Mhuni tu uyu kashazeeka t n uchu wa madaraka tu unamsumbua hana kt anadhan yeye ataishi milele
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Kwa kupata urais au kitu chochote aombe mungu sana musa amekwisha huyo amekuwa kama chizi
@charlesjoseph1081
2 жыл бұрын
Hakika we ni GAIDI acha hao wapuuzi washan gilie
@andersonmwenda6390
2 жыл бұрын
Aliye timamu anakuona ww ndiyo mpuuzi,mjinga mwendokasi,kwa kuwa kajibu swali aliloulizwa
@musason1680
2 жыл бұрын
Huyu n gaid t ety kupambana na Dola
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
Kabisaa
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Charles huyo ni gaidi kabisa maneno yake tu yameshawaingia vizuri watanzania walikuwa wanamtukana igp siro sasa sikia anachosema
@kingfocustzog
2 жыл бұрын
Na ww utakua mwenda zake tu nikajua unaakili kumbe ni tope tu
@annajohn2488
2 жыл бұрын
Hawa wapuuzi et mwendazake ww umepoteza baba mkwe mdogo kwaiyo nao wendazao ht ww utaenda
@andersonmwenda6390
2 жыл бұрын
Umekuwa mjinga mpaka kiswahili kinakushinda?!!
@amenaameeena3317
2 жыл бұрын
Mwendazake sio tusi jamani Acha kumshambulia mbowe mwendazake ni marehumu ILO neno linatumiwa na WA Kenya Ivo Kwa Tz tumezoea kuitwa Hayati au marehemu
@wadeelegbogun3015
2 жыл бұрын
Cha moto huyo GAIDI MBOWE atakiona.
@wadeelegbogun3015
2 жыл бұрын
Na yeye atakuwa mwenda zake, mpumbavu sana
@ernestwegga6557
4 ай бұрын
Hana hekima. Kila mtu ataonja mauti. Inauma sana kumhusisha Jpm na mambo yake
@abdumpunda4026
2 жыл бұрын
Unajua kusma vibaya marehemu magufufuli ni vibaya tambua hata wewe utaishi milele na jeuri hiyo unaitowa wap?
@majaliwacosmas3322
2 жыл бұрын
Mwenda zake wewe mwendawazimu
@patrickkagito3376
2 жыл бұрын
Huna akili wewe
@msomimosomy9812
2 жыл бұрын
Km sijaelewavle hayomatamshi yanamaanagani au yanafaidagani kwa wtz nataifakwaujumla?
@andersonmwenda6390
2 жыл бұрын
Mhoji mwandishi aliyeuliza hilo swali
@nikodemmwahangila3334
2 жыл бұрын
Sasa hapo kwenye kutengeneza jeshi makomamdoo hapana tunaenda kwingine huko nikuombe usiongee hiyo kama niwalinzi waajili lakini usiseme hicho ulichosema. Alafu musimuongee magufuli hivyo ukisema mwenda zake huku linatafasiliwa tusi
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
Wewe pia huishi milele Mbowe huna aibu ,hayo maneno yatakukost
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Rose huyo hachukui dulu muda si mrefu safari imeshamuivia acha amtukane tu hayati magufuli
@benosilwani5208
2 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 Hata wewe safari imeiva, hakuna mtu atabaki. Utakufa pia.
@kainimlowe7555
2 жыл бұрын
safari hii watakuunganisha na zumaridi
@deus8629
2 жыл бұрын
Umenichekesha... Mbowe ni Kiongozi BORA watu wachache ndo wanaomuelewa
@asiaokelay8421
2 жыл бұрын
Zumaridi no 2 kabisa
@kambamazig02024
2 жыл бұрын
Yaani jasho hilo lote na matamshi hayo ili uchukue nchi kweli? kwa hali hiyo?
