Joel mm tatizo langu nataka vitabu shida yangu kubwa sana
@jeremiahkafyulilo3758
3 ай бұрын
Daa umebadirisha maisha yangu asanteeee
@merryhussen2775
4 жыл бұрын
kwakweli njinsi ya kusevu pesa nashidwa kabisa naeza tunza mwezi mmoja badae nazitumia unanisaidiaje
@aidankazoba6699
5 жыл бұрын
Nimefikisha miezi mitatu sasa tokea nimeanza committment kubwa sana maishani mwangu. Bila shaka kwa kipindi kilichobakia cha miezi mitatu naona ni kifupi zaidi maana hapa ndipo palipokuwa na changamoto sana.!
@user-ub8xt5dj8b
11 ай бұрын
Hongera kwa somo
@erickmsallenge3724
6 жыл бұрын
Thanx bro.....umenibadilisha sana kifikra....Mungu akubariki.
@joelnanauka
6 жыл бұрын
erick Msallenge nashukuru sana Eric tuendelee kujifunza
@amosbinmahona9947
6 жыл бұрын
Bro umenisaidia sana najiona mbali kutoka kuuza mahindi ya kuchoma mpaka kumili daladala hiace si mchezo maana kuna watu wanakatisha tamaa.
@drkatole8007
6 жыл бұрын
Asante sana kiongozi kwa masomo nimeyatumia nianza kuona mabadiliko mabo 10 malizia sehem ya pili asante sana.
@luciewajesus731
5 жыл бұрын
Nimeghairi sana mambo na majuto ikawa mjuku bali nashukuru nina mabadiliko, ninamatumai kufanya vema zaidi, zote uliyoyasema ni kweli mwalimu wangu 😍😍❤🙏
@ezekielmwasamboma9953
4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu muhimu sana kupitia mafundisho yako! Really I'm unique! Maoni ya watu hayapaswi Ku dictate my destiny! Barikiwa sana mtumishi wa Mungu!
@shd12m55
6 жыл бұрын
Toka ni subscribe channel yako hakyamungu naanza kubadilka kisaikolojia ndoto yangu ni kuwa mwanamuziki mkubwa sana ila toka nikatishwe tamaa na jamaa mmoja hv pale times fm niliachana kabisa na harakati hizo zilizo ktk moyo wangu ila najihisi kuzaliwa upya toka nianze kutazama video zako naomba ucjeniacha njia panda thanks bro
@erastobefoodproducts
5 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Kaka endelea na huduma hiyo nzuri,naendelea kujifunza mengi kupitia wewe kakika hicho ndo kipaji chako kakika,,usiwasikilize mockers people🙏
@anastaziarutatina8739
6 жыл бұрын
Ni jinsi gani mtu anaweza kuepuka kujutia makosa ya zaman.Asante sana kwa msomo yako aisee.
@EdwardSamson-uf1ee
4 ай бұрын
Nani anaiangalia hii tena leo 15/04/2024..?
@devothapeter7600
6 жыл бұрын
asante sana kaka Joel umenibadilisha kifikira mungu azidi kukubariki
@danlaizer9557
6 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka Joel mungu akupe hekima ya kufundisha watu bureee
@racheltanzania3198
5 жыл бұрын
Vitu unavyo ongea ndo vipo kweny maisha yang kabisa asante kwa kunipa muongozo.
@vilucks2832
6 жыл бұрын
SHUKRANI SANA KAKA me nahitaji vitabu chako nitapata vp
@mosesfrancis8495
Жыл бұрын
Hakika 👊
@fabianfedias86
2 жыл бұрын
Safi sana kaka umenisaidia sana
@elvisnzovu1869
5 жыл бұрын
Asante bro, kwa mafundisho yako
@castosanga7806
3 жыл бұрын
Daaa nimekuelwa
@loympangala4330
6 жыл бұрын
Mi pia nilipanga kuweka akiba but mpaka now cjafanikiwa
@joelnanauka
6 жыл бұрын
Loy Mpangala pole sana anza leo
@superiusmuhamba2043
5 жыл бұрын
Safi sana Joel kuna mambo mengi umenigusa. Napenda sana presentation zako kweli unajiandaa na zina mantiki. Mungu akubariki sana
@ellynkwama8603
6 жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri uliyoitoa.
@marthasaranga4725
6 жыл бұрын
Huu ugonjwa umenipotezea muda sana ''people's opinion!Hiki nilihitaji kujifunza tangu zamani!Haya mambo 10 ni kama umetumwa kwangu.Sijuti kufahamu huu uchochoro.
@iragibarumi8435
6 жыл бұрын
Thanks so much. Umenifanya. Nijitambue nzaidi
@ablysonco8850
5 жыл бұрын
Ghairisha...kughairisha...mambo ya mcng/ muhm.
