi kamatulivyo hona, Ila wote tunafaamu kwamba sio halali, Pamoja na hayo tukija kwa Hali halisi Sehemu walio maliziya njo hilio honyesha maamuzi sahii, Mchezo Wote una seemu mbili, Tatizo bahina ya watu, na maamuzi pandezote, Hapo Kuna mkono wa serikali na tamaduni za jamihi, Sasa ni muda wa wale wanaohusika kuchagua yapi mahamuzi sahii kwao, Hongera sana kwa burudani.
@halima7255
2 жыл бұрын
Ringo una maneno makavu atari 🤣🤣🤣 ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️
😂😂😂😂eti katemewa mate nanyoka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu mm
@irineokioma1111
2 жыл бұрын
Martin for me 😂😂😂😂😂😂 si ulianza namalizia😂😂😂
@annnasimiyu2113
2 жыл бұрын
Whaat!? God! I'm amazed
@finegatwiri2597
Жыл бұрын
Part 3pls tujue wasasi uwamuzi Wa wassi , 😂😊Bat mamatiny ,, simuamini kama ataachika Na Ringo 😂😂😂😂😂😂
@NgumaWenze
Жыл бұрын
Jaman kimeumana
@Bskbbsa
10 ай бұрын
Mbona amuja saha watoto tunataka kwona.watotowenu
@dollydelly6151
Жыл бұрын
Naenjoy show pongez
@mary-lx3hr
Жыл бұрын
Nangoja hiyo harusi mm
@mukiilillian571
5 ай бұрын
Lingo anaijua misamiati kwelikweli🤓🤓
@peninamanale3038
2 жыл бұрын
Safii sana
@mozelcosta3824
Жыл бұрын
Interesting
@rosemarynasaka5485
2 жыл бұрын
You are smart
@فاطمةجوهر-ر8ش
2 жыл бұрын
Wapumbavu nyote
@JohnKhonde-bp2pk
4 ай бұрын
Mmmmmmh hii ni kali 😅😅😅😅
@SarahNamasaka
Жыл бұрын
Waaau Ringo hiyo clig yako😂😂
@ruthqueen3810
2 жыл бұрын
Mapenzi kwa wazee yameisha😂😂
@MariamManyinga
5 ай бұрын
Jaman wamama huwa wanapagawa na watoto wadogo jaman hata kwny Jamii haya yapo tunayaona
@sarahmakori2398
Жыл бұрын
Ringo unanimada kabisa😂😂😂😂😂😂😂English Number one😂
@aziaramshaka6772
2 жыл бұрын
Movie yenu nzr
@cucuturuganojoanwanjiku4227
2 жыл бұрын
Martin uko na wivu na hiyo tabia sio poa ya kujilipanisha
@mrautoboy9255
2 жыл бұрын
Maze Mimi nko Kenya mnaeza nichukua nkue kwa part 3 nkue mume ao mmeacha
@riverwoodbongomovies
2 жыл бұрын
Part 3 Coming soon
@shekhasaidkhalfan3717
2 жыл бұрын
Japokuwa si ukweli yatokeayo humo.
@teefdeekaren805
2 жыл бұрын
Mnajaribu kufudisha Nini hivi
@corneliojalua1812
2 жыл бұрын
Jamani hivi nikawaida kweli???
@masikamzee8068
2 жыл бұрын
Jamani mafunzo hayo
@lilianachieng2382
2 жыл бұрын
Kaka uyo baba uyo😂😂😂😂😂😂
@DorcasMwaka-qh2ok
5 ай бұрын
Sasa iyi filamu ina mafundisho Gani?
@ernestmbetu3227
2 жыл бұрын
Wonderful
@salomemakene4446
4 ай бұрын
Mv mapenzi😂😂😂
@macrinafuraha-zg3mi
9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ooh my gosh tin utanimaliza na kicheko😅😅
@Doriskapretty
5 ай бұрын
Sasa hawa vijana wawili lingo na martin wataitanaje jameni😂😂
@shekhasaidkhalfan3717
2 жыл бұрын
Ila hongereni kwa burudani👌👌👌👌👌📱📱📱📱📱📱
@johnmanyeso9262
Жыл бұрын
Really some women lucks displine,How can you fall in love with a young man whom you brought him up?This video shows how our generation lucks moral values,jamani watu muache ,and to the youths be careful with women of this kind
@elijahnkunja222
Жыл бұрын
Exactly
@alicenaiziru1344
Жыл бұрын
Madafu😅
@GLORYMATAU-bf9lj
5 ай бұрын
Ningekua mimi ningemuua ringo
@shekhasaidkhalfan3717
2 жыл бұрын
Jmn hz movie ni nzuri sbb yanaelimisha mambo tofauti tofauti lkn kwa upande mmoja lkn ni mbaya kwa upande wa pili sbb kwa yanayotokea ktk movie hii ni mabaya kwa wavulana wa zama hz ((kweli mtu anabeti na mama yk?))