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Charles musiba hana ubavu huo serikali siyo ya wajinga anajimaliza mwenyewe mitandaoni kuwa chama cha magaidi nani anataka vita kama vya Ukraine
@JohMalila
23 күн бұрын
@@margarethpolepole7438asiwe na walinzi afee sio mvaage viatu vya watu muoñe
@musasaid559
2 жыл бұрын
Ameanza kuvulungwa ila ukae ukijua kua baba wakambo namama wakambo bora baba wakambo endelea kulopoka watanzania wapo watakuombea tena boya wewe
@revocatuscharles934
8 ай бұрын
Tuko wote kwa mahandamano mr mwenyekit nikiwa pande za karagwe mkoa wa kagera
@sosomacharles6685
2 жыл бұрын
Na ww utaenda tu huwezi kwepa,ww dhihaki tu.
@musason1680
2 жыл бұрын
Huyu n mhuni t
@ernestlaiza6084
2 жыл бұрын
@@musason1680 kama mamaako
@valencemateru544
2 жыл бұрын
Aise umenifurahisha wadogo lakini balaa
@hamadsaburi3569
2 жыл бұрын
Wewe pia mwenda zako mtegemewa wali kuramba ww na makomandoo wako
@georgemhalla8853
2 жыл бұрын
Mbowe umenikera Sana, uliiposema mwendazake! Marehemu lazima astiriwe pls, kuanzia Leo sio shabiki yako Tena. Cz nilikua nakuona mtu wa maana sana, Ila kwa kauli yako hiii yaani ni bure kabisa wew
@DAINOSSA
2 жыл бұрын
Futa i coment yako
@bahatimallya32
2 жыл бұрын
Wewe nenda tu tupowengi mnoo maana mwendezake alijiona Mungu mtu
@siddyoneonlinesi5433
2 жыл бұрын
Kwan bado upo
@haroldtarimo3115
2 жыл бұрын
Acha kuongopea watu huwezi kuwa mpemzi wa mwendazake at the same time ukampenda Mbowe vitu viwili tofauti we chapa mwendo tu tena faster
@marcominja8850
2 жыл бұрын
Mbona hakuna ubaya wa hilo neno! Angalia kamusi ya kiswahili maana yake aliyeenda mbele za haki, kwa kiingereza departed.
@enocksosthenes4505
2 жыл бұрын
Mwenda zake ni neno linatumika zaidi Kenya likimaanisha marehemu japo halitukiwi kwa watu wenye nyadhifa katika jamii hata Kenya hiwezi ukalitumia kama mbadala wa Hayati. Hapa kwetu Mtu wa hadhi ya JPM linatumika Hayati ndo maana huwezi hata tumia neno Marehemu mfano kwa Nyerere etc. Hivyo heshima tuliyohiwekea ikabaki kuheshimiwa na kulinda matendo ma ya viongozi wetu.
@bahatimallya32
2 жыл бұрын
Inategemea huyo mwenda zake aliishi vipi nawatu binadamu uwezi kuwaonawezako hawasitahili kuishi wakati wamezaliwa kama wewe anasitahili kuitwa mwenda zake
@shadymbuki87
2 жыл бұрын
@@bahatimallya32 taahira wewe huwezi kumuita mkuu wa nchi mwendazake, endeleeni yajayo yanafurahisha.
@kelvinwilliam5145
2 жыл бұрын
Wafu hawajui neno lolote
@sebastianmwantuge5597
2 жыл бұрын
Tatizo mmezoea kuheshimu mtu kinafiki,ndiyo maana tutabaki kuwa maskini.
@salomemchewa5187
2 жыл бұрын
Kesha anza , huyu kwanini ametoka, mmeona , jeshi ni moja la tanzania nzima, kwanini awe na majeshi yake,, kama ni mabodigar sawa, lakini majeshi, jamani kuweni makini majeshi ya kujitemea ndo yanaleta fujo inch za jirani , tuyakuja kulia, mkiwachia wafanye wanavyotaka
Huyu kuna kitu sio bure mbona amekua na makali hivi aisee 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Edger nandonde huyo jela imemtia uchizi na muda si mrefu atamfuata huyo mwendazake anaemtukana
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Haya mama samia waajiri wote waliongia jeshini jkt mbowe atawabeba wote mkiwaacha jibu ndilo hilo analitoa hadharani vita hiyo viongozi wa dini waliomuombea kwako amekwisha wageuka
@mathiaszakaria7052
2 жыл бұрын
Hizo ni akili zako hazioni mbali Kama bata
@georgegerald4153
2 жыл бұрын
hacha kupotosha vitu wewe...Mbowe kasema kuwachukua kwa ajili ya ulinzi wao binafsi dhidi ya watu wasio julikana.
