Mshikaji anaropokaa sanaa masood hanagaa tabu na mtu kabisaa sio mtu wa skendoo sijui kimemtumaa nn huyoo mwijaku kumzalilishaa jmaaa
@sadamyakubu1006
14 күн бұрын
Kani kasemaje
@madaiincubationcenter4947
14 күн бұрын
@@sadamyakubu1006 Tumia mb kujua mambo na fuatailia matukio maana inaonekana hujui kabisa kama Mwijaku alimkshfu MAsudi Kipanya
@eliaskasambala3408
16 күн бұрын
Jamaa kafanana na Prof lipumba yule wa CUF
@GibsonNtamamilo
17 күн бұрын
Tunasubiri kwa hamu hizo fedha tuongeze mtaji. Mdomo unatengeneza pesa😂😂😂
@YusufuAliy-cd6dc
16 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@wallaceexpert4081
16 күн бұрын
Mdomo uliponza kichwa😂
@user-pt7lc4xu3d
16 күн бұрын
Kweli masudi nimekubali sana mwijaku anaongea sana
@jeremiahmsemwa8323
16 күн бұрын
😂😂😂😂
@hadijauledi6995
16 күн бұрын
Huyu mwijaku mtu mzima hovyo mdomo utamponza kila siku yeye tu kuomba radhi 😂😂😂😂😂
@WahidaHilaly
15 күн бұрын
Mshenzi mwijako Ameshazoea kuwatukana Kina mond Sasa amekalia kisu cha moto
@madaiincubationcenter4947
14 күн бұрын
@@WahidaHilaly Mond pia huwa namshangaa pamoja na kutukanwa na kudhalilishwa bado anampokea mara ingine huyu cha domo
@kristofuraha3369
16 күн бұрын
Mwijaku amezidi lopo lopo sana, mi nashangaa hata Diamond amekua akimchukulia powa tu japo anamkashifu sana kwa vitu ambavyo haina ushahidi!
@liberatusjackson5045
16 күн бұрын
Mshamba 😂😂😂wewe
@KassimAlly-xp4dz
16 күн бұрын
Daimond amefikaje hapa
@davidsonstevenson2653
13 күн бұрын
Mondi alitaka kumshitaki kipindi kile anasema yule mtoto wa tanasha niwake sababu wamefanana sema alimuomba radhi akaachana na kesi bt jamaa amekua mtu wa kutopoka sana
Nipo tofaut sana kifup mwijaku aliongea kwa uchungu na hasira kwa sababu unajua ukishajua nini unafanya kwenye maisha halafu mtu akaja kukupangia au kuzungumza shit lazma upanic ndio kwanza kaz mpya inasiku mtu anatokea na kuanza kuongea utumbo wangap wameshawah kuhama media wakubwa kuliko mwijaku asemwe ivyo? Aisee ukitaka ugombane na mnafiki pata mafanikio 😂
@adrianomaulaga1599
11 күн бұрын
Shida ni kwamba kipanya hakutaja jina la mwijaku kwenye maelezo yake japo kwa akili za kawaida utasema ni mwijaku ndio anazungumziwa lakini hakutajwa
@khalsasalim7930
17 күн бұрын
Hata akiuza hili gorofa lake halifiki b5, labda akamuombe mo zile b 20 ampe 5😂😂😂😂
@GiftAbduly
14 күн бұрын
Alimdhalilisha menina sasa mungu anaanzakujib 😅 hakikisheni mmemnyooshaa haswAaaaaa
@sarahkinyashi6213
14 күн бұрын
Inackitisha sna 🙏🙏🙏🙏kila mzua janga hula na wakwao cjui ndio inavyokuwagaaa🙏🙏🙏
@sambulugu9988
17 күн бұрын
Kipanya bhana! Yeye kila leo unazodoa na kudhalili watu wengi pamoja na wanasiasa! Wahenga wanasema mkuki kwa nguruwe! Muda mwingine unasamehe maisha yanaenda! Ndo maana namuonaga siku zote yeye ni mtu wa kujikweza na kujitoa anajua sana vitu! Yote kwa yoye auamzi ni wake! Ila pia ni nafasi ya Mwijaku kujifunza kuwa na nidhani na kiasi kwenye maneno yake!