@MarthaKabango-rh7lo
5 ай бұрын
Wananipa raha jmn
@mizasharif-tv7cl
Жыл бұрын
Ahahhhh uyo ndo ringo
@ErickLeinon-g1v
8 ай бұрын
Ni ukweli na yapo hayaa
@euniceanyangomakokha1590
2 жыл бұрын
Waaa
@fatmahmuhamad7301
2 жыл бұрын
Inaendelea ama
@GLORYMATAU-bf9lj
5 ай бұрын
Wakinamama angekua kama hawa 2cngkua naooooooo
@eshaswalehmohammed3924
2 жыл бұрын
Good movie
@fatumaissa6497
5 ай бұрын
Inguvu zurukundo
@issamfalingundi4440
2 жыл бұрын
Binti bikira
@FarhatMohd-dr9lu
Жыл бұрын
Muendelezo please 🥺
@wanguiregina7649
2 жыл бұрын
Nice
@DianaChepkorir-fj2ce
Жыл бұрын
Ringo siulianza na malizia😂😂😂
@hellennyaboke9032
2 жыл бұрын
Party 3 iko wapi tuone wazazi watasema nini
@mariamsaruti4717
2 жыл бұрын
Wapumbavu
@fatmahmuhamad7301
2 жыл бұрын
Nataka kuona reacting za ki na mama
@betrackjasson6698
2 жыл бұрын
Lingooooooooo
@Dil-nawadhFt
7 ай бұрын
Mh bafuni tena 😂😂
@annnasimiyu2113
2 жыл бұрын
Jesus!God of nazaret nayaona leo
@cucuturuganojoanwanjiku4227
2 жыл бұрын
Tongo ww unabusara nakupenda juu ww hukufanya hivio juu ya kupenda
@mukaipeter2186
2 жыл бұрын
Hogereni ❤️
@ruthqueen3810
2 жыл бұрын
Mambo yako jameni
@getrudasimon3111
Жыл бұрын
Unatisha❤
@rahabwangari4138
Жыл бұрын
Afathali Kenya huko 🤣🤣🏃🏃🏃
@FankKisyonge
8 ай бұрын
Kwa upumbavu huo natoa pole
@ConfusedCartoonCat-qd7pb
9 ай бұрын
Aixee😅
@sabihahamadi2287
2 жыл бұрын
Heeeee ayo maji ya kukoga au pilau tena
@erickaguo2556
Жыл бұрын
Hahhaha
@halimaomar3280
2 жыл бұрын
Huyu Agnes ataniua na kicheko jamani😃😃
@melisamelisa4219
2 жыл бұрын
Hii dunia sio yetu hhhheee
@hlimaa5182
2 жыл бұрын
Dunia simama nishuke🙋🙋🙋
@salamamuwawa6380
2 жыл бұрын
Sema mmechoka na nyinyi sasa mwatufunza nn
@salomemakene4446
4 ай бұрын
😂😂😂😂
@mariamujuma6141
Жыл бұрын
Yani hawa wanachambana au vp😄😄😄
@JohnKhonde-bp2pk
4 ай бұрын
Mmmmmh hii ni kali 😅😅😅
@makungumwita2728
2 жыл бұрын
Acheni ujinga hao ni mama zenu
@عايشهعبدالله-ف6ك
2 жыл бұрын
Siwatoto siwamama wote wapumbavu
@damarismasese9472
2 жыл бұрын
Part 3 IPO wapi
@aishalove4599
2 жыл бұрын
Chetani mubaya amewadanganya sana😡😡😡
@King-px7xu
2 жыл бұрын
Miku tutamiritu
@ertugrulbamsi1491
2 жыл бұрын
Hii ina itwa tugawane maumivu
@perisbeib2126
2 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄🙄Mnatufunza nini kwenye hii movie coz sielewi kitu wala hakuna masomo yyt hapa
Пікірлер: 142