@meshackmpalanga9130
2 жыл бұрын
Asante kwa kuwaombea vijana wetu ajira kinamna
@kambonamahmadoo6814
2 жыл бұрын
HAWANA KITU hawa wachumia tumbo,,wananunulika KIURAHISI,,hawa ndio wale walioambiwa na mwalimu, kuwa wana tabia za kimalaya malaya
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Tena sana kambona lakini tuwe na tahadhari nao
@sebastianmwantuge5597
2 жыл бұрын
Akina nani hao? Inaonekana akili yako ndogo hujui unamsema nani
@piussimtala5111
2 жыл бұрын
Hapo pa Makomandoo!! Yawezekana ndo tatizo lako kubwa!
@mohamedrashid9035
2 жыл бұрын
Sasa hao komado wako wanaweza kupambana na serikali Mbowe Chadema wacha Ujinga wewe
@leokamil6284
2 жыл бұрын
Amesema walinzi wa wasiojulikana kwani Serekali ndio wasiojulikana?mbona Tembo Simba wanawalinzi cha ajabu nini?
@kisangageorgethomasi2830
2 жыл бұрын
Ganda ivyo ivyo na uelewa wako ulipoishia
@williamdetkvant1313
2 жыл бұрын
Mmh haya,
@kuntakinteomolo2832
2 жыл бұрын
Mbona sasa ulikamata kama kuku na hao makomandoo walikuwa wapi mzee
@davidnyambuche352
Жыл бұрын
Akikamatwa kihalali na maafisa wa polisi wanaojitambulisha hakuna shida na kwa njia hiyo hawawezi kumuua wala kumdhuru maana wanakuwa washajulikana, makomandoo wanamsaidia kudeal na wasiojulikana na wale wanakamata watu kisirisiri ili wawadhuru bila kujulikana.. Hapo sasa ndo watakutana na makomandoo
@storytownTv
7 күн бұрын
😂😂😂 apo nimekupongeza sana kwa ilo , maana ni kwel serikali unachukuwa vijana wakujitolea kwenda jeshini wanapewa mafunzo afu haiwaajili badala yake inawatelekeza mtaa,, apo ukiwachuwa mbowe utakuwa umelamba madume..kwel kwel .😂
@jongwemomumo8729
2 жыл бұрын
Halafu mlikataa kuwa sio Gaidi 😇😇😇
@Teksani
2 жыл бұрын
Nini maana ya Gaidi?
@veriusechrispin9971
2 жыл бұрын
Kwakweli nimeamini hamna siasa bali mnamapambano na serikari
@enocksosthenes4505
2 жыл бұрын
Yani wanapambana na Hayati. Hii inaonyesha ni jinsi gani chuki zao ni za hybrid na sio za kawaida.
@veriusechrispin9971
2 жыл бұрын
Haswa kaka na tukiendekeza siasa za namna hii tutalipoteza taifa letu zuri tulilo pewa na mwenyezi mungu R.I.P Baba John Pombe Magufuli
@kennyrogers4734
2 жыл бұрын
Sawa kbs safi sana jibu zuri sana kuna swali lingine?
@mromalais900
19 күн бұрын
Kwawale wasioelewa wametuma message mfano wa wapizani wenyewe...nikwamba Ako sahihi kutengeneza ulizi wake na pia wa viongozi wengine kutokana Wanao tekwa na kuwawa ni viongozi wa chadema na sio wa CCM... Nalengo sio kukabiliana na Dola...nikujilinda zidi ya watekaji..?
@mhogomchungu7168
2 жыл бұрын
Huyu kaachiwa juzi kishaanza kiburi na uchochezi
@TheLovejoyz
2 жыл бұрын
Walipe ..wakulambe..wasaliti
@ndogoroedson199
5 күн бұрын
Yaan mamae zako we unadhani Mungu akiamua kuna mlinzi hapo? Wananchi mkitaka kujua huyu mjinga anatafuta vita ndyo muone hicho anachokisema serikali kaeni mkao wa kula c amesema yy mwenyewe? Sasa nadhani umefika wakati wa kuwachunguza vizuri watu kama mbowe. Et komandoo Mungu akiamua unatembea ww hamna komandoo hapo ni mbwembwe tu.
