Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 3 Julai, 2017 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza.
- 7 жыл бұрын
MAPOKEZI YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIWASILI MWANZA - 03 JULY 2017
- Рет қаралды 121,843
Пікірлер: 25