Kisa kizuri sanaa mashaallah Allah awalinde masheikh wetu wazidi kutukumbusha kila cku na Allah atupe atuondolee shetani tuachane na mambo yakuskiliza music nakuangalia movie tuwe na time yakuskiliza darsa sote waislam ili tunufaike shukran sheikh salim kwa ujumbe muhimu Allah akujazi kheri 🙏
@salimdaawah123
4 жыл бұрын
IshaAllah ni muhimu sana kusikiza mawaidha kuliko kuangalia movies na muziki
@gastonponera7962
Жыл бұрын
😂😂😂 safi sana
@zaiduabass
Жыл бұрын
..s
@sereckysmahmoud1129
Жыл бұрын
900
@abdallangonya2294
Жыл бұрын
111
@jamalkishangu
2 жыл бұрын
Toa sheikh usiogipe maadamu ni Aya za Allah
@ayoubmabuba744
Жыл бұрын
Kipata
@roberttagaya9098
2 жыл бұрын
Japokuwa mimi sio muumini wa imani ya dini hii. Ila ni mpenzi sana wa mawaidha ya huyu shekhe Kipozeo. Kwani nimsikilizapo moyo wangu hupata burudani sana. Isitoshe kwa hiki kisa cha huyu mtu kimenifundisha mambo mengi sana ya kiimani. Tunatakiwa tuwe na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu. Mali zote niza kwake na hivyo mali zisitufanye tukasahau kumuabudu Mwenyezi Mungu.
@neemafatu471
2 жыл бұрын
basi ujue akili Yako Ina Afya. Fuata haki ndugu yangu wa damu. Akili haidanganyi.Nafsi Yako imependa jambo la haki ifuate.
Пікірлер: 28