@mwigakatumpula6852
2 жыл бұрын
Hiii ni atari kwa usalama wa nchi hatuwezi kwenda ivi yaani siungi mkono kabisaa hili swala.serikali iliangalie hili swala kwa mapana na kwa mstakabali wa nchi 🙌🙌🙌🙌🙆🙆🙆🙆😀
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Tena serikali mwiga imfuatilie kwa makini huyu ni gaidi kabisa
@mwigakatumpula6852
2 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 alipo niacha hoi pale anasema hawa makomando nawatumia maana serikali inawafundisha matumizi ya siraha harafu wana wa fukuza KAZINI sasa sisi tutawatumia. Kwanini nasema ni atari kwanza mtu alikua mtumishi harafu afukuzwe kazi unadhani atakua na mapenzi na serikali yake apo?!
@vradmirlenin8290
2 жыл бұрын
Umeanza tena kubweka
@musason1680
2 жыл бұрын
Mshaambiwa yee ataendelea kupambana na Dola dadeki huyu angesota t uko
@musason1680
2 жыл бұрын
Huyu jamaa hana akili aliposema neno mwenda zake t ndipo nimeamin hana hata sifa ya kuwa kiongozi ni mhuni t ambae serikali inamvumilia kwa kuogopa makelele ya watu ila ingemwacha asote t uko na huyu mama asipokua makin hawa wahuni watatufikisha pabaya. Mtu hata hajifunzi ety mwenyekt wa chama hata marehem unashindwa kmstr
@patientlazaro6930
2 жыл бұрын
Alafu hao makomandoo wanakazi gani.? Kama wanakuwepo na yeye anakamatwa hakuna haja yabkuwa na hao walinzi hawafai. Nenda kamkamate mkuu waheshi na walinzi wake wapo uone😉. Siasa hizi mbovu sana
@patientlazaro6930
2 жыл бұрын
Mie mwenyewe alipoosema mwenda zake nimemuoa wajabu.
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
Mbowe akili yake finyu sana haoni aibu kauli za matishio ,huyo alitakiwa aendelee kukaa mahabusu, etc anajifanya kuriingaaa
@musason1680
2 жыл бұрын
@@patientlazaro6930 kabisa huyu n mpuuzi t
@ernestlaiza6084
2 жыл бұрын
Hata huna akili ww
@noonelike6382
2 жыл бұрын
Gaidi... Itakuwa ni kweli!..
@desderiusluoga7736
2 жыл бұрын
watanzania wengi hatuna uelewa gaidi angetolewa jela
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
No one like kwani serikali ilikuwa ni wajinga maneno yake si hayo mitandaoni yanatoa jibu
@didimhutila8985
2 жыл бұрын
Kwa hiyo we unapambana na dola sio?
@moodyzanzibar4336
11 ай бұрын
SASA MBONA MAKOMANDOO MNAFUNGWA NAO HII INAKUAJE??? HAPA SIELEWI KABISA NA MNASEMA WAANAMKATABA NA SERIKALI KIVIPI??
@hawaelymaricca7602
8 ай бұрын
Nyie mpewe ulinzi wa nini. wapewe haki kivipi , watapigwa tuu. nyie hamjijui ,mnapigwa kwa sababu mnasumbua hamna akili
@mwinyikadhi2870
2 жыл бұрын
Mbowe hafai kuwa kiongozi hata wa Kijiji hajielewi..sawa na mnywaji wa bangi tu..hajielewi hata kidogo..juzii tu katoka korokoroni kwa huruma na kaongea mbele ya rais tufanye siasa za kistaarabu leo anaongeza utumbo..huyu jamaa keshafilisika kisiasa.
@manenombuma3987
2 жыл бұрын
Kheri yako ww tajiri mwenye mawazo mgando.
