Miraji miraji miraji usije ukamukosea heshima kibu Denis nimchezaji wauhakika, subili apate usaidizi ndio utajua kibu Denis ni nani, kibu anaifia timu kabisa timu ilikuwa inavuja Kila sehemu (kiungo hovyo mbona hausemei Ngoma na kanote wanatofauti gani na beki Kennedy au wao wanaasist ngapi ngapi au hauwaoni) kibu pekeyake ndio aliwasumbua yanga kwenye 2_1 tunasajiri lakini atakuwemo wa kufikia uwezo wa kibu Denis, mi naomba mungu atusaidie tupate kiungo anajua kucheza kiungo afu utaniambia kibu atamaliza na goli ngapi?
@TomasiklistophaMwinuka
3 ай бұрын
Mzamiru apewe kitambaa kama huseni anatoka mana nawakubar sana Hawa Wana wapambanaji
@BADILIJUSTUS-fs3oo
3 ай бұрын
Kibu huwa anafunga sana tena sana akipata wasaidizi sio hii simba iliyokuwa inavuja kila sehemu kibu Denis anafanya kwenda kuinusuru isifungwe pia kuipeleka mbele ifunge goli yeye pekeyake ww ungeweza huku wachezaji wengine wamelarex tu Ngoma na kanote mpaka pozisheni zao hawajui timu inasumbuliwa tu na timu ndogo
@JamesLukmay
3 ай бұрын
Miraji ingilad awana kikozi cha uxhindi
@salmoncelestine6840
3 ай бұрын
Kazi za kiume zinataka hivyo,,ukimya na utulivu kazini kwa mwanaume muhimu sana.Hongera Mzamiru
@hamduomar1243
3 ай бұрын
Miraji nipo Zanzibar namba zako za simu naziomba
@YusufOmar-tk8yf
3 ай бұрын
Mm nipo nazo nipo Zanzibar 😊
@RamseykingGenius
3 ай бұрын
Acha unafki broo mbona maramoja alikuepo hapo Zanzibar😔😔🤪🤪
@AzhadSaid-j1t
3 ай бұрын
Xav mtupu
@عزيزه-ر1ه
3 ай бұрын
Miraji unanpa raha et ukigonga nga ngaaa😂😂
@IsackKija
3 ай бұрын
Wakwanza atakua wa mwisho
@PeterMbinga-v7t
3 ай бұрын
😅
@JosephTibu
3 ай бұрын
MUNGU IBARIKI SIMBA🎉🎉🎉❤❤❤
@mzeebabumzee
3 ай бұрын
milaji chagamba pamoja
@abdallahrenatus6677
3 ай бұрын
Mala ya Mwisho nilionana na milaji bundesliga Mwanza
@makambiluse3565
3 ай бұрын
Leo nimewaona airpot mnalekod sema nilikuwa juu ya dalaja ningewapa hi
@MzeewaYanga-hm8jq
3 ай бұрын
Kaka naomba matangazo yewe mwisho
@denishaule6314
3 ай бұрын
Ili usiangalie😂😂😂😂
@denishaule6314
3 ай бұрын
Sherehe chakula huwa ni baada matukio muhimu
@DanielChaula
3 ай бұрын
Mjombaaaaaaaaa
@BarnabaKasongwa
3 ай бұрын
miraji kwa kibu wewe ni mnafiki UKo vizuri lkn Kila ukiongea kuhusu kibu unampondaga sana toka robathino alivyo mpa tuzo Dubai wewe Ulikua unamponda juzi Tena ilivyo kua lomansi ya kwenda yanga wewe wewe ndo Ulikua unasema kua kibu Amna kitu na ukaanza kuchambua no zake toka yupo mbeya city au sio wewe Leo unasema kibu safi kweli
@makambiluse3565
3 ай бұрын
Umemuelewa lakini?? Kasema namba zimemkataa it means hamna alichofanya
@BarnabaKasongwa
3 ай бұрын
@@makambiluse3565kwa kibu ni mnafiki fatilia maojiano kuhusu kibu
@deonatusdaud4640
3 ай бұрын
@@makambiluse3565uwe unaskiliza kwa makini
@BADILIJUSTUS-fs3oo
3 ай бұрын
@@makambiluse3565wewe niyanga kwa taarifa Yako kibu kaongeza miwili jiandae huko atawaua
@BADILIJUSTUS-fs3oo
3 ай бұрын
Kweli kabisa miraji kwa kibu nimnafiki sana, haya nani mwenye namba nzuri Sasa ata viungo wako
@BADAWY575
3 ай бұрын
Hao simba paka zimbwe junior lazima kuwe na toleo jipya mpira tunatizama paka timu ya taifa zimbwe njee pale anakaa kijana wetu kibabage kwa hy simba bado wako nae sana njia ile kasi ya mtotovwa iringa zinbwe hawezi.mechi taifa akiguswa chali beki hy imekwiii pale njia .Simba hamuwezi munafulisika hamuna pesa omba omba nyie
@DennisDotto
3 ай бұрын
Lipeni madeni msajili mmekaa kimya kama dirisha la usajili halijafunguliwa.
