Mimi kiukweli nakukubali Waziri Wa Katiba na Sheria..Ni baba,Mwalimu,Unayemheshimu Mungu.Mungu akubariki na uenende hivyo hivyo bila kuburuzwa na siasa
@janewacera7812
7 жыл бұрын
Tumesikia
@kainlangson7482
5 жыл бұрын
kabudi alipaswa baada ya magufuli afuate yeye
@EcoEssence_wellness
7 жыл бұрын
Ok
@vevo3130
6 жыл бұрын
mi sielewi wanacheka cheka nini hapo tunadiscuss very crucial issue wabunge wanachekacheka, wanaharakati watanielewa naongelea nini!
@kebo2155
7 жыл бұрын
class.... tumekuelewa. ...
@mamahustru
7 жыл бұрын
Waziri kasema kweli. Wakurya talanta yao ukitoa hata huo ukeketaji, ni kipigo kwa wanawake. Ndo ushangae mbona hawaendi kupigana ndondi za kulipwa kama wao mahodari kiasi hicho? Kuzichapa na wanaume wenzao hawawezi, lakini kuchapa wanawake ni mahodari.
@samwelmanjale834
3 жыл бұрын
Noma
@mamahustru
7 жыл бұрын
Jamani Waitara kalewa hapo?
@mamahustru
7 жыл бұрын
Umeona eeh. Yaani nikutudharau wananchi tuliomtuma huko, kuingia kazini na uso mzito kama kabeba kifusi.
Пікірлер: 11