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
Kabisaa hata kijiji hawezi mchonganishi mkubwa
@PhilibetLadislaus
8 ай бұрын
Una mawazo ya Gadaf hata kabla ya uchaguzi ,Hatuitaji dictator Tanzania
@Mufti-c7t
8 ай бұрын
Sasa una lengo gani mpaka unakusanya makomandoo? Unajua mkubwa hua hatishiwi nyau? Kutafuta makomandoo wasio na zana za kikomando nisawa na mbwa asie na meno sawaaa?
@bonabonala5559
8 ай бұрын
mbowe baba wa democracia tz hata mama wa taifa mama maria nyerere anamjua mbowe ni baba wademocracia kama rais mstaafu wa congo joseph kabila kabange arie tengeneza katiba ya marithiano DRC na kukubali kun'gatuka nakura maisha kwa heshima mpaka afe bira maneno tatizo huku tz mama wa kambo kanogewa na utawala na kuiba mali kam jk wa angushamizoga kila miaka ajui ipo zamu yake yaja nae atakua mzoga tuu amina
@SampleKiller99
2 жыл бұрын
Amiri Jeshi wa Red Brigade.. 🤪😝
@johnmalembo6464
2 жыл бұрын
siasa si maneno ya ovyo juu ya washindani wako bali sera za maana zenye maono ya kumaanisha kuijenga nchi na maendeleo ya wananchi... eee Mwenyezi Mungu Tukumbuke WaTz
@kisangageorgethomasi2830
2 жыл бұрын
Kwani ww unasemaje?
@kassimrajabu7805
2 жыл бұрын
@@kisangageorgethomasi2830 😂😂😂😂
@YEHOVATV-mz6sp
8 ай бұрын
BEBA KAMUSI YA KISWAHILI HALAFU SOMA MAANA YA NENO SIASA.SIASA NI MFUMO WA JAMII WA KIUCHUMI AU KIUTAMADUNI.PIA SIASA NI MAAMUZI YA BUSARA ILI KUFIKIA JAMBO FULANI .Siasa sio MANENO YA HOVYO JUU YA WASHINDANI WAKO.
@MussaKiyumbi-xb6xi
7 ай бұрын
Wewe ni mjimga huwezi kumwita raisi magufuri mwenda zake hauna sera wewe
@TheLovejoyz
2 жыл бұрын
Una takakupinduwa nchi
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
The livejoyz hana ubavu huo na wanamsikiliza tu kwani serikali ni wajinga atarudi aliko toka waliomuombea msamaha siwanamsikia hao viongozi wa dini
@monalisaally4387
2 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 yaan wanamsikia maneno yake ovyoo kabisa
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
Mbowe wewe ni kichaa sana eti mwenda zake!!!mpuuzi sana
@abdiraheemsheikh5409
2 жыл бұрын
Unataka amuite jina gani ? Unaelewa maana ya mwenda zake unataka amuite mungu au.
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Rose huyo anasumbuliwa na laana na akirudishwa gerezani ndiyo imetoka acha abwabwanye tu
@manish-fp1fb
2 жыл бұрын
Ni mwendazake tu ndio jina linalomfaa... mbona haitwi Mkapa mwendazake.. ukiishi wa watu vibaya ndio matunda yake hayo.
@kassimrajabu7805
2 жыл бұрын
Mwenda zake kama mwenda zake😂😂😂😂
@MohammedAwadh-gq9si
8 ай бұрын
Kwa hiyo unaunda jeshi la kupindua serekali?
@tusumekashililika9448
2 жыл бұрын
Kwele wewe umechoka
@leokamil6284
2 жыл бұрын
Mbona Diamond au Tembo anawalinzi cha ajabu nini?
@user-sy7fz9lz9p
2 жыл бұрын
Wewe ndo umechoka ndo maana hujui hata kuandika
@musason1680
2 жыл бұрын
Huyu kashachoka
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
@@user-sy7fz9lz9p amechoka kama lichama lenyewe mfa maji
@KangalaMabula-r5l
8 күн бұрын
Manyanyasotu hayo waacheni nawezenu wapate iamani
@lovely-mq4rg
2 жыл бұрын
Amechoka
@ramadhansylvesterkichele9190
2 жыл бұрын
Si mlisema jpm dictator kisa aliwaziba midomo eeeh? Sasa acha movie aianzeee
@simonmagaigwa5496
2 жыл бұрын
Kuna kipindi wataelewa tu.