@BADAWY575
3 ай бұрын
We vipi timu yetu kimataifa tarehe tano toleo jipya aliyetoka ndio katoka lakini tarehe 5 vijana au chezi la wana wajagwani full report timu nzima ng'ang'a hizo zinakuja kutupa raha .wanalipwa wengine wako dubai Aucho kama ulaya ndani ya uganda.nyie benchi la ufundi hamuna uongozi ndio ule ule hahahahaha hahahahaha
@BADAWY575
3 ай бұрын
Sisi bila ata toleo jipya timu iko kamili imara .sasahv nyie Simba muki itisha timu zoezi hamutimiii .mikuma kweli nyie hamulioni kama bado ukamilifu wa timu hakuna hamuoni au nyie ni matahira wa babujiii au ni misukule ya Mo babujiiiiii
@BADAWY575
3 ай бұрын
Utajuaje babaa hy kimya yetu inakusumbua ki usomiiii baba Yanga ulaya uhakikaaa
@BADAWY575
3 ай бұрын
Hahahahahaha hili jinga kweli nawambia simba machizi kama wamerogwa tena wamerogwa macho yao pia sio masikio pia.hahahahaha Dar Young African rais lipo vacation maokoto kibao wachezaji kina aziz wapo dubai usajili tayari umemalika maaaaaaaapweeeeema tarehe 5 fuluuuuu mchezaji kambi nyie vipi nyie wote machawa tuuuuu hahahaha wanafiki omba omba kwa babujiiiiiii
@abdallayunnus3475
3 ай бұрын
Big up miraj chagamba
@BADAWY575
3 ай бұрын
Nimeongea sana nikatukanwa matusi mengi yani lenyewe miraji pia chizi anajisahaulisha kuwa kununua kwao ni bwinde simba wote michizi yani yenyewe kama yamerongwa musahaulishe
@user-habarinamichezo
3 ай бұрын
Ww mwenyeo chzi na utaumia xna mbwa ww😂😂mwaka huu @BADAWY575 ww ni mbwa huna akli lzm utukunwe na bdo😅😅
@deonatusdaud4640
3 ай бұрын
Hujui kuandika...
@user-habarinamichezo
3 ай бұрын
@@deonatusdaud4640 🤣🤣🤣🤣🤣
@kadirichannelonlinetv4258
3 ай бұрын
Me xjaona point ya miraji make anaongeaongea2 kucheka cheka2 ndo nn
@avitusmichael5
3 ай бұрын
Kaongee ww uone utakavyojambajamba ovyo kama ni rahisi, pia kama humwelewi unapita kuliko huko kuharisha
@rynesawaya7043
3 ай бұрын
Kwan ni lazma ufatilie miraji kama rahic chukua number hapo wasiliana na chagamba ukafanye interview wwe
Пікірлер: 43