MABRADHAZ BONGO FLAVA HONOURS YOU DESERVE IT mna UNYAMA MWINGI madhaFanta**
@VictorMpoloto-yp9ky
8 ай бұрын
Watu wabaya sana
@monicageorge2181
Жыл бұрын
Daaaah!!Allah awajaalie sana mandojo na domokaya.Blessed.
@husseinaboukombo4013
9 ай бұрын
nakubali....sana jamaaa nawatamani san
@michaelchami6775
9 ай бұрын
mziki mzuri ni mziki mzuri tu
@nicholaskobelo
11 ай бұрын
Hawa jamaaa wako na talent sana pia huwa napenda sana tone yao so unique
@ezekielmichael9431
9 ай бұрын
Wanamziki
@farajibuteta6258
Жыл бұрын
Nalia na mola kumbe wanga ndio wanamix
@martinemasunga5802
11 ай бұрын
hawa jamaaa ni level nyingine kabisaaaa daah mimekumbuka mbali sana aiseee!!
@expert5898
Жыл бұрын
Hawa jamaa ni kiboko saaana
@user-gv6sj9tz7w
9 ай бұрын
Inaweza kuisha miaka buku najelo huu mziki nikama wajana aisee
@raphaelshayo2986
9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥💫
@samsonmbangula_17
Жыл бұрын
Legendary 👊🏿👊🏿👊🏿
@bokabecca5473
2 жыл бұрын
wanamuziki
@paulomwabusila1281
11 ай бұрын
Zamani watu waliimba kwa sababu wanavipaji Leo hii hamna kitu
@abdul-majidkhalfan210
Жыл бұрын
Dah way back Niaje ni goma langu
@vaalonedearmy939
Жыл бұрын
No beila any more truth coming now 🧐💪
@theophilwisdom2308
Жыл бұрын
Way back flani kama ngoma mpya kwa watoto wa juzi
@Empdigitaltanzania
5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@jonathanmundeda9714
Жыл бұрын
Za nzuko wenyu walome elo mlimota nawakabar sana wanyandugu
@humphreymasoud1725
9 ай бұрын
so pure! so talented.. uwezo wao haujaoungua hata nukta pamoja na kwamba nu miaka mingi imepita tangu wafanye hizi records...af washkaji hawazeeki hawa.. au ni mimi tu naona..😂😂
@ramadhaniharuna5441
4 ай бұрын
Hawa balaa
@jekehussein200
4 ай бұрын
Good music
@kaniiguana9728
Жыл бұрын
noma sana sana oiii
@expert5898
Жыл бұрын
Hawa watu wanajua sana kuimba live
@sendisteve7981
4 ай бұрын
Dunia hii wakati mwingine iko very unfair.Hawa jamaa mpaka kesho wanatisha lakini wanaovuma mmmhhh
Mi nimekumbuka mbali mpaka machozi yamenitoka😭😭😭😭😭😭
@user-nm8ym6iq7n
Ай бұрын
Wanaojua mziki waulize eti ukiwa unaimba au unachana ukiwa umekaa inatakiwa uwe na ujazo wa pumzi kiasi gani?? Kwanza kuchana ukiwa umekaa nao ni uwezo mwingine kwenye swala la pumzi
Пікірлер: 40