@margarethpolepole7438
2 жыл бұрын
Ramadhani hiyo ni move kweli mpaka jasho litamtoka kawa chizi
@ramadhansylvesterkichele9190
2 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 si anataka kujikosha aonekane mwema kimataifa
@calvinlameck1577
2 жыл бұрын
We taila tu
@wadeelegbogun3015
2 жыл бұрын
#NONSENSE
@fidahusseinkassim9778
2 жыл бұрын
Tuwe makini watanzania,siasa inapoenda sio sawa, tushikamane tujenge nchi yetu, viongozi wawe makini na maneno wayasema,
@nasrahassan7346
2 жыл бұрын
Hakika
@shijamasunga6889
2 жыл бұрын
Hata uasi unatengenezwa hivihivi ni process unaweza sema ni watatu kesho wakawa 50 ww Bila kujua wakifika mia ndo unastuka kumbe ni hatar eee too late
@elizabethnzunda9223
Жыл бұрын
Kuwatumikisha tu watt wa wenzako
@raiszongo1580
2 жыл бұрын
Mbowe kubabakoooh ,mwenda zake bibi yako
@LemaliMeyasi-r4c
8 күн бұрын
Tupo pamoja mweheshimiwa itakaa sawa
@nasrahassan7346
2 жыл бұрын
Yaani mmmh sisemi kitu napita tu
@naftalimhemi4163
2 жыл бұрын
Raia hana kibali cha kuunda jeshi.
@denisimaliyaweni9183
2 жыл бұрын
Chama makini
@benphonerepair
2 жыл бұрын
Hyu jamaa msnge Sanaa
@TheLovejoyz
2 жыл бұрын
rudi jela
@andersonmwenda6390
2 жыл бұрын
Mamako katangulia?
@racheljoash6061
2 жыл бұрын
Kila mtu ataonja mauti we mwite tu mwenda zake,siku yako yaja tutsema mwenda zake bora ungekaa tu gerezani
@musason1680
2 жыл бұрын
Kabisa
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
@@racheljoash6061 kabisaa!mapovu yanamtoka anauthi sana nchi ilikuwa imetulia na siasa za kijinga tangia akiwa gerezani
@willymdeka6034
13 күн бұрын
We jichanganye tu utakuja kujuta tu
@noelymwakasege2428
2 жыл бұрын
Tukumbuke kuwa hakuna mtu hata kuwa mwenda zake Kila mtu ataitwa kwa muda wake wew fulai sana kuita mwenda zake kesho mim keshokutw ww mungu mpunzishe ralam rais magufuli
@sixmakochogilbert3331
Жыл бұрын
Tupo tayar kuungana na ww mbowe
@ErickMacha-sb2ot
22 күн бұрын
Tunataka makomando wakome kuwateka
@SeifAlly-f4l
13 күн бұрын
Kupambana na Dola hilo sahau mzee .
@montanatvqv3792
2 жыл бұрын
🤣🤣mbona walivyokuj kukamatwa hawakukuzuia
@EdwardMashauri-e7e
8 күн бұрын
Kwenda zako huna jipya
@GeofreyMwandanji-ot2lf
8 күн бұрын
Mandamano yahaki nilazima
@hoseajackson8127
2 жыл бұрын
Kuna siku nilisema serikali ya ccm imekwenda kumnoa mbowe c kumkomesha wala kumdharirisha na kibaya zaidi tz ya leo c ile ya 84 watu wameelimika wanajuwa ukweli,
@onesmothimos2635
2 жыл бұрын
Una maa Nisha Nini mwendazake acha pigo izo ile hotuba ya kanisani Nita ipuuza ukiende Lea kutumia neno ilo Kwa Alie kuwa kipenzi Cha watanzania
@mgallason...5686
2 жыл бұрын
Mmh haya bana
@wadeelegbogun3015
2 жыл бұрын
Huwezi kushindana n jeshi letu nonsense. Hata kama baba yako alikuwa jeshini. GAIDI MBOWE. Nonsense
@bajagihaji8923
2 жыл бұрын
Kweli itachukua wakati kwa wapinzani ukiwa na hamasa sana saa ingine yanakutoka maneno ya ajabu
@LeonardGilbert-ox5ul
8 күн бұрын
Saf san
@yasiniSwedi-qg5oc
8 күн бұрын
Maneno yahovyo
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
2 жыл бұрын
Chadema Genge la wahuni tu
@geraldlyimo2859
2 жыл бұрын
Ila wahuni walioko makini aseee
@emmapaul1766
2 жыл бұрын
Kumamako wewe mkundu
@andersonmwenda6390
2 жыл бұрын
Kama ccm lilivyo genge la wajinga
@manenombuma3987
2 жыл бұрын
Bora wahun kuliko kuwa zuzu.
