Asante sana! I am learning Swahili and also like meditation. Would you be willing to add Swahili closed captions to your video?
@user-dy8ff4nh6y
Ай бұрын
Asante kwa muongozo, nilijaribu sana hii ya pumzi nilishindwa kabisa, afadhali nimeona mwangaza sasa naanza kufanyia kazi haya mafunzo yako, barikiwa sana .
@swahiliyoga
Ай бұрын
Meditation ya pumzi ni kumbuka pumzi yako, ifurahie, na ipende zaidi na itakupa utulivu
@SylvesterLuhamba-gi3bc
6 ай бұрын
Naomba namba
@kenedypaul1776-ni2nl
10 ай бұрын
Somo zuri
@swahiliyoga
8 ай бұрын
Karibu sana
@Iamnia871
Жыл бұрын
Nimefanya leo kwa mara ya kwanza nimefika mpaka sehemu kuna nyumba kama yale majengo ya kale alaf naona nafsi zinacheza cheza like zinatukaruka uku na kule alaf nikaona kama kuna upepo unazunguka mwili wangu hapa nilipokaa nikaogopa nikafumbua macho😩😩😩
@swahiliyoga
Жыл бұрын
Umefanya jambo zuri sana, endelea kufungua ufahamu wako
@arolleprinters7659
8 ай бұрын
Nimefanya meditation akili imerelax sana na nimejikuta kama natoa vitu kichwani na kichwa kinabaki tupu waaaaao it is amazing
@swahiliyoga
8 ай бұрын
@@arolleprinters7659 that's a good step, endelea
@queenmunny244
9 ай бұрын
Huwa nafanya kila siku asubuh huwa inanisaidia sana kujua nimeamka na hisia gani
@swahiliyoga
3 ай бұрын
Wow, fanya mara mbili kwa siku, maisha utayaona tofauti sana
@user-nu4bi3mh6k
9 ай бұрын
Mimi nikikaa kwa muda mrefu mgongo hua inaniuma je nifanyaje
@MarySimoni-tz3fm
9 ай бұрын
Nisaidieni jmn nikifanya tuu kichwa kinanuma tumbo kichefuchefu natamani kwel
@swahiliyoga
8 ай бұрын
Jaribu kufanya bila chakula tumboni, fanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza, au yawezekana unahitaji darasa ili uwe kwenye ufahamu zaidi
@bongatv25
Жыл бұрын
Kila nikifanya nakuta nazidiwa msukumo macho nafungua
@halfbloodprincess7714
11 ай бұрын
Pumua mara Kwa sekunde tatu ndan shusha 7 nje Kila unapohisi kuogopa utakua sawa
@jamesmbale2067
11 ай бұрын
Sisi tunawatoto nyumbani ata ukiwa ndani ya chumba cha ku lala unasikiya sauti za watoto tufanye namuna gani? Ila ndani ya chumba cha ku lala uko kuna ukimia sauti ndiyo zinafika za watoto ama za inje
@queenmunny244
9 ай бұрын
Utakuwa una fear so jarib Tena kufanya na usiwe na uwoga
@swahiliyoga
8 ай бұрын
@@halfbloodprincess7714 safi sana, jitahidi kurudi kwenye pumzi yako mara kwa mara....
@swahiliyoga
8 ай бұрын
@@jamesmbale2067 jaribu masaa ya usiku,ambapo kuna utulivu..au wakati watoto hawapo
@WinifridaGregory
Ай бұрын
Kaka mm nkifanya najihisi kama kuna kitu kinataka kuinuka au kama kitu kinanipeleka upande au kama kitu Kinataka kutoka mwilin mwangu, ikifikia hyo hali naogopa nafumbua macho alaf najikuta nmekaa upande hyo ni nn ??
@swahiliyoga
Ай бұрын
Ni ishara kwamba unafanya vizuri, kwa hiyo nguvu ndani inaanza kuzunguka zunguka . Endelea bila uoga
@gloriaclara8489
9 ай бұрын
Nimejaribu ikafika maali nakaona kama niko maali kunamwangaza mkali narango tofauti tofauti nikafungua macho😢
@swahiliyoga
8 ай бұрын
Kuna uoga tofauti tofauti ndani yako, labda pia trauma na mambo ya ROOT CHAKRA
@RachelRachel-zx6dx
3 ай бұрын
Mimi nikiwa nimekaa huwa nasinzia jamani
@mariamdullazy8166
3 ай бұрын
Ni lazma zoez hili lifanyike hasubui tu usiku je haifai au
Пікірлер: 30