Wenyeji Afmadhow washerehekea ushindi wa KDF. Kila nyumba ilikuwa ikitozwa Sh 1,600 na Al Shabaab.
Kukombolewa kwa mji wa Afmadhow na wanajeshi wa Kenya wakishirikiana na wale wa serikali ya mpito ya Somalia kulikuwa ni sawa na kuwasili kwa mwokozi kwa wenyeji wa mji huo. Kwa muda wa miaka minne , wenyeji walikuwa wakilazimishwa kulipa ada ya shilingi elfu moja na mia sita kila chumba kwa kundi hilo. Kando na hayo, mkuu wa wilaya ya afmadhow alifukuzwa kutoka kwa afisi zake na zikawa zikitumika kama afisi za kundi hilo haramu. Franklin Macharia anaarifu katika sehemu ya pili ya makala ya medani ya vita.
Негізгі бет Medani ya Vita Part 2
Пікірлер: 29