@rosetreffert4179
2 жыл бұрын
Tena magaidi
@mosesmwafwenga3012
2 жыл бұрын
Kweliiii
@deuslucas2256
2 жыл бұрын
Muhuni
@sautikaliitz934
2 жыл бұрын
Mimi napita tuu nisiongee vibaya kesho nikajikuta kuleeeee Ila mama wetu anatoshaaaaaa kazi iendelee
@Mufti-c7t
8 ай бұрын
Ushawaponza ao daah!
@EmmanuelMolel-p6t
9 күн бұрын
Kabisa
@arbogastmireni2004
9 күн бұрын
2 ago tena tupe update ya leo
@nsiaelieza9568
2 жыл бұрын
People's💪
@sonnyr1899
2 жыл бұрын
Muheshimiwa Mbowe najuwa kabisa wewe ni msomi na unao uwezo mzuri wa kuongoza ila kitu 1 nakiona kwako kwa sasa hutumii muda vizuri. Wananchi kwa kweli walio wengi wana mzigo mzito wa maisha mgongoni - mfumuko wa bei - tozo - kodi sumbufu - rushwa - mauwaji holela - ugumu wa kujitibia Ila kamanda sisi wanachama wako tunakusikiliza mwanzo hadi mwisho ila hamna sera hata moja ni kulalamika tu. Nadhani huyu muda ulikua mtaji mzuri wakuanza kunadi sera zako hayo ya makomando ni yako binafsi. Juzi ulikua hai ukasifiya police Leo tena umekuja na la makomando. Kitu hamjuwi wa tz walio wengi kwa sasa wako njia panda hawana la kufanya hamna mtu anafurahia Tozo ila 😷😷😷
@emanuelmargwe7087
2 жыл бұрын
Kila Jambo na wakati wake, jamaa ndo ametoka gerezani. Hapo hapo aanze na Bei ya sukari 🤣🤣🤣
@munguhashindwijambo2681
2 жыл бұрын
Mbunge wako kazi yake nini? Kwanini humwambii mwakilishi wako halali badala yake unasumbuka na mtu asiyemwakilishi wako? Mkuu nenda hata kwa polisi, mkuu wa wilaya mkoa, watakusaidia mapema zaidi
@sonnyr1899
2 жыл бұрын
@Pius Mpilu Mbunge Mimi ni Mbowe, kamanda wangu ni Mbowe sasa unaona sina uhalali wa kumuomba atusemeye?
@ALBERTNyemba-uk3fr
7 күн бұрын
Jidanganyeeeeeeeee
@hassankidilikia5566
7 күн бұрын
Good person
@eaglecrown1101
2 жыл бұрын
Red brigade 🤔
@JoyceKabula-in1sh
5 күн бұрын
Yes
@ramadhanimtambo6755
Жыл бұрын
Mhe mbowe kua na walinzi wastani tu nchi inapokua na uongozi bora wa kutosumbuliwa wewe na Jenga Imani na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama Kwa wakati huu wa demokrasia makini Toka Kwa mama kama unavyomuamini mama .tunakupenda waaelimishe viongozi wengine siasa za ustaarabu Kwa nyakati mambo yalivyobadilika ahsante
@kiboleekitams5353
2 жыл бұрын
Leta saera za kuisaidia nchi sio Sera za kusema vitu vyenye manufaa yako binafsi faru john
@petersilas4234
2 жыл бұрын
Unafikiri wale waliotandika kanga zao barabarani walikuwa wanatania!!!! . Tafakari.
Пікірлер: 264