Mbwaduke on top of his game, thank you brother! Yanga bingwa
@omariabeid3291
11 сағат бұрын
Safi sana Ramadan Mbwaduke
@Q_Lax
7 сағат бұрын
Ahsante sana codes za maana kabsa
@FRANKMBILINYI-x1h
5 сағат бұрын
Shukran sana Kwa kutupa data kamili na na uhakika
@ZaydShafii
3 сағат бұрын
Bora yanga ndo ibande kuriko simba maana wao wanajiona wakubwa kumbe hawana lolote mwaka robo tuuuu
@AmosiMakenzi
3 сағат бұрын
Hakika mwaduke umetisha
@BenezethEmily
8 сағат бұрын
Pure data kabisaa
@ZuwenaChimela
4 сағат бұрын
na kukubari sana kwa ujuzi wa uchambuzi
@JumaMohamed-s1e
6 сағат бұрын
SF sana Wananch
@nshaijatedy5512
10 сағат бұрын
Kiukwel tubal tu mwaka huu watan watuzid IL tijpange Zaid ,,
@josephlorri431
10 сағат бұрын
Umeamua kutupa taulo mapema.. utapona ugonjwa wa haraka kwa kukubali ukweli.
@josephyapesa160
8 сағат бұрын
Umekubali kutoka moyoni,ukweli usemwe tuu tuache unafiki
@lucymsheshi5871
8 сағат бұрын
Umeshatoka level za udunduka umeshuka wewe sasaivi Ni kolo jitajidi sasa utoke kwbisa huko Mmeanza kuelewa naona😊😊
@saidbakari2408
6 сағат бұрын
Kwani hapo amezidi wapi wakati umeambiwa mpaka timu za makundi zimalize 😂 UTOPWAX
@reginaldmapunda6702
5 сағат бұрын
Mimi ni Yanga lakini ushindi wetu wa jana napenda uwe ni kichocheo, chachu au kimea cha kuifanya Simba ishinde mchexo wa leo. Kama mtanzania naumia sana kinapotokea kama kile kilichowakuta Azam. Pamoja siipendi Simba lakini leo nawatakia ushindi mnono na msonge mbele. Utani wetu ni baada ya mchezo kwisha lakini kabla ya hapo sisi ni watanzania halafu tuko nyumbani Lupaso,tafadhali msituangushe mtani. Kila la kheri saa kumi sio mbali wahini mkamalizie kuloga washamba nyie.
@mogelamsingili5238
Сағат бұрын
Zile 87 alizokuwa nazo Al Ahly alipewa na nani Mwalimu Mbwaduke
@JumabJumamkuula
4 сағат бұрын
Mhhhh takwimu za kibongo bwana kkkkk
@labanrichard2317
7 сағат бұрын
We Babu Unajua Sana
@user-pe9uo4ec6y
7 сағат бұрын
Sio kwel TP mazembe ndo inaweza kupanda juu ya simba
@canibalgazaboy8325
3 сағат бұрын
Mazembe kashakupita mwenzako msimu uliyopita kafika nusu fainal wew mwakarobo unaendelea kuhangaika na mwakarobo yako tu kenge wew😅😅😅
@user-pe9uo4ec6y
3 сағат бұрын
@@canibalgazaboy8325ni ngumu kubishana kwa hoja mpaka kutukanana? Mchambuzi wenu anasema simba inapoint 28 badala ya 39 pia yanga anapoint 31 ukiongeza 5 itafika ngap kuwazidi simba?
@JohnMarco-s3n
3 сағат бұрын
Mimi simba ila yanga nawakubali siku hizi
@Alexbenon-ow5lh
5 сағат бұрын
Hapo umetupiga mzeee
@ShaibuMkullu-ck6sl
5 сағат бұрын
Leta wewe takwimu kaka, usibwabwaje bila kuweka hoja mezani, au imekuuma baada ya kusikia YANGA🔰 kaipita simba point za CAF?.😅😅
@martinmaseleka751
11 сағат бұрын
Mbwaduke Stats, katika upangaji makundi tutakuwa Pot ngapi?
