Miraji uko vizuri sana wewe hakika ni mtu wa mpira.
@Jose-dy2sb
Ай бұрын
Chagamba siku moja bega lako litadondoka😂😂
@YahyaUssi
Ай бұрын
Kwann katika uchambuzi wenu msiwekee vile viklp mnavyo vichambua nahisi ingali ongeza mvuto zaidii chagamba
@FiripoMalando
Ай бұрын
Nakubali chagamba na miraji maramoja
@MjakaAkida-fd5ck
Ай бұрын
Kweli tunampenda mzee saidi
@user-gb2pl3ln9m
Ай бұрын
Tena akijaribu kumgusa Ahmed
@mutsinzigarvey8850
Ай бұрын
Mbona miraji akiwa finest anakua vizuri akini akiwa azam tv kwa dody anakua kama kisugu 😢😢 kutoka bujumbura maoni yangu
@fatmaally7252
Ай бұрын
Nj kweli
@DarliotonTumaini
Ай бұрын
Anaenda na upepo hataki kujiona yupotofauti na wenzake 🎉🎉🎉🎉
@JosephineItambu
Ай бұрын
Sasa pale si mpata mpatae watani wanatunishiana misuli😂💔
@mutsinzigarvey8850
Ай бұрын
Kweli kbs
@JuhudiJotham
Ай бұрын
Hujakosea huyu bwana some time anapoteza step,na kumfuata kisugu,kisugu ni sauti ya jazba hajui mpira ,miraji simamia mpira Acha mihemko
@godwinkubimba6575
Ай бұрын
Chagamba wadau tunakuelewa sana
@RahimMaduka-xg1gk
Ай бұрын
Appreciate san mara 1 family 🙌
@stanleychonya8199
Ай бұрын
Safi miraji nakubali
@dnewztz
Ай бұрын
Nimekuwa wa Kwanza Ku Like Na Ku comment😂😂😂
@binzuakisenge8056
Ай бұрын
Tunashuru kwa uwakilishi wenu Allah awalipe In Shaa Allah
@JumaNassor-cj3zy
Ай бұрын
Kabla jioni😊
@ShabanChacha
Ай бұрын
Miraj unasemaj ukwel kaka
@user-xj7dy6oh6t
Ай бұрын
Sawa miraji ila tukumbuke tarehe nane mwezi nane elfu mbili na ishirini na nne
@aliferuzi1537
Ай бұрын
Ukifanya 4 x 2 = (.) watajaza wastani hiyo tarehe ikifika😅
@jutascosmasjutas
Ай бұрын
OYA MABEGA HAYOOOO
@georgettesaidi6809
Ай бұрын
Tunamsubiri mzee saidi nae
@abdallayunnus3475
Ай бұрын
Big up miraji na chagamba
@user-cv4yi5hz9b
Ай бұрын
Akae na mike zake alafu aone😢😢😢hapo nimekuelewa kaka maramoja 💯💥💥🐐
@RamadhaniRichardson
Ай бұрын
Miraji Asalam aleykum sheikh wangu napenda sana unavyochambua soka naomba namba yako ya cm
@azizimhina6705
Ай бұрын
miezi kadhaa nyuma miraj ulikua unaongea facts za mpira ila sasa hv na ww umeingia kwny mfumo.. cjui ni kwnn ila wte ambao mashabiki wenu ambao ni ndugu zetu simba wanawafuatilia mnawapotosha.. sisi yanga wkt ule rais wetu anaingia alisema tunaijenga yanga lkn ninyi mmebomoa timu yote hlf miraji na wenzako kina 64 mnawaambia watu mna timu mnataka watu waje kulia wakikutana na waliojenga timu tyr.. hata km ninyi mnakula lkn mjitahid kuwapnguzia watu presha. usajili ni pata potea,kuna adaptation period kw wachezaj lkn pia kocha na mifumo yke hv kwl mpira wa sasa hv uko hvyo!? hlf kila kitu kila mtego mnaowekewa mnaingia wala hamshughuliki kufnya tafiti,usifnye hvyo miraj sisi tulikua tunakuamn sna lkn unakua km wale wacha🐐 wengine bhana.. sasa hv mpira ni pesa na namba zitaongea,azam sio mbovu lkn kaangalie maboresho yke,yanga kadhalika sasa ninyi dah! huu msimu mgumu miraji na kw mara ya kwnza unaenda kutengeneza uadui na wana simba wenzio kwkua umewageuka yan sio mara1 yule..
Akae na maic zake halaf mwambie haji manara arudishe kadi ya Simba anakadi yetu huyo au ndio tumtambue kama bado nimwanachama wa Simba? Chagamba muulize manara kad yetu
Пікірлер: 162