@gabapentin8070
16 күн бұрын
Tatizo sio kipanya tatizo ni taasisi zilizowekeza kwa kipanya izo shutuma zina effect kwa wawekezaji jamaa atakua hana noma ila investors wanatakaaisafishe taasisi
@liberatusjackson5045
16 күн бұрын
Huyo masudiiii😂😂😂 anauchumiiii huo au na ww mzeee bagiiii zauzeeniiii😂😂😂😂😂 mwijaku chawa wa mama samia utamfanya nn kikubwa huyo aache kuuza. Ubhufuma😂😂😂😂😂
@judyngowi391
15 күн бұрын
Kwahiyo huyo mamako ndio anamtuma atukane watu
@liberatusjackson5045
15 күн бұрын
@@judyngowi391 hupendiii ukweli
@judyngowi391
15 күн бұрын
Wewe unajua ukweli upi?
@connan9923
14 күн бұрын
Kama alivyo sema wakili Mahalani wao itabidi waonyeshe ushahidi wa madhara ambayo masoud ameyapata kutokana na makampuni na influence ambayo alikuwa nayo kupotea Huwezi jua labda alikuwa na mkataba na makampuni kwa zaidi ya miaka kumi,kama hayo makampuni yamesitisha mkataba kwa hiyo matarajio yake ya miaka kumi inakuwa imepotea kama jumla inafika hiyo B. 5 Mahalama itafahakishwa kabla ya kutoa hukumu
@afreytonemajidi6909
16 күн бұрын
Tunakuona una refresh mind kelele nyingi
@user-lt1bi5nr1x
11 күн бұрын
Samia alisemaga wanaume nchi hii ni wambea kuliko hata wanaume sisi sasa naanza kuelewa
@michelinemapendo6652
13 күн бұрын
WOTE WANAJAAAAAA😂😂😂😂
@shaddybmc8342
9 күн бұрын
BILION 5.3 😂
@jumabuckary7698
15 күн бұрын
Masoud kipanya is legend hapa tanzania Hana propaganda mbaya mitandaoni wewe mwaijaku wa juzi tuu mpyaa hapa mjini domo lako limekuponza
@Shadia544
14 күн бұрын
Kwa nini asifungwe ata miaka miwili tuuu maana anajiamini sana kutukana watu sasa kayatimba kwa masudy afunguwe tuu✌️
@user-ui1qs9yl1n
16 күн бұрын
ASIYEFUNZWA NA MAMAE HUFUNZWA NA ULIMWENGU MY POINT
@franckmaya4068
14 күн бұрын
Kipanya Kaza Kamba Hakuna kuregeza Kaka mwijak awe mfano kwa wengne waropokaj🤣🤣🤣
@upendoeliya9329
15 күн бұрын
Huyu ni Musiba namba 2. Uchawa una hasara kubwa na maadui wengi
@OswardAbdalla
16 күн бұрын
Yani huyu chawa mwijaku domo lake utazani alizaliwa njiti siku nikisikia kapelekwa jera sikuhiyi na nitajikamatisha na bange nimfaate keko akivuliwa kusachiwa nione.hipsi lake
@RamadhanAlly-qg9hq
9 күн бұрын
Uyuu mwijaku apigwee faini tuu
@twahaanyoni9120
13 күн бұрын
Hili liwe fundisho kwa machawa wote wamezidi kujitoa ufaham na kuzalilisha watu bora mupeleke uko mahakamani tuu akalipe fine 😂😂😂😂
@user-gy5en6cy8o
17 күн бұрын
Mwijaku ana nguvu sana serekal ya tanzania na sijui hii nguvu katoa wapi yaan anaweza fanya kitu yyte na serekal inamuangalia dah ni only tanznian hii mambo 😢😢😢😢😢
@josephmabula9658
17 күн бұрын
Angalia ile ishu ya menina aisee
@judyngowi391
15 күн бұрын
Ni mbaya sana lakini, haitakiwi kuwa hivi
@AishaHaji-jn7sg
15 күн бұрын
Yaan mwijaku mpaka namuonea huruma issue kama iko serious sana Mazoea yawe na mipaka jamani
@ms123ru
