Mungu haachi kutuletea watenda kazi wake upendo wake kwetu hauna kikomo asante mungu kwaajiri ya kiongoz wetu mpenguvu naupeo mkuu akutumikie wew kupitia ss mungu wetu
@bensonkaile9606
4 жыл бұрын
Kwa ukali na weledi wa Askofu Amani hauna tofauti sana na Rais wetu mpendwa Magufuli, wote wanapenda kusimamia maamuzi na ukamilifu wa shughuli zilizokusudiwa. Kwa wale wa Kaskazini na wa katoliki wanajua habari yake. Asante Askofu kwa kuinyoosha Moshi na sasa weka sawa Arusha pia.
@KennedyChaula-ny9mu
6 ай бұрын
Mungu Awape maishamarefu namdum katika Enjili kwa wongofu wa Taifa la Mungu.
Пікірлер: 16