Ni moja kati ya mahojiano ambayo natamani kuangalia kila iitwapo leo. Vizur saaana Mkasi, hongera kwa mahojiano na hongera kwa majibu ambayo yanaeleweka.
@bekatv1009
Жыл бұрын
Salama show iendelee 09/12/2022
@chiddoog8009
11 жыл бұрын
peku peku daah apo umetisha mjombaa
@kennedymmbando
11 жыл бұрын
Swala la Watanzania nje ya nchi linatakiwa litiliwe umakini. Ila ni wakati wa nchi za Afrika mashariki kujivunia Undugu pamoja na Lugha yao ya Kiswahili kwa pamoja. Sanaa ya Tanzania inatumiwa na kutangazwa kama ya Mataifa mengine kama si ya Ulaya yenyewe basi hata ya nchi nyingine za Afrika.
Swala la uamuzi linatakiwa liwe la pamoja na si kama la mfano wa panya wanaotaka kumfunga kamba Paka na akitokea basi panya hujikuta wapo kila mmoja mahala pake. Umoja ni Nguvu, tujihadhari na mikataba isiyoeleweka , msanii anaweza kurekebisha mkataba kabla ya kazi,mf kipengele cha Kujitambulisha utaifa wake ni muhimu.
@agnesmange6205
9 жыл бұрын
ukigombea ubunge count u have my vote.....
@jumakinenekejo1009
9 жыл бұрын
abautwa ] MRISHO MPOTO PALA MWINYIGOLOGOMBE,!!!
@kennedymmbando
11 жыл бұрын
Tunaelewa kuwa wasanii wengi wanaandika mikataba kwa ajili ya kujikimu na mahitaji yao ya maisha kutokana na hali ngumu ya maisha,ila Haipendezi kuona nyimbo za kizaramo zinaimbwa na Wazimbabwe tena kwa kiswahili cha kubabaisha na kutangazwa ni za kizimbabwe.
@shininisoipano4973
8 жыл бұрын
hongera mrisho kwa kuelimisha jamii
@jessicamm3171
7 жыл бұрын
nimejifunza mengi kutokana na maneno ya mrisho poto
@kennedymmbando
11 жыл бұрын
Kumekuwa na taratibu za kuwaleta baadhi ya wasanii kufundisha tamaduni zetu na pindi wanapoondoka huwa zinarekodiwa na kutumiwa vibaya kwa lengo la kumgandamiza msanii wa Kitanzania.
@dorcasgitari8278
7 жыл бұрын
I say Mjomba bwana eeee...una hekima aki.
@allymwa2962
8 жыл бұрын
mrisho nakubali sana kipaji chako
@oscarsway9438
11 жыл бұрын
I appreciate it
@dorcasgitari8278
7 жыл бұрын
Hata mie imebidi tangia leo nitembee mguu chini I say.
@JohnsonYesaya
8 жыл бұрын
haahahaaaa jamaa gudi sana
@biommy3762
7 жыл бұрын
sichozi...Kuskizaga semi zako mpoto
@athunaniamiss6119
7 жыл бұрын
kweli baba ww amna wa kukuiga
@margaretkhavakali4987
6 жыл бұрын
Salama bana 😂😂😂
@alexmengo7325
10 жыл бұрын
MPOTO HONGERA SANA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU!!!
@josonwakitaa2092
11 жыл бұрын
MY HERO MPOTO,MZEE WA KUSILIBA
@maynavedat9050
6 жыл бұрын
Salama mbona unaponda sana?
@asumani100
11 жыл бұрын
Kabisa mumkaribishe majuto
@ericmmary9197
8 жыл бұрын
who z watching 2016..........Mrisho it was so lame nakuogopa salam men we don't show if we ar afraid...
@jessicamm3171
7 жыл бұрын
ERIC MMARY hapendi uongo
@ericmmary9197
7 жыл бұрын
mrisho..??
@ahmedalminshad1211
7 жыл бұрын
mmependeza na black
@jayguygratien
11 жыл бұрын
me like mpoto
@hamdanimohamed6467
6 жыл бұрын
Natty Dread kook
@halimaabdullahmwichande8671
6 жыл бұрын
SS na choon anaenda peku hivo
@44izack
11 жыл бұрын
makyembe
@josonwakitaa2092
11 жыл бұрын
WABONGO BANA KWA UMBEA ETI KIDUMU ANAJICHUA,NJOENI HOLLAND MUONE WANAUME KWA WANAUME WANAOWANA,ALFU NYOSHI S ALIKUJA HAPO MBONA UJAMUULIZA KUHUSU MKOLOGO,ACHENI ZUNU
@44izack
11 жыл бұрын
zito kabwe
@azadiunatishamumyloveungab6614
8 жыл бұрын
mjomba hahaha
@joellucas2036
7 жыл бұрын
Mbona kipind cha mkasi hatukioni
@jessicamm3171
7 жыл бұрын
JOEL LUCAS salama jabir aliacha kazi. cheki show yake na lilommy tv
@user-fm9gr6jb6e
11 жыл бұрын
that is not biology insteade it is spiritual beliefs
Пікірлер: 43