17 күн бұрын
😂😂😂😂😂 jakuu boy
@user-md7sd3hk6l
9 күн бұрын
anayo pesa uyo sikila siku ana tamba yeye bingwa yeye mjanja kaka kipanya chukua pesa yako mshamba sana uyo
@Baira240
16 күн бұрын
Watu msitafte kutajirikia kwa watu sasa hiyo b 5 siniutajiri kabisa
@Philosophy219
15 күн бұрын
Sheria Haina huruma na mtu ndugu, ukikosea watu wanakuumiza tu
@KKRR-ze8qu
16 күн бұрын
Iyo ninja nawivu 😂😂
@wisperfect5320
15 күн бұрын
Kwa hiyo akiomba msamaha na sisi tuamini kuwa siyo kweli😂😂eti jmn
@peninashungu6633
17 күн бұрын
Mnaleta ukoron mnatukana watu na kuwadhalilisha tu mna namba za rais, mwijaku uwe na mipaka ya kutafuta kwako pesa sio lazima udhalilishe watu ili upate ubalozi
@kilogreekachananawatuwasio4054
11 күн бұрын
KUTAKA KUWAFULAISHA WATU KWA MDOMO MLEFU SASA KIMEMVUDIA😂😂😂
@GabrielSky64
16 күн бұрын
Faida za mdomo. 😂😂
@madaiincubationcenter4947
14 күн бұрын
Anguko la Mwijaku ndio linaweza likaanzia hapa kiuchumi maana yale makampuni yanayompa udhamini kutangaza bidhaa zao hazitafanya hivyo tena kwa vile watu watazipuuzia bidhaa zao kwa vile huyu jamaa ameshapata kashafa ataachwa akae tu Crown
@xxxl-jf2ji
17 күн бұрын
Safi sanaa huyu mwijaku kiherehere kitamuisha kumanina zake anadhalilisha sanaaa watu
@frankmwinuka5941
13 күн бұрын
Hahaha aha mnataka mwijaku aombe radh ili mmpafue vizur hiyo hela masudi anayo au keshaishikaga au ndo ile unaomba kitu ambacho hunaa
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
14 күн бұрын
Yani mwijaku anavyo tikiza nchi utazani yeye ni mungu hivi kwanini lakini? Yani natamani hata sikumoja nisikie amekufa jinsi ninavyo nchukia
@FredrickMatiku-xf2uk
16 күн бұрын
Jamani bilioni 5 mwijaku si watakichukua kile kigorofa chake Cha mkopo watachukua magari yake hadi mke wake na mtoto hadi boxer zake na bado watamdai mpaka roho yake afe kabisa ila kamchafua sana masudi Ile statement madawa ya kulevya kaaribu kizazi wakina Chid benz basi tena pauline zongo hamorapa
@iddikibwana9185
16 күн бұрын
Mdomo umeponza kichwa😂😂😂
@salumnassornassor9733
9 күн бұрын
Chukua b 5 izo halafu uzigawe kwa mayatima umtie adabu kama mau zinde anavozalilisha wanaume
@Bumutz-po2df
16 күн бұрын
Ameyakanyaga 😂
@kagombaEnok
17 күн бұрын
Safi sana Mwijaku Ana kiherehere kingi
@elidiustudoy2640
16 күн бұрын
Naona uchawa nikaz Yan Unachafua uku Una sifia uku 😅😅😅
@user-xy6ed7ve6r
17 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Yani mmekuwa Mahakama kwa kutoa adhabu ya 5B😂😂😂😂😂
@alibachirofficial3939
16 күн бұрын
Umeona siyo? 5B 😂😂😂😂
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
16 күн бұрын
Nashangaa
@judyngowi391
15 күн бұрын
Semeni nyie basi, mlitaka aloe ngapi
@edmundnkarangu134
16 күн бұрын
