kaa ukijuwa Kama iyo pesa ni ya haki, Basi mauwa yako tunakupa lakini Kama nipesa ya mwarabu, jiandae kwa adhabu ya mungu.
@ayububrantaya6624
11 ай бұрын
Dp noma
@miltonjohn9779
11 ай бұрын
Kibaraka
@reginardtibishubwamu1522
11 ай бұрын
Dp world endelea na Rushwa sk moja gari hio itakuua
@faiditv5535
11 ай бұрын
Mashallh
@daudimichael7338
11 ай бұрын
Maokoto ya dubai
@mayaally2512
11 ай бұрын
Wakati anamiki baloon we ulikuwa unamiliki nn?
@kassidpandu866
11 ай бұрын
ushamba uwooo Gari niusafiri wa kawaida
@paschalpaul3862
11 ай бұрын
Mpiga picha umekwama wapi maana hatuoni magari tofauti na wa misifa
@erickchitumbi1308
11 ай бұрын
Maulid kweli umezaliwa na mwanadamu mwenye mifupa aliyeumbwa na Mungu.umeongea kikubwa
@victaboy7273
11 ай бұрын
Pesa ya bandari
@shahidi615
11 ай бұрын
Dpw
@elishamungaya8038
11 ай бұрын
Tapeli huyo Mungu anakiona , unadhulumu kabisa
@homeandaway2811
11 ай бұрын
Acha makasiriko, fanya kazi kwa bidiii. Wewe sio Mungu acha kuhukumu.
@chrismassawe2939
11 ай бұрын
Fanya na ww utapeli ishu ni unanini Njia ya kufika hapo juu utajua ww (yote kwa yote ni umaskini unadhalilisha
@babaabro8847
11 ай бұрын
Kuna cku muda utaongea
@nickylyanga2139
11 ай бұрын
Mbona hiyo gar tunaijua jamaan
@abdull_hafidh
11 ай бұрын
Kitenge akili mingi
@oyay2821
11 ай бұрын
DPWorld wamewezesha
@MiriamAbdallah
11 ай бұрын
Hela za bandiri, INAUMA
@user-rv7zt6tj3d
11 ай бұрын
Fanya kwa bidii jifunze mapato na matumizi ya fedha acha fikra za kimaskin usijituma utatumika loh watz fikra zen fupi mkiona mtu kafanikiwa tyr mshamtengenezea habar zenu wakat wanahustle hamuoni ila mafanikio yao yanakuja kuwaamusha na kelele nyingi waafrc bana wivu wa kimaendeleo mwingi, mnakuja mjua mtu akishafanikiwa wakt wa shida wala hamuoni😂 mxiuuu achen roho za kimaskin bana fanyen kazi kila kitu kinawezekana na muache matumiz mabovu ya fedha nunua nawe tuione
@hijazhija316
11 ай бұрын
Wivu
@mayaally2512
11 ай бұрын
WIVU TU HUYU ANAHANGAIKA MIAKA 30 ILIYOPITA
@mayaally2512
11 ай бұрын
WAKATI MWAKA 2000 ANANUNUA BALOON WE ULIKUWA UNAMILIKI NN?
@chrismassawe2939
11 ай бұрын
Wivu +roho mbaya =uchawi
@khadijajuma6271
11 ай бұрын
Maulid ni mtu mzima lakin hazeekiii😂😂😂😂
@aminathaabubakarmasoud565
11 ай бұрын
Sana MashaAllah yupo vizuri ❤
@victoriarwerengera4831
11 ай бұрын
Sura imashaanza kushuka mcheki vizuri
@abrahamlabby2230
11 ай бұрын
Hiyo kampuni itakuwa na magari mazuri kwa sababu ya jamaa wa yanga
Пікірлер: 32