@maryamkhatau4038
5 жыл бұрын
Umenena sahihi kaka Mimi nimedhulumiwa na ndugu zangu Wa damu lakini nimeogopa lawama kuwapeleka mahakamani japo najua kuwa nipo kwenye haki na nikifungua kesi nashinda lakini sijafanya maamuzi sahihi kwa kuogopa lawama
@user-uv8ci5lg9e
6 жыл бұрын
Asnt kk mungu akuzidishie love u
@gervassimbeye4697
5 жыл бұрын
Shukrani kwa ujumbe mzuri
@fhyubhhh2881
2 жыл бұрын
Tunahitaji vitabu vyako..
@cars0070
6 жыл бұрын
Bro ur nimekusomakiundani zaidi thenks
@kidemimsuya4198
4 жыл бұрын
Nimeelewa
@festofabian285
3 жыл бұрын
Uko vizuri
@mohammadmpinga7404
6 жыл бұрын
Kaka Kilasiku Najifunza Vitu Vipya Kutoka Kwako Nakushukuru Sana Kwa Kutupatia Elimu Bora..Natamani Kufahamu Tabia Zinazofanya Watu Kuwa Wavivu Na Njia Zinazoweza Kuzuia Uvivu..
@jastinimajaliwa
6 жыл бұрын
Nilidharauliwa sana nilipokuwa mdogo, ikapelekea namimi Kujidharau na kuona kuna vitu siwezi kufanya.Ahsante Kaka kwa hii video kwani imenisaidia sana.Mungu akubariki.
@mariammasatu4785
6 жыл бұрын
Thanx bro ubarikiwe sna
@omarramadhani767
6 жыл бұрын
dah bro uko sawa ú mad me cry tupatie contact yk mz
@khaleedndoni5707
4 жыл бұрын
Kaka ninakukubali sana kikubwa nachoweza kusema nakuombea ubarikiwe sana, naweza kusema mengi ila yasitoshe
@aishajeshemtengea9884
6 жыл бұрын
Thanx kaka nimejifunza
@yasintamwallongo6187
6 жыл бұрын
Thanks God bless you
@shabanhassanishabanhassani2913
Жыл бұрын
Joel ninakuelewa sana
@Unknow9473
6 жыл бұрын
mungu akubariki Sana kaka
@shabanhamis8465
6 жыл бұрын
nakubar sana
@reganleonard582
5 жыл бұрын
duh,somo limelielewa ,axante aisee
@molegend2672
6 жыл бұрын
Elimu ya bureeee
@liliancharles7111
3 жыл бұрын
Thx god bres u
@aronijuma1913
5 жыл бұрын
No word Salute you bro
@anerphylunduno3129
6 жыл бұрын
Bro nimekuelawa sanaaa
@joelnanauka
6 жыл бұрын
Anerphy Lunduno karibu sana
@sofiyachobo9450
4 жыл бұрын
Kala nimeusoma
@sheillahchisika8414
6 жыл бұрын
Barikiwa kaka kwa mafunzo mazuri
@joelnanauka
6 жыл бұрын
sheillah chisika Ameen ahsante sana
@hamisimgaya7889
6 жыл бұрын
Nakukubari xana kk na video zako zinanipa mafunzo ya kuniongoza ktk maisha
@simbaplatnumz8288
6 жыл бұрын
daaa sasa Mimi ndugu yangu nafanyaje maana kaz ninayo ifanya siipendi naitaji nibadilishe ila chanzo sina
@kassimmbalazi6167
5 жыл бұрын
Asante kaka
@enockkagomba1261
4 жыл бұрын
Thanks my mentor
@shiksshiks8494
6 жыл бұрын
Life changer!!😘😘shukraaan
@norbertsam5430
6 жыл бұрын
Superb bro!
@annymdg7647
6 жыл бұрын
It's tat i was the topic of the day hv been involved at least in every key bt I 'll change en change for the best.thankx a lot Mr Joel be blessed in everything ure doing ur life👏👏
@abdulmalick455
6 жыл бұрын
Naomba nambayako kk
@annymdg7647
6 жыл бұрын
Abdul Malick inbox plx kwa kutumia jina Shalo ondieki ndio uipate plx
@mkombelolepresedar7849
6 жыл бұрын
Sara Ondieki somo linatolewa Kwa kiswahili kigereza cha nn? acha utumwa ufanikiwe
@annymdg7647
6 жыл бұрын
Mkombelo Le Presedar mi ndio njielewa shida niko nayo kwa kiswahili na mi si mswahili shd ni gani ss??then I'm sorry kwa kukukosea km nimekukela kwa hy lugha
@towardlearningsuccess4465
6 жыл бұрын
Great talk brother.Keep going
@jaalabenterprises6744
3 жыл бұрын
For sure.
@fhyubhhh2881
2 жыл бұрын
Bless you always
@iddyhamidu8521
6 жыл бұрын
BrOo swala la kuakhirisha mambo naomba utengeneze vidio yake
@joelnanauka
6 жыл бұрын
Iddy Hamidu zipo zitafute
@youngsally3623
5 жыл бұрын
Mimi hua nachukua hatua ya Yale unayofundisha kaka lakini nakumbana vikwazo kuuguliwa najikuta natumia pesa nyingi sijui unanishaurije kaka
@youngsally3623
5 жыл бұрын
Namba yangu 0745106498
@yetenesnzogela561
6 жыл бұрын
you change my mind brother!! be blessed..
