Usanii siku hizi haupo ila Shamba la bwana kheri na mbuzi wa bwana kheri SS acha maisha Mwengine yaendelee
@yunusimchala6569
10 күн бұрын
HANS kuna kitu hakiko sawaaa hapo km angekamilisha usajili Simba asingerudi coastal kuna sehemu hapakukaaa sawa na Sasa mchezaji yupo maxoezini cost
@salamSalehhhhh
10 күн бұрын
Hans anaongea vzr sana
@OS-pf6op
10 күн бұрын
Lazima Coast wawe wamesain pia, wao hawajasain. Kolo kamsainisha chini chini
@user-rf9vn7lz1n
10 күн бұрын
Huu ndiy mpir wa tanzania yaan haw viongoz wa mpir wa tanzania kam vil wanavut bang daah
@mwanangusana
8 күн бұрын
😂😂😂 Geff anajibagalaguaaa .....ila coasta na madunduka ni kesi itakayoamuliwa na bwana Heri ...maaana shamba ni la bwana heri , ngo'mbe wa bwana heri na mahindi pia ya bwana Heri ......kwaiyo madunduka tumieni ile kanuni ya Ubuntu botho kuweka sawa iyo ishuu 😂😂😂😂
@batashqiraa9936
10 күн бұрын
Ukweli wote utajulikana tarehe ya mwisho ya usajili
Jef.huwa hueleweki mkataba unavunjwa kama vipengele havijakamilishwa shida yako jambo la simba hata wakosee ww kwako ni sahihi tu
@user-ib7kx9dc5m
9 күн бұрын
Nyie mna piga tu kelele ita julikana mna tichosha na mikilele yenu
@selemanikazembe9134
10 күн бұрын
Geoff Lea usiweke virusi vya efm hapo crown, kusaini simba ni mchezaji mwenyewe,je ameshauzwa?mchezaji ana release letter?some one some where kuna tatizo kwenye hii deal ambayo ni lazima ufumbuzi upatikane,Lawi yuko kambini Coastal, je hajui kama amesaini simba?
@SalimAbdallah-mi1wc
9 күн бұрын
Twaomba picha alivo Sain wacheni umbea kijana Yuko vijana vya tff Tanga Na timu yake ya coastal Union pole yenu😂
@user-ox4fv4cf5l
10 күн бұрын
MIKIA FC WAHUNI TU,WANAJIFANYA KULIPA MISHAARA MIKUBWA KUMBE WAHUNI TU..MTOTO KIWANGO KIKUBWA VILE MNAMLIPA MIL.4??
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
10 күн бұрын
Kosto acheni tamaa
@mwanangusana
8 күн бұрын
😂😂😂 Nyie si ndo mlisema mlimteka mchezaji airport ?? Mbona kama mnateswa na issue ndogo kama hiyo ..... Au hamana umafia Tena ??
Пікірлер: 20