Hiii ata mimi siamini kama ni kwelii watu wana roho mimi mbona huo mda siwezi kua nao wa kumfata mtu hivi nakudhalilika kote uko ila wanawake hapana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@SalmaWangari
11 күн бұрын
Napenda sana KAZI nzuri ❤kutoka kenya Nakuru pamojaa 🎉
@Rehmathathman23
2 ай бұрын
Aniii nimecheka hapo mwishoni eti "Marry hatujui wootee"😂😁🤣🤣🙌
@EsterMjanja
Ай бұрын
😂😂😂
@AkissaBecky
18 күн бұрын
😂😂😂😂
@elibarikimwanyama7246
2 ай бұрын
Daah imeniuma sana yan wanawake ndo mana mnauwawa na kutupwa kwenye vipreft
@user-pp9mp1pz9f
2 ай бұрын
Maskin huyo mkaka namuonea huruma ni mpole sana😢wanawake wengine bhna dah,yaan c wengine tunavyo teseka na mapenz mtu anapta mwanaume bdo anahangaika tu,kwel kweny miti hkuna wajenz lkn atakuja kujuta na huyo marasta.
@user-pz5xd2fc5d
2 ай бұрын
Hii Dunia bilaa sisi hawezi kunoga na sio salamaaaa🎶sisi sasa😂😂😂😂
@iddyjr6397
5 күн бұрын
Hii mbona Kam bongo movie sio kweli hii
@Liljjr
Күн бұрын
Hii ni staged kinyama
@SoohiedavidMasika
2 ай бұрын
Njoo kwangu kaka mi yatima ya mapenz😂😂😂
@SaudSaif-bj4hk
2 ай бұрын
Mafalla😂
@BakariMapua-t9u
Ай бұрын
Unapatkana wap❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅
@enockmaige8936
2 ай бұрын
Mary,Maria😂😂 duuh hata kwenye Jua Kali Kuna Maria huko anasumbua
@mariachifupa4654
2 ай бұрын
Au sioo 😢
@user-fc9cx8qg4d
Ай бұрын
@@mariachifupa4654tulia 😂😂😂
@samchris1914
8 күн бұрын
Daah huyo Chalii😂😂 demu siku zote wanapenda ma Bad Boi ovaaah
@user-lx8nl8hh3f
2 ай бұрын
Daah! Pole kaka angu maskini anaupendo mwenyewe
@RaymonDbertha
2 ай бұрын
Huyu mdada namwonea huruma sana, kitakacho mkuta hata amin kwenye maisha yake
@3leggedbird222
Ай бұрын
Mdada mbibi😊
@garigajoelgesegeti6493
2 ай бұрын
Kijana wa manchester united tafuta pesa hao wapo wengi wamejaa wengine bado hawajazaliwa . najua kaumia sana. MAPENZI WEWE😊😊😊😊
@user-wp3hw5hd2e
2 ай бұрын
Mwana man u anatia huruma na kasaut kake jaman ila ni handsome
@diva_20162
2 ай бұрын
Sema huyo kaka wa Man U mstaarabu sana,,, ila huyo mwanamke litamkuta jambo aseee
@hashimrweabula9
2 ай бұрын
Baadh ya Wadada wasengee sana duuh noma sanaaa
@franciscakija1702
2 ай бұрын
Hii inaitwa tatu mzukaaa 🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️ shkamoni wadada
@eggysulle7988
2 ай бұрын
😂😂😂😂
@Aisha-qg5mj
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kaacha mume mzurii rasita iposiku nawe utageukiwa tu
@mfalmenajjash2128
Ай бұрын
Kumamaake sjawai kuona hii 😂😂😂😂
@hajjkiua
20 күн бұрын
Ila bodaboda hatar😮😮
@alimaftah7640
19 күн бұрын
Et meri hatujui wote😂😂😂😂😂😂
@PendoDavid-yl7pr
2 ай бұрын
Heri mchawi kuliko BODABODA mmbeya🤣
@youdya
2 ай бұрын
😂😂
@user-wr6uz1rx1o
15 күн бұрын
Nyoooo😂😂😂😂
@AsenathBeganio-oc8tf
2 ай бұрын
Hiv nikweli jaman au move na kama kweli njoooo unifanye challenge na mimi mpenz wangu jaman
@juliethsanga8730
Ай бұрын
Haya ni maigizo jamani mi Ndo merry. Inatosha mmenitukana sana mimi siko hivyo ila nilikuwa kazini. Mi nimwigizaji jamani Vp naweza kukaza. Sisi ote hapo ni waigizaji
@hurumaanyisile1918
2 ай бұрын
Marry weeeeee😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂 nmecheka
@rahymaaa4357
2 ай бұрын
Dah wallah eti tokeni nyumban kwangu na maji kamwangiwa aiseeeh 😢nimeumia saaana alafu kijana msitaarabu tu vizuri jmn maskini
@user-wh6bs7cm5p
2 ай бұрын
Najiuliza tu huyo bodaboda kamtafuta Mr UK sangap na mwenye mpenzi sangap had waende kufumania
@user-cv4jb1bm6i
2 ай бұрын
Sikuhizi wameshakuwa wadananda ye ns kiredio
@user-wh6bs7cm5p
2 ай бұрын
Kwakwel ya Leo cjailewa but bando langu huwa linaishiwa kwao so wajitahid kufanya vzur
@avilamatsuva3358
2 ай бұрын
Eti kumsindikiza kwenye chocho zote hizo apo tumepigwa 😂😂
@AgnesDavid-et3zn
2 ай бұрын
Namba si zipo dk zako tu unampata
@user-pk4ov4cy5c
2 ай бұрын
hapo mmetudanganya jamani mr uky
@Edithanicrausi
10 күн бұрын
Njoo huku uwe mpenzi wangu jaman😂😂😂😂
@FatmahAnwar-fp9wq
2 ай бұрын
Sawasawa nyinyi wanaume si pia nihivohivo mukipta mschana mpya wazamani wasahau gud work mery🥳
@alfredngido9807
2 ай бұрын
hiii Mr uky umetupigaaaaaa mbaya acheni kutengeneza story
@user-wd6wh2cl8n
2 ай бұрын
Jamani mapenzi yaacheni2 ila mie nitabaki nitabaki na mapenzi ya mwenyezi Mungu maana mapenzi ya wanadamu nfo kama hayo mnayoona leo GALINDE kesho YUSUPHU😅
@saidshaban8110
Ай бұрын
Wanawake ni noma Sana kiukweli inauma Sana duhhh
@innocentcareen818
2 ай бұрын
Merry Malaya khaa😅
@ElizafidelisEliza
2 ай бұрын
Jmn nmecheka kaka mbav zinauma mr uky et Mary hatujui wote😂😂😂😂
@immaculathaemmanuel8240
2 ай бұрын
Hunifikii mimi nilivyocheka😂😂😂
@user-kc8sf6vg8k
Ай бұрын
Dem mwenyewe sasa 😂
@majaliwamussa9268
2 ай бұрын
Zinaa imekithiri hadi imekuwa inatangazwa kwa nguvu zote, hakuna aibu siku hizi
Пікірлер: 507