Hata kama Sheria hatuzijui hapo hakuna matusi ya kulipw b5 wametukanw Marais wa nchi sembuse huyu Masoud yeye kama nani yaani na Nyie mawakili mustake kukuza mambo ilimradi tu mpige hela hivyo ni vijembe tu vya mtandaoni kama Masoud alivyotum kwa Mwijaku na yeye akarudish kwahiyo hii ni battle ambayo kimsingi ilitakiwa iishe kimtandao tu basi(Msiba Vs Membe Kiko wapi b6😂😂😂)
@regpane
16 күн бұрын
Unachekesha kweli . . . Subiri uone ndo utajua ni battle ya mtandaoni au ya mahakamani. Kama unadhani hii ni sawa na kesi ya Membe, subiri uone
@starjay3052
16 күн бұрын
unajua sheria au unaropoka
@Oldskulgemini9991
16 күн бұрын
Hivi vitu sio vya mitandaoni hii ni vita ya Sheria, Hivi vitu viache kama vilivyo mzaa mzaa mtu anaenda jela achana na mambo ya Sheria mzee
@fredducaunt
16 күн бұрын
Mjinga kweli wewe Raisi sio Mungu wala nn .Ni mtu sawa na omba omba wa mwisho. Kama hakufungua kesi ni yeye kaamua
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
16 күн бұрын
kwani mahakama wametoa hukumu ya billion 5??😂😂😂au maneno ya huyo wakili njaa
@ChelaChela-i7w
3 күн бұрын
Oyeeeee😢
@williamlukoo4640
10 күн бұрын
DEFAMATION CASE mnyoosheni Mwijaku
@abdulyibrahim2125
15 күн бұрын
Tusingie san nchi za wenzetu kwa hili maan nchi za wenzetu kuna sheria nyingi san lakn hatujawafiki hata kidog,aombe tu msamaha maan watu wengi na viongoz wanandikiwa vibaya kweny mitandao
@homeofvideos8893
16 күн бұрын
😂😂 watamfira
@Philosophy219
15 күн бұрын
Kitu nimegundu wa tanzania wengi hatujui sheria. ila kiukweli ukizingua unaumizwa na sheria vibaya mno, kuna watu wameingia kwenye umasiki kwasababu ya kuvunja sheria
@aidankakulu398
16 күн бұрын
Huo mdomo unavyoiongea bilion tano sasa😂😂😂😂 utazani unaoiongea unayo mijitu mingine bwanaa hata kama ni umesoma sheria unaonekana mtu hovyooo
@josephlorri431
16 күн бұрын
We team mwijaku mtakoma na midomo yenu michafu... uwongo na kudhalilisha hadhi ya mtu kwa jamii ni kosa..
@aidankakulu398
16 күн бұрын
@@josephlorri431 peleka tako zako mbele hukooo
@josephlorri431
16 күн бұрын
@@aidankakulu398 wewe shoga? Hatutumii kisamvu
@aidankakulu398
15 күн бұрын
@josephlorri431 shoga ni wewe unaeonea tamaa maendeleo ya watu mbwa masikini mkubwa wewe utakufa na ujinga wako wa akili Fala wa maisha wewe
@wazirihamisi6484
10 күн бұрын
Bora afungwe kwakuwa ana sifa sana na ana ropoka sana jamaa mdomo wake auna chupi anakera sana
@SHERANasibu
14 күн бұрын
Mashart tyuu kuogaa aaaaaah
@faudhiasalum7279
16 күн бұрын
Kafanya nini jmn eeh kuna sisi😢😢😢tupo buy na kusaka 😢fulusi
@FatumaShabani-mp9vt
15 күн бұрын
Yani ata sielew 😢😢😢
@rhamlaally6930
16 күн бұрын
Kwani alisemaje
@matukutajuma156
16 күн бұрын
HESHMA IKIVUNJWA KWA GHAMA YEYOTE HATA KWA KUOMBA RADHI HAIRUDI! ILI KUSAFISWA MUATHIRIKA BASI NI MAHAKAMA PEKEE! MASOUD UTAJIRI WAKE SIYO PESA AMEWEKEZA KWENYE HESHMA! MWIJAKU ANALIJUWA! KAKUSUDIA KUCHAFUWA VIBAYA!! BORA ANGEMWAGIA MAVI MASOUD ANGEJI TOALISHA!!
