Mtumishi wa Mungu anaye jawa na nguvu za Roho Mtakatifu
@DavidAlexandre-ui4nw
4 ай бұрын
Un homme de Dieu rempli du Saint Esprit
@fredndimi8884
3 жыл бұрын
Asante kwa neno la Mungu lisiloghoshiwa nimebarikiwa vya kutosha
@merybarong539
2 жыл бұрын
Ameen
@demetriamulenge1786
Жыл бұрын
Mungu ni mwema tunashukru kwa ujumbe. Mungu akubariki mchungaji Gyamwanza
@irenelulu530
3 жыл бұрын
Moyo wa mtumishi wako uliopondeka yesu hata sasa maneno aliotuhubiria yanaishi thank you God for this humbled soul 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@nahoomosha1190
4 жыл бұрын
Yaani inatupasa kuliishi Nemo la Mungu, na uchaji wa kiwakiwango cha juu sana ubarikiwe sana baba ,Mungu umkumbuke mzee kolola ,kwa kazi yako aliyoifanya hapa duniani
@lucanziku7836
5 жыл бұрын
Aisee mzee wetu umefariki ila maneno yako yanaishi daima. Asante kwa ulichofanya dunian
@fabianmihale3715
2 жыл бұрын
Huyu ndiye mtumishi pekee aliyevipiga Vita vikuu vya Iman na mwendo alimaliza aMosses Kulola ee Mungu nami nisaidie
@miriamjohn6897
2 жыл бұрын
Mungu nakushukuru Kwa mtumishi wako huyu hakika hata Sasa ipo mbegu inaendelea kukua katika maisha yangu pumzika Kwa amani Baba yetu waimani
@annastaziayusuph5320
3 жыл бұрын
2021 nabalikiwa Sana mchungaji natamn ungekuepo mungu akupokee huko uliko daaa, nabalikiwa Sana Na mahubili yako 👏👏
@joseengogo706
5 жыл бұрын
ubarokiwe sana kwa kazi hii njema ya kurusha mafundisho ya neno la MUNGU ambayo yanabadilisha maisha watu na kuwafanya wapate kweli na kuokoka ile wawezi kuingia ile njia nyembamba.Amen
@geofreyalexander1382
5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana. Hatimae mie wa kwanza. Nipeni like zangu
@Jacobmwene
4 жыл бұрын
Mtumishi wa Bwana tunakukumbuka sana
@barakamhagama592
3 жыл бұрын
Aminaaa nimebarikiwa
@rehemajoshua2022
4 жыл бұрын
Daa injiri tamu siyo injiri za siku hizi hazina hata msisimuko, hata moyo haushtuki, pumzika kwa aman baba wa Iman.
@geazielemia9512
4 жыл бұрын
Kaka tuko pamoja injili nzuri kweli kweli
@rabonmbuga1489
4 жыл бұрын
Mungu akulaze mahari pazur Mzee
@emmynjeri2478
4 жыл бұрын
Hakikaaaa n injili sahihi
@yustomlay1786
4 жыл бұрын
Mungu naomba nisaidie niweze kushinda zambi3
@johnmumbe1738
5 жыл бұрын
Injili ya kweli mungu atusaidie tuache dhambi na tukue na sura ya yesu
@martineherman1220
5 жыл бұрын
John Mumbe Amen
@rukiasalum5320
3 жыл бұрын
Injiri kama hii kwa sasa ni adimu sana tupate wapi mtumishi kama huyu mungu atusaidie
@israelnziku5506
4 жыл бұрын
Amina Babu 2020 naponywa na huu ujumbe
@salumalimi6732
3 жыл бұрын
Ubalikiwe Mungu awe nawe
@fataelipalangyo8992
3 жыл бұрын
Mungu anaubiriwa mwenye sikio na asikie
@deboraelibariki9605
3 жыл бұрын
Ameen
@neemakivuyo4478
4 жыл бұрын
MUNGU akubariki Yani nakukubali Sana maneno yako bado yanaishi
@suzanakivamba4991
3 жыл бұрын
RIP ask ,hakika imeniingia moyon
@allysonmmanyi7436
3 жыл бұрын
Shaloom! Hakuna kinachoweza kuthaminishwa na Injili hii. Ni ya thamani kubwa ajabu, na ni ADIMU.
@سكولاسكولا-ر7ف
5 жыл бұрын
Nimelia hata mm mungu tujalia mwisho mwema
@evansamuzi3328
2 жыл бұрын
injili iliyo safi na hai.
@lynekossy1336
4 жыл бұрын
Nimelia mbaka mwisho mungu tukumbe 😭😭
@emmynjeri2478
4 жыл бұрын
Aaaaah injili ya kweli yagusaaa moyo hakika machoziii ya Uchungu kwayale ya kweli
@lydiabulinga2209
5 жыл бұрын
Amen
@yohanamaloda1220
3 жыл бұрын
Amina
@nsimirenshokano2234
4 жыл бұрын
Mungu tusahe zabizetu
@lightnessgrace33
5 жыл бұрын
MUNGU mwema kwetu watumishi let's trust in JESUS CHRIST ..........very soon
@irenenicholaus9903
5 жыл бұрын
Ubarikiwe Sadocki utapata taji usipo kata tamaa niutumishi huu injiri ya kweli Na adimu kwa kizazi hiki
@bernadettewamunzira5882
5 жыл бұрын
Amen Amen mubarikiwe
@fataelipalangyo8992
3 жыл бұрын
Mungu atusaidie fataeli Pallangyo
@eliasmbukwa149
4 жыл бұрын
May your soul Rest in peace. R. I. P.
@emmynjeri2478
4 жыл бұрын
RIP
@nahoomosha1190
4 жыл бұрын
Kama tungeweza kusume abaki basi tingesema lakini huwezi maana kila kitu Mungu anakifanya kwa wakati wake ,Mungu tunakushukuru Maana hata hatujui kwamba tutawapata wapi tena mtu kama huyu ,aliyah Jawa na neno lako
@glorybonifasi3704
3 жыл бұрын
Kweli mahubili ya siku hizi ya tofauti na ya ya huyu baba
@paulolutonja9615
Жыл бұрын
nyimbozainjiri
@danyohana1219
3 жыл бұрын
Yes
@sistajeremiakalinga5436
2 жыл бұрын
We're mwenyezi mungu naomba unpunguziee adhabu ya kabuli akiwa ktk tumbo la alidhi
@mabungopania4865
4 жыл бұрын
hii ndio kweli,sio mabinabii wasasaivi wauongo matapeli tubuni ninyi nikuni tu
@musabalinaki9692
2 жыл бұрын
666 Mungu nisaidie nisiyapate haya mimi
@japhetisraelsmafie997
4 жыл бұрын
Ckubatika kupata mahubiri ya live kwa huyu baba ila nahc kama bado yupo hai nafurahia sana haya mahubiri
Пікірлер: 52