@suleymandachi782
2 сағат бұрын
Muda si mrefu UTOPOLO watamtukana,
@SalvatoryMtunga
7 сағат бұрын
Mikia wana kazi nzito.
@AliSiasa-q2s
7 сағат бұрын
thanks
@AdolphMbuta
4 сағат бұрын
Wewe mwongo
@sospeterkajula7949
4 сағат бұрын
Acha maigizo mitandaoni je yanga itaipiku Simba kiaje acha kupotosha watu wapotoshe watoto wako
@drexdrex3879
3 сағат бұрын
Ndugu yangu hio ndo Hali halisia...tuwe wapole tu. Ndo ukweli huo. Ndivyo points za CAF zinavohesabiwa. Cha kuombea ni Simba iingie makundi na pia kumaliza nafasi mbili za juu. Pia points za Shirikisho hazilingani na za Club Bingwa Kwa hatua zinazoshabihiana. Ndo maana tunaambiwa Shirikisho ni ligi ndogo Kwa ile ya mabingwa
@EzekielAmos-Ezm
6 сағат бұрын
Kwel
@SANJARI-r9t
5 сағат бұрын
Zile 39 za simba aliwapa nan mbwaduke umechemka
@augustefedy6326
3 сағат бұрын
Kichwa chako kibovu 😂
@drexdrex3879
3 сағат бұрын
Elewa wanaposema points zinahesabiwa Kwa miaka mitano ya nyuma kuanzia msimu uliopo. Hivyo kma hujafanya vema kwenye kila msimu unaofuatia, uwezekano wa points zako kushuka upo
@sospeterkajula7949
4 сағат бұрын
Bora uwache na u hambuzi wako huo wewe Kama Ni mwana yanga nenda ukali majani yako huko jagwani
@clemencemkondya8561
2 сағат бұрын
Timu bovu acha uzushi
@jumamalindo1221
9 сағат бұрын
Yanga anaenda kumshinda Simba,point kwenye makundi
@firdawsrammy9992
8 сағат бұрын
Hapo ni mpaka Simba asipite leo kuingia Makundi, na hata wakiingia Makundi na wote wakapita bado Simba atamzidi Yanga kwa point.
@@firdawsrammy9992unazijua Point za club bingwa yanga akifanikiwa kwenda robo fainali😅
@firdawsrammy9992
6 сағат бұрын
@@RidhioneSabury Nipo hapa kwa Master wa uchambuzi nitashindwa vipi kujua. Rudia kusikiliza Uchambuzi kuhusu point zinavyopatikana
@Samoninyanda
9 сағат бұрын
Mwaka huu fainal
@ndogoroedson199
9 сағат бұрын
Ya kombe la mbuzi
@AbubakarBajabir
9 сағат бұрын
Mh
@SuzanKameta
9 сағат бұрын
Duuuuh tumepitwa sana
@bonifasjk2290
4 сағат бұрын
Mwalim mbwaduke umetuongopea kwenye point kwanin simba akishinda apate 0.5 na wakat yang umempa point 1 ya kuingia tuu group stage ambap ukaizidisha kwa 5 ambay ni idadi ya mwaka akapata point 5 ukaongezea kweny ile point 24 yao ambay ni total? Kwan group stage ya shirkisho point ni 0.5? Kam ndivyo it means point zina vary klab bingwna shirikish
@Makassy-b9y
4 сағат бұрын
Kwamba unabisha au unakataa ukweli? kwani hujui pointi za shirikisho na klabu bingwa zinatofautiana? Kama ulikuwa hujui kuanzia leo jua hivyo na ndio maana bingwa wa klabu bingwa huvuna point 6 wakati wa shirikisho huvuna pointi 5
@HelgenMiho
3 сағат бұрын
Shilikisho
@AbuuAyubu-t7c
8 сағат бұрын
Yanga inaweza kuwa bingwa mwaka huu hii timu nyoko
Пікірлер: 56