@madidolla
9 күн бұрын
Ile ghorofa ni ya B 1.3 sasa kwa fine ya B 5 ni jela au kijijini kwao kazula mimba
@user-od8tg1yt3g
16 күн бұрын
mwijaku safi sana funguka
@Oldskulgemini9991
16 күн бұрын
Unamtia ujinga mwenzako jela siku hizi zipo nje nje haya😂
@judyngowi391
15 күн бұрын
Atoe ushahidi sasa, mbuzi nyie
@Shuu.A
16 күн бұрын
Hivo mnavozitaja bilion 5 nyie mnazo mnaweza kuzitoa njaa tu zinawasumbua nyote na mwijaku wenu
@ndorobocarworks-dx4pf
12 күн бұрын
Akafungwe jela mbona babalevo alitumikia maisha ya ngome
@patriciacarlo7236
16 күн бұрын
Mwijaku kakosea, lakini hivi vina njaa
@farajaphilipo8844
14 күн бұрын
Mbona kipanya anaga shida jaman tatizo mwijaku anaropokaropoka kama amekunywa maji ya chooni
@bm4tv602
16 күн бұрын
Acheni tamaa ukiona mtu anakanyumba kadogo mnataka matatizo yenu ayamalize yeye
@judyngowi391
15 күн бұрын
Mbuzi wewe, nadhani kwa kuwa hujakshfiwa wewe
@saadabakar7750
16 күн бұрын
Anatakiwa kukomeshwa ,amemzoea diamond
@lulurubby2235
16 күн бұрын
Nahisi diamond kunasiku atamtolea uvivu kawatukana mpaka akina hadija kopa
@ladislausmoris9638
16 күн бұрын
Nimke wa diomond ndo sababu jamaa hajali
@lulurubby2235
16 күн бұрын
@@ladislausmoris9638 na hadija kopa ,diamond huwa anamuacha sababu anajua ana njaa, akina kajala wote kashawatukana ...huyu mshenzi
@vanessastafford6426
16 күн бұрын
Alimsema nini Masoud kipanya
@frankmwinuka5941
13 күн бұрын
Hakuna lolote hapo mwijaku msomi kaza kamba anataka kukuharibia na wew haribu tu
@user-yw3qh6qj8g
11 күн бұрын
Huyu mwajabu bilion 5 atainya wapi?
@Baira240
16 күн бұрын
Jakuboy mfate roma hama bongo wanataka kukupoteza hawa😂😂😂
@CasmirKiwale
16 күн бұрын
😂😂😂
@OchoaHomeDecor_
14 күн бұрын
Tatizo kuropokaa Mdomo komaa 😮
@AllyShaban-ms7ot
8 күн бұрын
Achen utapel nyny
@bm4tv602
16 күн бұрын
Hapo mtajua kwanini Muha Anaishi kigoma mkimfatilia sana jamani kigoma kunauchawi ni hatari utaona mwijaku kaenda kigoma akirudi 😂😂😂😂😂😂😂 haya mtaona tu dar mvua kubwa inanyesha na imeleta mahafa na yatamkuta wakili na Mteja wake
@liberatusjackson5045
16 күн бұрын
Masudiii ataaga chezea kg
@user-lt1bi5nr1x
11 күн бұрын
Kwani amefanyaje huyo mwijaku
@bertyjorge5121
16 күн бұрын
Mmmh
@babubabz4507
15 күн бұрын
Basi hata pesa mukipata zitakupeleka wapi upuzi kila mtu huwo ni taama
@ibrahimkibira9943
13 күн бұрын
Uchawa utamponza mbwa huyu.... yeye kutwa kusifia ujinga sasa ccm wamsaidie maana masud anaonekanaga ni mpinzan kwa zile katun zake
@carlosleonard6050
14 күн бұрын
Anaongea ka Lisu
@dubai8594
11 күн бұрын
kama sijasikia vizuri alipe B tano au M TANO
@SalimAthuman-xh7ci
13 күн бұрын
Mkomesheni uyo mwijaku maana kazidi nendeni mkamfunge mbona mnachelewa sana lifungeni limezoeya sana alifikili uyo daimondi uyo ndoakome lina mdomo sana nifungeni lifungeni lifungeni mpumbavu sna
@belak999
9 күн бұрын
Muislam anamuombea mabaya muislam mwenzie mabaya, duuuuuuuu! Alafu utajiita msafi na mwezi mtukufu utafunga?
@clauschristopher4478
16 күн бұрын
Funga huyoo
@Esquire266
17 күн бұрын
Mashabiki wa Mwijaku kutoka Kenya tutamtolea mchango wa pesa anazodaiwa.Tupo nawe Mwijaku.#standwithMwijaku.
@karyori69
17 күн бұрын
kalipieni unga wenye njaa huko Kenya...
@GibsonNtamamilo
17 күн бұрын
Toeni tuongeze mtaji sisi Timu Kipanya
@MinskBelarus-il2tl
16 күн бұрын
Kwani KENYA 🇰🇪 hamna ORPHANAGE???
@Esquire266
16 күн бұрын
@@karyori69 Kenya chakula kipo kingi tutawalisha hata nyinyi majirani
Пікірлер: 208