@barakakulinga6193
4 жыл бұрын
Me too
@iddosanga9749
6 жыл бұрын
nic wrk
@faudhiasalum7279
2 жыл бұрын
🔨🙏
@jofreymaliselin2070
6 жыл бұрын
nakubari
@fatmarashid2469
6 жыл бұрын
Am learning
@joelnanauka
6 жыл бұрын
Fatma Rashid thanks karibu sana
@simbaplatnumz8288
6 жыл бұрын
alafu doctor Mimi Nina tatzo LA kusaau saau .na kuwa MTU Wa mawazo sana unaweza nisadia
@yasiniselemani2412
6 жыл бұрын
Simba Platnumz reduce and stop puchu
@fofomohammed6253
6 жыл бұрын
Safi sana
@hassaniyassin1686
6 жыл бұрын
Mimi nina tatizo kubwa la kufanya maamuzi dokta katika aspect zote za maisha na zaid huwa nahofia negative consequences za maamuzi yangu...je, ni namna gan naweza kujinasua kwenye tatizo hili???
@salamahamadi4123
6 жыл бұрын
Nahitaji no yko mm natak kuanz kufuguwa biashar ilaa sijui nibiashar gani inofaida kidg na mtaj.mdg
@joelnanauka
6 жыл бұрын
Salama Hamadi 0655720197
@salamahamadi4123
6 жыл бұрын
Joel Nanauka sante
@sayaomar4299
6 жыл бұрын
Joel Nanauka unapatikana watsup na hii namba.....niko kenya nafata sana mafunzo yako
@jacksonmwanyika5697
6 жыл бұрын
Joel nahitaji uwe mentor wangu nafanyaje ili kuwa na mawasiliano na wewe Mkuu?
@joelnanauka
6 жыл бұрын
JACKSON MWANYIKA tuwasiliane 0655720197
@jacksonmwanyika5697
6 жыл бұрын
okkkk ahsante
@yusraali5981
5 жыл бұрын
@@joelnanauka niruhusu kuchukua number yako
@deenassormoretv4885
5 жыл бұрын
thanks
@michaelkessy5740
6 жыл бұрын
Umeishia jambo la 5 ktk sehemu ya kwanza,nitapataje ulivyoendelea sehemu ya pili
@joelnanauka
6 жыл бұрын
michael kessy itawekwa kesho
@michaelkessy5740
6 жыл бұрын
Joel Nanauka nimeiyona safi
@joseefaidabutu6467
5 жыл бұрын
Asante
@kelvinbabwetega2457
5 жыл бұрын
Vitabu vyako vinapatikana wapi ?
@ndemboabdul7849
6 жыл бұрын
Ok
@brhchannel6618
6 жыл бұрын
Blessed Kaka.
@joelnanauka
6 жыл бұрын
Ameen
@ellynkwama8603
6 жыл бұрын
Umeishia kwenye point ya 5,zingine tunazipataje?
@joelnanauka
6 жыл бұрын
Elly Nkwama angalia part 2 ipo
@teddybihemo9642
6 жыл бұрын
dah kaka ki ukweli unaniokoa cycologicaly
@shubackmashinga3535
6 жыл бұрын
Tupe sehem ya pili
@joelnanauka
6 жыл бұрын
shuback mashinga itakuja kesho
@shubackmashinga3535
6 жыл бұрын
Asante Sana bro Joel
@shubackmashinga3535
6 жыл бұрын
Heli ya kuzaliwa lkn....
@nancypretty7576
6 жыл бұрын
Joel Nanauka hi kindly reply me check your what's app pls
@mollymartine8350
5 жыл бұрын
Good
@fabianmongela8653
5 жыл бұрын
Asnte saba broz,but nahitaji kuwasiliana na wewe!
@abuuharuna4278
6 жыл бұрын
Joel unauwezo mzuli wa kuchambua mambo Tanzania ya viwanda inahitaji walim kama wewe
@isackibrahim2000
5 жыл бұрын
Shukran sana kaka na mungu akuzidishie zaidi ila kaka samahan naomba uniunganishe kwenye group lako la whattsap na nitakushukr sana namba yang 0763078717
@norfenvgeraldo9493
3 жыл бұрын
Number ya whatsapp
@kassimmbalazi6167
5 жыл бұрын
Vitabu vyako navipataj
@bitemwita6809
5 жыл бұрын
kaka joel naomba uwe mentor wangu nahitaji kuwasiliana na wewe namba yangu ya simu ni 0763 207124
@yolamufrank3923
5 жыл бұрын
bro Tafadhali nakupatajee yaani naamini kuna sababu ya Mimi kusubcribe hii channel unanigusa mnooo. 0755630500 namba yangu
@bitemwita6809
5 жыл бұрын
kaka joel naomba uwe mentor wangu nahitaji kuwasiliana na wewe namba yangu ya simu ni 0763 207124
Пікірлер: 119