Kazi nzuri mpigapicha jitahidi kurebisha kazi yako
@josephatn5040
3 ай бұрын
Naomba kutofautiana kidogo katika maelezo yako. Nijuavyo mimi ni kuwa timu zote zitashiriki hatua ya hawali. Ila kuna hatua ya hawali mbili. Zile timu tano za juu hazitacheza hatua ya hawali ya kwanza( 1st Preliminary) bali zitacheza hatua ya hawali ya pili(2nd Preliminary). Timu zitakazoshinda 2nd preliminary ndo zitaenda hatua ya makundi( group stage).
@jonamnyone8014
3 ай бұрын
Kwa kiswahili hakuna awali ya kwanza na awali ya pili. Hivyo Mbwaduke yuko sawa
@GustavJoni
3 ай бұрын
Huyo ni nyuma mwiko wabishi kwel
@chrispinmkanda6097
3 ай бұрын
@@GustavJoni 🤣🤣🤣
@lameckshaba813
3 ай бұрын
Bwana wewe yanga ni wadogo tu. Acha kuipamba
@samwelsimon7392
3 ай бұрын
yaani hapo ndo mimi nachokaga niona wanayanga wanaibeza simba jayanti
@ShafiiHungo
3 ай бұрын
Yanga tusha ingia makundi insha allah muda ufiketu tutembee kichapo 5 5au zaidi
@johnmbwile3980
3 ай бұрын
Jamani muelewe tuu!
@WillfredMisungwi
3 ай бұрын
Wa kwanza naomba likes zenu wadau
@Magicalstp502
3 ай бұрын
😂
@RaineryNgatunga
3 ай бұрын
Kama makundi ya ng,ombe sawa
@MbwadukeStats
3 ай бұрын
Duuh!
@adammafuru7971
3 ай бұрын
Mpiga picha holaa
@MeshackKamenya
3 ай бұрын
Michezo haipo kwenye muungano tofautisha hilo Bara na visiwani kila nchi inaendesha kivyake
@KokoloLambinguni
3 ай бұрын
Eti tuna muungano eti nchi moja
@bkkomesho9272
3 ай бұрын
Dada unajua kuongea, sema hujui kuhiji by series, yaani Kuna madin yalikuwa yanakuja afu unahoji maswali tofauti
@WSRISK
3 ай бұрын
Kwaheri AZAM
@robertsongola6034
3 ай бұрын
Dada huyo ni mchambuzi hapo umemchanganya hata sisi watazamaji hatujaelewa
@bone102
3 ай бұрын
Sema ww hujamuelewa usiweke uwingi mzee 😂
@khamisrashid6581
3 ай бұрын
Tanzania zimeshiriki timu 6 bas sio 4
@bone102
3 ай бұрын
Bendera ya Tanzania na zanzibar zinafanana kama zinafanana basi Tz timu sita ila kama hazifanani bas tz kapeleka timu 4
@jumazubeir5787
3 ай бұрын
💯🙏
@johnmushi8739
3 ай бұрын
Unamwona mbwaduke nusu kipande wakat ndo mlengwa
@AbdulNampalamula
3 ай бұрын
Kwahy ninama@nishann
@KiboJoseph-cc5eu
3 ай бұрын
nadhani wameset camera, hawana moiga picha
@MbwadukeStats
3 ай бұрын
Umetisha sana Bro! Palitokea dharura kwa Mpigapicha hivyo akakosekana kufanya settings zake kwa usahihi. Kilichofuata duh...ndiyo hilo balaa! Kumradhi. Tunashukuru sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@DavyShine-pb7jb
3 ай бұрын
Video camera jitahid unatuangusha
@allytv1714
3 ай бұрын
Unatuchanganya sema iv simba inaanza atua ya pili cz ipo juu yanga atua ya awali unatupa maelezo marefu na atufanani
@khamisrashid6581
3 ай бұрын
Tanzania kimataifa ni timu 5 sio 4 na uhamiaji za zanzibar
@FucianeBulemo-nd4wc
3 ай бұрын
Mpiga picha mbona host humuonyeshi
@AgartonMheza-ul3ww
3 ай бұрын
Dada jifunze kuhoji vizur
@STELLAMARCELY
3 ай бұрын
Inaonekana yuko field
@elishajohn455
3 ай бұрын
Yan kama ungekuwa mwalimu wangu, ningeamishiana godoro langu darasani😅...maelezo mpka marefu na yanajirudia kwenye kila post
@saidilikananowe1446
3 ай бұрын
Mr mbwaduke vp camera mbona haijachukuliwa vzr unatuangusha watazamaji wako hii chanel yetu pendwa.
@robertchazya2351
3 ай бұрын
Camera man unaleta mapenzi kwenye kaz siyo?😂😂
@boscoShama
3 ай бұрын
Mtangazaji anaharaka kama muogea nje anarukaruka
@rizikylaizer1602
3 ай бұрын
Wewe mgeni uku huyu jamaa anachambua vizuri sana take your time utanishukuru
Пікірлер: 57